kabla

Einav Kabla (Hebrew: עינב קאבלה‎, born 27 September 1979) is an Israeli lawyer and politician. She served as a member of the Knesset for the Blue and White alliance.

View More On Wikipedia.org
  1. E

    JamiiForums Tanzania SoC02 Sekta ya Kilimo Tanzania katika uchumi kabla ya ujio wa wakoloni Tanzania, kilimo ndio ilikuwa shughuli kuu ya kiuchumi

    SEKTA YA KILiMO TANZANI KATIKA KUKUZA UCHUMI. Kabla ya ujio wa wakoloni Tanzania, kilimo ndio ilikuwa shughuli kuu ya kiuchumi, pia biashara ambayo ilihusisha mabadilishano ya bidhaa kwa bidhaa ambapo asilimia kubwa ya bidhaa hizo zilihusiana na kilimo mfano majembe na mapanga, ambayo...
  2. JamiiForums Tanzania Tuwaalike JF hawa Watu wenye Changamoto za Mapenzi kabla Hawajaua au Kujiua

    Waje wapate ushauri nasaha na pia wajue kuwa ukikosa huyu unaweza pata mwingine. Si lazima ulazimishe kuwa na huyo. Wajue pia wanaweza kula issue nyingine kimasikhara. Waonane na wataalamu humu kama akina GuDume , Zero Brain yule jamaa wa kula tunda kimasikhara , @malisaGj na wengineo. Hata...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Abiria afariki ndani ya ndege ya Kenya Airways kabla haijaruka

    Taarifa iliyotolewa na shirika hilo leo Septemba 14, 2022 ilisema abiria huyo alifariki alipokuwa akihudumiwa na wahudumu wa afya katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA) Imeelezwa abiria huyo alipata matatizo ya kupumua alipokuwa akiingia kwenye ndege ambayo ilikuwa...
  4. JamiiForums Tanzania James Samwel: Mpira ulishatoka kabla ya Simba kufunga goli lao

    Mchambuzi wa Azam Sports 1, James Samwel amelichambua goli la Simba na kukiri wazi kuwa mpira ulishatoka kabla ya Kibu kuurudisha tena uwanjani na Mkude kuuweka ndani ya nyavu. Ameyasema hayo kwenye uchambuzi baada ya mchezo huo.
  5. JamiiForums Tanzania Ni kitu gani ulikifanya kwa kutumia nguvu nyingi, muda mrefu au kuomba msaada usaidiwe kabla hujagundua mbinu rahisi ya kukifanya kwa wepesi

    Kwa muda mrefu sana nimekuwa naweza kunyoosha mashati na makoti lakini linapokuja suala la kunyoosha suruali za vitambaa na kadeti ilinitesa sana kwakweli, nilikuwa naotea otea tu mpaka kuna muda narudia mara tatu kunyoosha suruali moja. Yaani kulinganisha tu upanga wa suruali ilikuwa mtihani...
  6. JamiiForums Tanzania SoC02 Tuimbe wimbo wa amani na upendo kabla hayajatokea mauaji ya kikatili

    Ukatili ni hali ya kusababisha kwa makusudi mateso na kukosesha raha dhidi ya mtu mwingine,ilihali lipo suluhisho la wazi linaweza kupatikana kwa urahisi Unaweza kuwa ukatili wa kukatisha uhai wa mtu au mnyama, ukatili wa kingono , ukatili wa kunyima haki mtu ,kundi la watu au taasisi...
  7. JamiiForums Tanzania Vyeo 9 vya nguvu alivyoshika Uhuru Kenyatta kabla ya kuwa Rais

    Rais anayeondoka Uhuru Kenyatta aliwashukuru Wakenya kwa fursa nyingi walizompatia kuhudumu katika majukumu mbalimbali ya umma katika miongo miwili na nusu iliyopita. Akihutubia Taifa katika Ikulu mnamo Jumatatu, Septemba 13, Rais anayeondoka alikumbuka safari yake katika utumishi wa Umma...
  8. JamiiForums Tanzania Jumamosi iliyopita kuna Timu Moja ilikuwa inaendeleza kile ilichokizoea na nyingine imeonjeshwa Asali kabla ya Kulambishwa Chungu

    Huenda mwisho wa Kufurahi kwa hiyo Timu na Mashabiki wao ukawa ni Weekend ijayo ( hii ya sasa ) na baada ya hapo Kununa (kwa Kufurumushwa kabisa Michuanoni ) Kukaanza ama kutokea Sudan au Ethiopia.
  9. JamiiForums Tanzania Mapiramidi ya Misri yalijengwa kabla au baada ya mafuriko ya siku za Noah?

    Eti wakuu. Yale mapiramidi ya kwanza kujengwa huko Misri. Yalijengwa kabla au baada ya mafuriko ya siku za Nuhu?
  10. JamiiForums Tanzania Elizabeth, kabla ya kifo chako uliwahi kuwaomba msamaha watu weusi?

    Japo kwa cheo QUEEN ELIZABETH wewe ulikuwa malkia kwa maana kiongozi hakosei. ila kwa upande wengine tukitoa cheo chako wewe Elizabeth Alexandra Mary Windsor ulikuwa ni binadamu kama binadamu wengine. na japo kosa haukulifanya wewe walifanya watu wengine ila ungetudanganya basi hata kwa neno...
  11. J

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mambo muhimu ya kuyafahamu kabla ya kuomba wazo la biashara mtandaoni

    Nifanye biashara gani? Nipeni wazo la biashara, nina mtaji wa milioni mbili nifanye biashara gani? Naomba wazo la biashara, biashara gani inayolipa? Haya ni maswali ambayo watu wengi hasa vijana wamekuwa wakiuliza au kuomba ushauri kupitia mitandao ya kijamii. Kuomba wazo la biashara mtandaoni...
  12. B

    JamiiForums Tanzania "Watu wasikamatwe kabla ya uchunguzi," Waziri Mkuu Majaliwa haimuhusu?

    Kumesikika Uyui Tabora watu kutuhumiwa kula kwa urefu wa kamba zao. Waziri Mkuu kaamuru wakamatwe kisha TAKUKURU wafanye uchunguzi. Hii imekaa je ikizingatiwa hawa ni watuhumiwa tu bado? Hivi hawa TAKUKURU wenye kusubiria amri kama hizi hata kuna haja gani ya kuwa nao? "Kwa rushwa...
  13. JamiiForums Tanzania Ni kipi ulitami ungekijua kabla ya kufika miaka 23?

    Habari za saa hizi. Je, ni mambo gani unatamani ungeyajua kabla hujafikisha miaka 23, Share hapa na wengine wajifunze.
  14. JamiiForums Tanzania Mambo kumi ya kuzingatia kwenye Blog yako kabla ua kuanza rasmi

    Hello, natumai mu wazima. Kwenye kujaribu kuiongelea Blogging kwa kina, kutokana na maombi ya baadhi ya wadau, nimeona mwanzo kabisa uwe na Basics, na hapa ntaongelea mambo ambayo utahakikisha umeyaweka sawa kabla hujaendelea na swala zima la Blogging. Mengi ya haya mambo yatakua sio mageni...
  15. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli: Nimejitoa maisha yangu kwa ajili ya Watanzania masikini

    Wote tunapenda afya njema, Amani na upendo pamoja na Uhuru wa kujieleza. Ndani ya Serikali, awamu ya tano wote tulikubaliana kuwa tutaishi na corona, kama magonjwa mengine. Kwamba atujui hili gonjwa litaisha lini na viongozi mbali mbali walikua mstari wa mbele kutuaminisha kwamba tumeishinda...
  16. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nunua kiwanja chenye pagale Madale Flamingo sasa kwa bei ya milioni 40

    NUNUA KIWANJA CHENYE PAGALE MADALE FLAMINGO SASA KWA BEI YA MILIONI 40 MAZUNGUMZO YAPO KIWANJA KIMEPIMWA NA KINA HATI. WAHI KABLA HAKIJAWAHIWA ●Kiwanja pamoja na nyumba kimepimwa ukubwa Sqm 800 ●Huduma za kijamii zote zipo karibu SIFA ZA PAGALE ●Vyumba 3 viwili ni self kimoja normal ●Jiko...
  17. JamiiForums Tanzania Serikali ipige marufuku soda na vinywaji vyote vilivyoongezwa sukari

    Juzi nimesikia NIHF ipo karibu kufirisika. Waziri anasema gharama za kutibu magonjwa yasiyoambukizwa ni kubwa sana. Ni magonjwa gani hayo yasiyoambukizwa? Makubwa ni Kisukari, figo na high blood pressure. Haya kwa sehemu kubwa husababishwa na ulaji mbovu na sedentary lifestyle na yanahusiana...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Ni suala la muda tu kabla Mwigulu hajaondolewa katika nafasi yake kwa kubadilishwa wizara au kuondolewa kabisa katika Baraza la Mawaziri

    Hata kama Mama anampenda au bado ana imani na Mwigulu, ni vigumu sana kuendelea kumbakiza katika nafasi yake kutokana na reaction ya umma kwani anaonekana kuwa ni waziri anaengoza kwa kulaumiwa na kutuhumia na hivyo anakosa sifa ya kisiasa ya kuendelea kuwa waziri. Kwa maneno mengine, yeye...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Anne Makinda kusema 93% wamehesabiwa umetambuaje? Ulikuwa na idadi kabla ya sensa?

    Kamishina wa Sensa, Bi. Anne Makinda amesema kuwa asilimia 93 ya kaya Tanzania tayari zimehesabiwa. Sasa swali langu la msingi ni hili, yeye kajuaje kaya zilizohesabiwa ndio hiyo asilimia 93? Je, alikuwa anajua idadi ya kaya zote nchini kabla ya zoezi la sensa kuanza? Kama alikuwa anajua hiyo...
  20. JamiiForums Tanzania Ndugai: Viongozi tujipime kabla ya kufedheheshwa

    Kauli ya aliyekuwa Spika wa Bunge, Job Ndugai ya kuwataka viongozi wa kuchaguliwa kujipima kabla ya kugombea tena nafasi hizo katika chaguzi zijazo ili kuepuka aibu ya kushindwa, imewaibua viongozi wa siasa. Ndugai, ambaye ni Mbunge wa Kongwa (CCM), alisema yeye hatagombea tena nafasi hiyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…