kabla

Einav Kabla (Hebrew: עינב קאבלה‎, born 27 September 1979) is an Israeli lawyer and politician. She served as a member of the Knesset for the Blue and White alliance.

View More On Wikipedia.org
  1. U

    JamiiForums Tanzania Raisi tunaomba Mradi mmoja wa ziada wa Gas Kinyerezi kabla ya 2025 hata wa MW 500

    Kiuhalisia Bila Raisi Kikwete kuleta Mradi wa Kinyrrezi 1,2 na 3 na extension one, tungekimbia nchi Kwa mgao mkali wa umeme, matumizi yameongezeka zaidi ya asilimia 50, hivyo Mzee kikwete alitusaidia sana, na Sasa tuna umeme wa gas ambao ndo huu tunagawana hawana. Ombi langu Kwa Raisi Samia, ni...
  2. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Namshauri Serikali iagize mchele nje mapema kabla mambo hayajaharibika

    Hali ya chakula ni mbaya sana kwa sasa! ikitokea upungufu wa sukari serikali huwa inaagiza nje, chakula kimepanda bei mara dufu! nyinyi mnaotembelea ma v8 hamjui chochote kuhusu hali hii, Jakaya aliagiza mchele China na Japani ,japo haukuwa mtamu lakini uliokoa sana kipindi kile! Bashe yuko...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Nasisitiza; Binti usizae kabla hajakuoa(Epuka kuwa single Mother)

    NASISITIZA; BINTI USIZAE KABLA HAJAKUOA "EPUKA KUWA SINGLE MOTHER" Na, Robert Heriel Elewa kuwa jukumu la kubeba mimba Kwa mwanamke ambaye hajaolewa ni lake mwenyewe sio la mwanaume. Sisi wanaume hatuna muda wa kuwaza mambo ya mimba ambayo hayatuhusu Kwa watu ambao hatujawaoa. Ndio maana hata...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Kigamboni haina maji inakuwaje yaliyopatikana yapelekwe mjini kabla ya wanakigamboni kupewa maji?

    Ifike sehemu viongozi muwe na aibu jamani na wakazi wa kigamboni hata kama niwapole! 1. Wananchi wa kigamboni wanaishi kama digidigi kwenye pantoni na hakuna kiongozi hata mmoja anaeguswa na hilo 2. Mabanda ya abiria kwenye pantoni hayana viti lakini hakuna anaejigusa Si Temesa, Si LATRA, Si...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kitakachokufanya uone mambo ni rahisi ni "Imani" wakati "Akili" itakufanya uone mambo ni magumu

    Kwema Wakuu! Leo sina mengi ya kuandika, Watoto wanaimani kuliko watu wazima. Sio ajabu wakaona mambo ni rahisi. Imani ndio kitu pekee kitakachokufanya uone maisha ni Rahisi. Ukiona unayaona maisha ni magumu basi elewa tayari ushaanza kukomaa kiakili. Hiyo ni ishara Namba moja ya mtu...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa UK adumisha tamaduni kabla ya kuingia ofisini

    Katika kudumisha tamaduni na asili yake, bila kujali umaarufu wa jina la taifa analoongoza au umaarufu wake mwenyewe binafsi, Waziri Mkuu mpya wa Uingereza, Rishi Sunak alifanya tukio hili la kitamaduni kabla ya kuingia katika ofisi yake mpya. The new UK PM performing his spiritual/traditional...
  7. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kichawi niliyoyaona kwenye Derby ya Kariakoo jana kabla ya mchezo

    Natamani siku hizi timu mbili ziache kurogana kipigwe kavu kavu tuone kiuhalisia ni nani bora zaidi uwanjani na siyo haya mazingaumbwe wanayotufanyia. Haya ni baadhi ya mambo nikiyoyaona jana uwanjani; ~ Yanga SC ndiyo walikuwa wa kwanza kuingia uwanjani majira ya saa 3:05, baada tu ya kuingia...
  8. Majighu2015

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa namna ya kutatua changamoto ya kidini kabla ya ndoa

    Wakuu nina mchumba wa kiislamu ambae tumeshibana sana na nataka nimuoe lakini imetokea changamoto kwa baba yake anataka nibadili dini na amekomaa kweli kweli. Baba yake ni mtu wa dini na ni kiongozi kwenye BAKWATA. Binti hana maamuzi sana kwenye swala hilo anamsikiliza mshua wake. Binti...
  9. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Kwetu mimi pekee sijaelimika ila useremala unanibeba, kaka na mdogo wangu walioelimika wanasota, nashauri VETA kabla ya chuo

    Sisemi kwamba watu wasisome, La Haha! bali wawe na "back up a.k.a Plan B, Sio vibaya mtu mwenye degree awe na ujuzi wa kushona, ujenzi, useremala, upishi, n.k. huu ujuzi una uhakika zaidi wa kumlisha kuzidi nafasi za kazi ambazo wachache huajiriwa, anapomaliza chuo awe na uhakika wa kuanza...
  10. Ali Nassor Px

    JamiiForums Tanzania Kabla ya kuja watu weupe waafrika tuliamini uwepo wa Mungu ila hatukuamini uwepo wa shetani

    Jana nilibahatika kufanya maongezi na mzee moja wa zamani sana age inakimbilia kama miaka 90 now. nilimuuliza maswali mengi sana yanayohusu imani ila tukaenda mpaka miaka ya nyuma kidogo kutokana na maelezo yake niligundua aya. kuwa waafrika kabla ya kuja waarabu, wareno , waingereza...
  11. Championship

    JamiiForums Tanzania Bukayo Saka na Gabriel Martinelli watabeba tuzo ya Ballon D'or kabla ya Kylian Mbappe na Erling Haaland

    Kiwango cha soka kinachooneshwa na vijana hawa wawili, Saka na Martinelli kinavutia na kudhihirisha kwamba wako makini na kazi yao. Kwa miaka mitatu iliyopita tumeona vijana hawa wakipikwa na kuwa mawinga hatari sana katika Klabu ya Arsenal. Kiwango chao cha kujituma na nidhamu kinaonesha hatma...
  12. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Mo Dewji ataje waliomteka na makubaliano waliyofikia kabla hawajamuachia

    Ni miaka 4 sasa toka MoDewji alipoachiliwa baada ya kutekwa kwa siku kadhaa na WATU WASIOJULIKANA. Ule utawala wa Shetani wa Chato haupo tena, MoDewji ni wakati mwafaka sasa akafunguka yote namna alivyotekwa, watekaji wake na makubaliano yaliyopelekea yeye kuachiwa na kutupwa pale Gymkhana.
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Fikiria mara mbili kabla ya kuweka picha ya mtoto wako mtandaoni

    Wazazi au walezi wanapenda sana kuweka taarifa au picha na video nyingi sana kuhusu watoto wao mtandaoni. Wengine huko Instagram, wanachapisha video na picha za watoto wao wakiwa nusu uchi wakipigania chakula, midoli au kucheza mziki. Huko Twitter, wanashare picha za watoto wao wakiogelea...
  14. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Maandalizi muhimu kwa mjamzito kabla ya siku ya kujifungua

    Ujauzito wa mwanamke hudumu kwa walau siku 280 tangu utungwe hadi siku ya kujifungua. Ni muda mzuri unaopaswa kuchukuliwa kama sehemu ya maandalizi muhimu kwa mwanamke kabla ya kuuleta uhai mpya duniani. Kuna mambo mengi yanayoweza kufanyika, baadhi yake ni haya- Hudhuria kliniki za uzazi...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Hivi na umri ulionao bado unaendeshwa na mapenzi?

    Tunajua mapenzi yanaendesha Dunia. Tumesikia na kujionea mapenzi yalivyo na nguvu, lakini sina uhakika kama yanaweza kuhamisha milima kama wasemavyo. Umri uliyonao na mambo uliyokwisha pitia, hivi bado wewe ni wakuendeshwa na mapenzi kweli au umerogwa? Ndugu yangu kubali kukua na ujifunze...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Tahadhari ya mwisho kwa Yanga kabla ya mechi yao na Al Hilal hapo kesho

    Yamebakia kama masaa 24 kabla ya mtanange muhimu kwa Yanga na Al Hilal hapo kesho. Niwatahadharishe kitu kuwa, kesho inaweza ikatokea bahati mbaya Yanga wakafungwa goli la mapema sana. Sasa niwaambie ndugu zangu hawa kuwa, hawatakiwi kukata tamaa mpira ni dakika 90. Goli la mapema linaweza...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mtu yoyote akikuomba Umsaidie Tsh 100/= tu kabla hujamjibu 'mlambe' Kwanza Bonge la 'Kelebu' akome

    Hii ni Mbinu mpya ya Wachawi (hasa wale Chuma Ulete) ambayo huitumia kwa Kukuomba Shilingi Mia Moja (Tsh 100/=) na ukijifanya Mwema, Mtoaji na mwenye Huruma jua imekula Kwako kwani Pesa zako zote zitaishia Kwake / Kwao. Na mara nyingi hawakuombi kuanzia Mchana bali huhakikisha wanakuomba...
  18. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya wapewa saa 24 kukamilisha usajili wa line kabla ya kuzimiwa mawasiliano

    Watumiaji wa Simu nchini humo wamebakiwa na chini ya saa 24 kukamilisha usajili wa laini zao za simu kabla Mamlaka ya Mawasiliano (CAK) haijazima huduma za mawasiliano yao. Kwa mujibu wa CAK watumiaji simu na kampuni za mawasiliano waliongezewa muda wa miezi 6 kuanzia April 15, 2022 ambao...
  19. NetMaster

    JamiiForums Tanzania LIVE-IN RELATIONSHIPS: Wakristo wanaongoza kwa mahusano ya kuishi pamoja kwa muda mrefu kabla ya kuoana au kuishi bila ndoa rasmi, nini chanzo?

    Live-in relation ship ni mahusiano ya uchumba wa muda mrefu sana bila ndoa rasmi, na ni zaidi ya uchumba, maana watu huishi maisha utadhani ya mume na mke. Mfano nina rafiki yangu, huyu ni rafiki yangu hataki kuoa na huu ni mwaka wa 10 yupo anaishi na bibie ndani ya nyumba yake na wana watoto...
  20. Shimba ya Buyenze

    JamiiForums Tanzania Usiende Kwenye Usaili (Job Interview) Kabla ya Kusoma Kitabu Hiki (na Vinginevyo)

    Kitabu hiki ni kizuri. Mimi binafsi kilinisaidia katika interview yangu ya tatu baada ya kuwa nimeboronga katika interview zangu mbili za kwanza. Ndiyo nilikuwa nimemaliza chuo na kazi ya kwanza ndiyo hasa niliitaka lakini nilikutana na vijana wenzangu kutoka Kenya na Nigeria nikajua tu waziwazi...
Back
Top Bottom