kabla

Einav Kabla (Hebrew: עינב קאבלה‎, born 27 September 1979) is an Israeli lawyer and politician. She served as a member of the Knesset for the Blue and White alliance.

View More On Wikipedia.org
  1. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Maisha kabla ya maji na umeme kufika majumbani

    Juu ya meza iliyo kando ya kitanda utaona taa iliyotumia mafuta, bakuli na jagi la maji. Hivi vilikua ni vitu vya muhimu sana chumbani kwa mstaarabu. Taa ya mafuta ilipunguza ajali za moto, kabla ya hapo watu walitumia sana mishumaa ambayo maya nyingi ilishika moto wa pazia au karatasi zilizo...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Utafiti binafsi: Ukitegesha alarm usiku lazima uamke muda mfupi kabla ya alarm kulia

    Hili nimelifanyia utafiti muda mrefu sana toka niko shule Kila nikitegesha alarm lazima nitashtuka usingizini kabla ya alarm haijaniamsha Utakuta nimeset alarm ilie saa 10 kamili usiku lakini cha ajabu kwenye saa 10 kasorobo ama saa tisa na dakika 55 nakuwa nimeshtuka kutoka usingizini
  3. Getrude Mollel

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya haiwezi kupatikana kabla ya 2025 na CHADEMA haitosusia Uchaguzi Mkuu

    Niliwahi kusema hapa vyama vyama vyote vya siasa vimetokana na CCM. Ni kama vile madhehebu mengine ya dini ya kikristo yalivyomeguka kutoka Katoliki. CCM ni chama kikubwa sana barani Afrika, hivyo hakuna chama hata kimoja Tanzania kinaweza kukitingisha. CCM ni kweli wamesema kwamba wanategemea...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Nilivyokutana na Msukuma kwenye msitu wa Malangamilo

    NILIVYO KUTANA NA MSUKUMA KWENYE MSITU WA MALANGAMILO ILIKUWA JUZI TU yaani usiku wa kuamkia Jana Kabla ya hakujakucha.... Hakuja pambauzika, usiku wa siku hiyo, niliomba Dua kwa sir God aniamshe mapema sana kwani ratiba yangu Ilikuwa tight... Kweli bwana Mungu yupo wazeee, na anajibu...
  5. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Hii picha ilipigwa kabla ya WWI Arkansas na mwaka 2022 kuna wao ramani kuwa na nyumba kama hii

    Miaka hiyo umeme ulikuwa ni kwa wachache wenye uwezo na maji kulikuwa na visima vya mdundiko katikati ya miji. Wakati wa baridi kulikuwa na gogo la moto linalotoa joto. Bill ya kulipa ilikua ni kodi ya kichwa tu. Kuna watu wana nyumba zenye hali mbaya zaidi ya hii si vijijini tu bali hata mijini.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa alipotoshwa au aliona orodha kabla ya kutangaza?

    Kigezo cha umri wa mwombaji na kigezo cha mwaka wa kuhitimu kwenye PDF aloitoa anaona kiko Sawa? 2015 kaachwa na 2021 kachukuliwa. Mathematics kuwa arts subjects? Wale watu wa TAMISEMI huwa wanatuona hamna kitu kichwani? Mnakatisha hamu vijana kusoma makusudi ili watoto wenu waendelea kula...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Ni yupi aliyekuwa wakala wa kifo & ulemavu kabla ya kuja kwa bodaboda?

    Ni ukweli ulio wazi kuwa kwa sasa bodaboda ndio wanaongoza kwa kuua watu kwenye ajali plus kuwatia vilema Je, kabla ya ujio wa hawa bodaboda ni akina nani waliokuwa wakishika nafasi ya uwakala wa kifo
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kigamboni ni mji unaojengeka kuliko yote Dar, Serikali iweke miundombinu vizuri

    Kigamboni ndio wilaya inayokua kwa Kasi katika mkoa wa DSM. Inahitaji miundombinu kabla hatujachelewa. Pia tozo za kuvuka maji kwa gari zishuke zaidi na zaidi mji ujengeke na utanuke. Nawasilisha
  9. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Kabla ya vita USD 1 ilikuwa sawa na Rubles 77, sasa hivi ni sawa na Rubles 55. Tunajifunza nini kutokana na hali hii kama Taifa huru?

    Tarehe 1 January 2022 dola moja ya Marikani (USD) ilikuwa sawa na Rubles 77 za Russia. Baada ya vita kati ya Russia na Ukraine mwezi Februari 2022, Russia iliwekewa vikwazo (sanctions) lukuki za kiuchumi na dunia inayoongozwa na Amerika na nchi za Ulaya. Lakini leo nchi hizi zilizoweka vikwazo...
  10. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Katiba mpya kizingiti cha uonevu na ufisadi, ipatikane kabla ya 2025 kuliokoa taifa letu. Itazuia kila uovu, uonevu na ufisadi unaotamalaki sasa hivi

    Bila kuwa na katiba yenye meno haya yanayotokea huko Loliondo yatakuwa kama jambo la kawaida. Kutafuna pesa za walipa kodi kwa safari za viongozi zisizo na tija au manufaaa kwa umma zitakuwa ni jambo la kawaida. Wananchi kutozwa tozo za ajabu ajabu na zenye uonevu mkubwa itakuwa ni jambo la...
  11. KENZY

    JamiiForums Tanzania Ufahamu wako ungependa kujua/kushuhudia nini kabla haujatoeka...?

    Matamanio yetu hutofautiana kulingana na vile tulivyo,Muda nao hautupi nafasi kubwa ya kukata kiu ya yale matukio ambayo tungependa kuyaona. Haijalishi liwe kubwa au dogo kiasi gani,ilimradi ungependa kulijua ama kulishuhudia basi kiu chako kitakata!. Ni jambo gani hilo..? Binafsi moja ya kiu...
  12. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha: Ukitenguliwa kwenye nafasi za kuteuliwa urejee mshahara ule wa awali kabla hujateuliwa

    Mtumishi wa Umma atakeyeteuliwa kwenye nafasi za kuteuliwa baadaye akatenguliwa nafasi aliyoteuliwa basi arejee kwenye mshahara ule wa awali kabla hajateuliwa. Amesema kuwa kumlipa mtu mshahara wa nafasi ambayo hayupo tena (aliyokuwa ameteuliwa) ni kuwabebesha mzigo mkubwa Watanzania. Mtu...
  13. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania India: Tembo amuua mwanamke, ameenda msibani na kuikanyaga maiti ya mwanamke huyo kabla ya kuzikwa

    Tukio la kustaajabisha limetokea India ambapo tembo alimuua Maya Murmu, mwanamke wa miaka 70 aliyeenda kutafuta maji huko kijijini Raipal, Mashariki mwa India. Tembo huyo alitokea na kumshambulia mama huyo ambaye alifariki akipatiwa matibabu katika hospitali ya Rasgovindpur. Siku ya mazishi...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ni harufu ya ufisadi tu! Mikataba mikubwa ya trilioni ya pesa haiwekwi wazi na wala Bunge hatusikii likihusishwa. Tunaibiwa tushtuke kabla ya 2025

    Huwezi ukaingia mkataba mkubwa kama huu wa kuchakata gesi Lindi kimya kimya kama unaenda kuuza machungwa. Trilioni 70 ni uhai wa taifa letu. Tunatakiwa kuambiwa ukweli juu ya huu mkataba. Ufafanuzi wa kinagaubaga na kujadiliwa na Bunge. Hiyo mikataba iliyosainiwa Oman ni mashaka matupu. Maana...
  15. Chendembe

    JamiiForums Tanzania Baraka Bus & Maning Nice Bus: Tuchukue tafadhari kabla ya hatari

    Pamoja na jitihada zetu za kitokomeza ajali barabarani bado kampuni hizo tajwa hazijaelewa somo. Nimesafiri na mabasi haya kwa nyakati tofauti tofauti na kujionea uvunjifu mkubwa wa usalama barabarani. Zaidi kwa route za kusini (Mtwara, Lindi, Masasi na Tunduru) Na leo pia nimesafiri kwa basi...
  16. J

    JamiiForums Tanzania MONGELA: Kauli ya Waziri Mkuu ilitoka kabla ya Vurugu kutokea Loliondo

    TAARIFA ZINAZOENDELEA KATIKA MITANDAO YA KIJAMII KUHUSU KAULI YA WAZIRI MKUU KUHUSU LOLIONDO ZAKUPUUZWA Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mongella amesema tuendelee kuwapuuza wale wote wanaopotosha kuhusu kauli ya Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa kuhusu sakata la Loliondo "Kauli ya Waziri Mkuu...
  17. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania Kwa hali ya Ngorongoro; Dola fanyeni jambo msichelewe kabla ya maafa makubwa!

    Wakuu, Najua mpo na milango yote ya fahamu inafanya KAZI! Mimi ninawaamini nyie Ndio Taasisi pekee kimbilio isiyotiliwa shaka!nyie Ndio tumaini pekee lililobaki hapa nchini! Ujumbe wangu ni kwenu nyie na wala sio KWA CCM wala Rais aliepo madarakani kwasababu nimepoteza imani nao kabisa ...
  18. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kabla haijaitwa Bahari ya Hindi, watu wa Afrika Mashariki waliitaje?

    Eti wakuu Kabla ya kuitwa bahari ya Hindi, wakazi wa asili wa pwani kama Wazaramo na Wakwere waliita jina gani?
  19. Equation x

    JamiiForums Tanzania Usinunue vitu vya thamani kwenye nyumba ya kupanga, kabla hujajenga kwako

    Watu wengi hupenda kununua vitu vya thamani na kuishi navyo kwenye nyumba za kupanga (nyumba za wanaume wenzao, waliojinyima na kuweka mijengo). Kufanya hivyo, kunawafanya watu wengi kuishi muda mrefu kwenye nyumba za kupanga, na kusahau kujenga nyumba zao. Utakuta mtu ana kipato kizuri...
  20. J

    JamiiForums Tanzania SIMIYU: Rais Samia Suluhu tayari ameshinda Uchaguzi wa 2025 hata kabla ya kushinda ni mserereko tu

    BEI YA PAMBA JUU TENA,TOKA TZS 810 HADI TZS 1,800 MAKOFI KWA RAIS SAMIA Bei ya Pamba Tanzania imepanda kutoka Tshs 810/kg mpaka TZS 1,800/kg kwa kilo wakati huu wa Mama Samia Suluhu Hassan, Hii ni sawa na ongezeko chanya la 125% ambalo wakulima wanalipwa mkono kwa mkono tena by " Cash money"...
Back
Top Bottom