Jinsi Meli ya kivita ya Urusi ilivyochanganywa na Drones za Mturuki kabla ya kulipuliwa na kuzama

Maghayo

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
13,672
28,967
Mzuka wanajamvi!

Fahari ya Urusi katika black sea jinsi inavyojulikana iyo Meli manowari iliyopachikwa jina la Moskva au Moscow mji mkuu wa urusi ilivyolipuliwa na kuzamishwa katika operesheni ya aina yake kutoka kwa 'Defenders' makomandoo wa Ukraine waliotumia ujanja wa aina yake.
56603229-10720267-Ukraine_claims_the_Moskva_was_struck_by_two_Neptune_cruise_missi-a-71_164997...jpg

Ni hivi Makamanda wa Ukraine waliharibu meli kubwa ya kivita ya Moskva kwa kutumia ndege zisizo na rubani Drones za mturuki kuharibu mifumo yake ya ulinzi na kuruhusu makombora kutua na kuilipua.
56600985-10720267-The_flagship_of_Russia_s_Black_Sea_fleet_the_Soviet_era_guided_m-a-69_164997...jpg

Mfumo wa ulinzi wa Manowari iyo haukuweza kugundua roketi za Neptune zilizorushwa kwasababu zilikuwa busy zikifuatilia Drones hizo TB2 za mturuki.

Ni pigo kubwa kwa jeshi la wanamaji la Vladimir Putin, makombora mawili ya Neptune yalirushwa na kutua kwenye manowari iyo ya kisasa yenye 611ft Moskva, na kuitikisa kwa nguvu na kusababisha milipuko mbaya na moto.
56629143-10720267-image-a-67_1649970410748.jpg

Urusi wenyewe wanadai ilishika moto na wakati wakijaribu kuipeleka bandarini kulitokea dhoruba kali nakuifanya kuzama.

Inasadikika mamia ya wanamaji wamepoteza maisha. Ni pigo kubwa kwa kuputin na kuchanganyikiwa. Kwa sababu baada ya kipigo hicho wamezihamisha manowari zingine mbali zaidi Bahraini.

Senior JF international correspondent

Source:
Warship sunk by a pair of 1-ton missiles from Ukrainian commanders Warship sunk by a pair of 1-ton missiles from Ukrainian commanders
 
... safi sana! Hizo ndio target za maana sio kurusharusha makombora ovyo unaua watoto wa kindergarten wasio na hatia halafu unajisifu! Pigo moja takatifu unapoteza mamia ya makomandoo wa kutosha; makombora aghali mno; na chombo chenyewe billions of money! Hiyo ndio inaitwa akili kubwa! Sasa msikilizie yule mwehu katika kulipa kisasi atakavyoyavurumisha ovyo! Ha ha ha!
 
waliifanyia michezo kama ya DDos attack
Mmarekani na muingereza ni hatariii. Yani wanamtumia comedian kama remote. Ni pigo kubwa sana huko Kremlin. Hii meli manowari ilkuwa ya aina yake. Walikuwa wanamlia timing tu putin.

Nakumbuka ulw mkwara Putin aliutoa siku ya kwanza akiivamia Ukraine eti yeyote akithubutu kuingilia hii vita kitakachomtokea hakitawahi kwenye Historia. Kakutana na Joti na mpoki wa Ukraine. Sasa hivi kabadilija eti arazingatia sana maeneo ya Donbas
 
BBC walisema US imepeleka msaada wa vifaa vya kivita Ukrain, huenda hii ni moja ya misaada iliyofika huko
... sitaki kuamini Russia wamekuwa low kwa kiwango hiki! Meli ya "ajabu" kama ile ni ya kuzamishwa pamoja na well trained sailors na silaha aghali just kwa kijikombora kimoja au viwili? Uko wapi umakini wa Jeshi la Russia?
 
Mmarekani na muingereza ni hatariii. Yani wanamtumia comedian kama remote. Ni pigo kubwa sana huko Kremlin. Hii meli manowari ilkuwa ya aina yake. Walikuwa wanamlia timing tu putin.

Nakumbuka ulw mkwara Putin aliutoa siku ya kwanza akiivamia Ukraine eti yeyote akithubutu kuingilia hii vita kitakachomtokea hakitawahi kwenye Historia. Kakutana na Joti na mpoki wa Ukraine. Sasa hivi kabadilija eti arazingatia sana maeneo ya Donbas
... Tom and Jerry wanamfanyia vituko kweli kweli kabla ya kummalizia mbali for good!
 
... sitaki kuamini Russia wamekuwa low kwa kiwango hiki! Meli ya "ajabu" kama ile ni ya kuzamishwa pamoja na well trained sailors na silaha aghali just kwa kijikombora kimoja au viwili? Uko wapi umakini wa Jeshi la Russia?
Putin anajuwa wazi hii vita kaingia cha kike. Alidhani baada ya siku moja ya uvamizi Jorti wa Ukraine atatoroka. Hakufikiria kabisa atapata upinzani mkali. Wanaomsifia Putin ni wa ajabu sana. Kapoteza uhai wa watu wake, kaharibu uchumi wa urusi, kachanganyikiwa. Na bado yani baada ya miezi sita jamaa arakuwa Hoi. Westerners wanazidi kumlia timing tu.
 
... sitaki kuamini Russia wamekuwa low kwa kiwango hiki! Meli ya "ajabu" kama ile ni ya kuzamishwa pamoja na well trained sailors na silaha aghali just kwa kijikombora kimoja au viwili? Uko wapi umakini wa Jeshi la Russia?
Hapa ndio ule msemo unatimia sasa, mdharau mwiba...............?
 
Uvamizi wa Urusi katika Ukraine ni kitu cha kulaaniwa lakini tusiwe mazuzu. Hiyo meli haiwezi kupigwa kombora halafu wanamaji wake wote 500 wakaokolewa. Hiyo ni ajali, siyo kombora la Ukraine.
Mfumo wa ulinzi wa Manowari iyo haukuweza kugundua roketi za Neptune zilizorushwa kwasababu zilikuwa busy zikifuatilia Drones hizo TB2 za mturuki.
 
Vita hii inameza taarifa nyingi Sana zandani wakati ukrenia wanapiga meli Tz hpa wizara tamisemi imenunua pikipiki 68 kwa milion 800.....kazi na wizi
 
Mzuka wanajamvi!

Fahari ya Urusi katika black sea jinsi inavyojulikana iyo Meli manowari iliyopachikwa jina la Moskva au Moscow mji mkuu wa urusi ilivyolipuliwa na kuzamishwa katika operesheni ya aina yake kutoka kwa 'Defenders' makomandoo wa Ukraine waliotumia ujanja wa aina yake.View attachment 2188301
Ni hivi Makamanda wa Ukraine waliharibu meli kubwa ya kivita ya Moskva kwa kutumia ndege zisizo na rubani Drones za mturuki kuharibu mifumo yake ya ulinzi na kuruhusu makombora kutua na kuilipua.View attachment 2188302

Mfumo wa ulinzi wa Manowari iyo haukuweza kugundua roketi za Neptune zilizorushwa kwasababu zilikuwa busy zikifuatilia Drones hizo TB2 za mturuki.

Ni pigo kubwa kwa jeshi la wanamaji la Vladimir Putin, makombora mawili ya Neptune yalirushwa na kutua kwenye manowari iyo ya kisasa yenye 611ft Moskva, na kuitikisa kwa nguvu na kusababisha milipuko mbaya na moto.View attachment 2188303

Urusi wenyewe wanadai ilishika moto na wakati wakijaribu kuipeleka bandarini kulitokea dhoruba kali nakuifanya kuzama.

Inasadikika mamia ya wanamaji wamepoteza maisha. Ni pigo kubwa kwa kuputin na kuchanganyikiwa. Kwa sababu baada ya kipigo hicho wamezihamisha manowari zingine mbali zaidi Bahraini.

Senior JF international correspondent

Source:
Warship sunk by a pair of 1-ton missiles from Ukrainian commanders Warship sunk by a pair of 1-ton missiles from Ukrainian commanders
Mbona warusi wanadai imezama yenyewe kwa itilafu ndogo ndogoo🤣🤣
 
Ulionekana kwenye sataliti ya Marekani, ukirudi Bongo mrusi utamtambua.
 
Back
Top Bottom