kabla

Einav Kabla (Hebrew: עינב קאבלה‎, born 27 September 1979) is an Israeli lawyer and politician. She served as a member of the Knesset for the Blue and White alliance.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Russia imeiambia Israel iondoke Golan kabla hawaingia vitani kuwafurusha

    🇷🇺🇸🇾 Russia tells Israel the Golan Heights belong to Syria. Russian Armed Forces intensify operations in Syria, striking ISIS and expelling Israel from the Golan Heights.
  2. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu mawazo yangu kabla sijampa kazi msanifu majengo

    Habari ndugu wana Jamii Forums, Nipo kwenye mchakato wa kumtafuta msanifu majengo anichoree ramani ya nyumba ya kuishi familia ghorofa moja ndogo simple isiyo na makorokoro mengi maana kiwanja ni kidogo. Nyumba yangu ya kwanza, msanifu majengo mweledi kabisa alitumika na bado chumba...
  3. JamiiForums Tanzania ATCL, Reli ya Kati, TAZARA na SGR tuwape wanaoweza kuendesha kwa ufanisi mapema kabla ya kuumizwa

    Kuwawachia Watanzania waendeshe nashirika hayo makubwa ni ujinga uliokithiri. Hivi hatuelewi mashirika hayo yaliuliwa na kina nani mpaka kuwa chali? Tumeona mwendokasi imetushinda kuendesha na sio kwa mara ya kwanza. ATC tuliiuwa na sasa ipo njiani kuuliwa tena. Reli ya kati na TAZARA...
  4. JamiiForums Tanzania Viongozi: Kabla ya kuwa katika nyadhifa mbalimbali walianzia huku

    🇮🇳 Narendra Modi - Tea seller 🇺🇦 Volodymyr Zelensky - Comedian 🇦🇱 Edi Rama - Painter 🇦🇺 Tony Abbott - Trainee Priest 🇧🇬 Boiko Borisov - Bodyguard 🇨🇦 Justin Trudeau - Bouncer 🇨🇦 Stephen Harper - Mailroom Assitant 🇭🇷 Ivo Josipovic - Music Composer 🇫🇷 Nicolas Sarkozy - Cleaner 🇬🇹 Jimmy Morales -...
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Kaka kimbia kabla mambo hayajawa mengi, jaribu bahati sehemu nyingine

    Una mpenzi wako na una matarijio awe mke wako wa ndoa, kazi unayoifanya anaijua vizuri tu kuwa kipato chake ni kidogo. ''Mnatoka out mara ya kwanza unatumia pesa nyingi kweli, mnakula , mnakunywa mna enjoy kweli. Mwenzio hata haulizi pesa umepata wapi ndo kwanza anaagiza bucket. ''Mara ya pili...
  6. JamiiForums Tanzania Mchungaji awashauri wachumba kutest mitambo kabla ya kuoana; adai yeye alitest ya kwake

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida na ambayo ni kinyume na mafundisho ya kidini (kiislamu na kikristo), mchungaji mmoja wa kike amewashauri wachumba kutestiana mitambo kabla ya kuingia kwenye ndoa. Mshauri huyo wa ndoa alitokea kutoa mwanga zaidi kuhusu ni kwa nini kutalikiana kumekuwa jambo la...
  7. JamiiForums Tanzania ATC Rekebisheni hili kabla hapajawa jioni

    Kampuni yetu pendwa yenye ndege tulizonunua wenyewe kwa kodi zetu kuna mambo inatakiwa warekebishe kidogo ili waende sambamba na ushindani wa kibiashara. 1.Kuambiwa ndege imeahirisha safari au itachelewa kuondoka kwao ni jambo la kawaida 2.Ndege hata kama imeahirishwa hawana utaratibu wa...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Jacob Rombo ni nani? Historia yake kabla ya kuteuliwa kuwa DAS alikuwa anafanya nini?

    Kuna tuhuma za mteule wa Rais kuiba mafuta; nadhani tunapaswa kumfahamu vyema huyu DAS kabla ya kumuhukumu. Yawezekana hii ndiyo kazi yake ya kwanza, yawezekana anauguza au may be alipata madhila ya kifamilia yaliyopelekea aende kuchukua fedha za mafuta ya serikali akikataa hata hoja ya...
  9. JamiiForums Tanzania Picha: Ahmed Ally kabla ya kuwa Semeji la Wanamsimbazi

  10. F

    JamiiForums Tanzania Ukitaka usipoteze muda na uhudumiwe haraka kwenye ofisi za umma ni muhimu kujua unahudumiwa na mtu wa aina gani

    Kama hupendi mambo yako yaharibike unapokwenda kwenye ofisi za serikali kuomba huduma flani basi uwe na akili ya haraka ya kutambua yule afisa ni mtu wa aina gani. Mara nyingi kama yeye ni mjinga basi fanya kila uwezalo ujifanye mjinga zaidi yake, wakati mwingine hata zuzu kabisa (hii ni ngumu...
  11. JamiiForums Tanzania Kabla hujafika Dar es Salaam, ilikuwa ukisimuliwa habari zake ulikuwa unajenga picha gani kichwani?

    Habari wana JF, Binafsi kabla sijafika Dar nilikuwa na picha ya tofauti kidogo kichwani hasa ubungo na wakati huo anayekusimulia ametoka Dar eti amesahau hadi kilugha si unajua wanyakyusa tena kwa mbwembwe ndizi alianza kuuliza eti zinaitwaje kilugha? na amekuja na mikate ile mikubwa huku...
  12. JamiiForums Tanzania Mwanamke unavumilia siku ngapi kama hupewi tendo la ndoa kabla hujaamua kwenda kwenu?

    Wakuu, nimeoa siyo kwa ndoa au harusi. Jana nimerudi na mke, kwangu geto hapa Dar cha ajabu nimeshindwa kupiga show. Yaani, juzi usiku mzima tumelala nimeshindwa kupiga show. Jana nayo tena mambo yamegoma sijui nini. Sina nguvu za kiume. Huyu manzi nilimla kama mara mbili kuna siku show mpaka...
  13. JamiiForums Tanzania Serikali imdhibiti huyu nabii kabla hayajatokea yale ya Shakahola

    Anaitwa Boniface Victor au nabii Musa. Huyu ambaye anapotosha umma. Nimefuatilia Channel yake YouTube ni kama mtu aliyepagawa. Anaongea vitu ambavyo havipo kabisa. Hawa vijana waliokosa ajira na kulowea makanisani wanaanzisha Imani za hovyo ambazo si za Kikristo lakini kwakuwa wafuasi ni...
  14. JamiiForums Tanzania Siku 3 kabla ya kucheza na Yanga, wachezaji 7 wa Mamelodi Sundowns watakuwa Algeria kwenye majukumu ya kitaifa

    Kuna mambo Watanzania inabidi tupevuke kwenye masuala haya ya mpira. Kumekuwa na hii kasumba ya kuwachukulia wachezaji kama mayai hivi. Yaani tunataka wacheze mechi moja kwa wiki, kabla ya mechi yoyote ya kimataifa hamtaki wagusweguswe hata kwa wiki mbili mkiogopa eti watachoka au kuumia...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Tukutane hapa tuliopata ubaba kabla ya ndoa, ilikuwaje, ulichukua maaamuzi gani, ndie uliemuoa?

    Nakumbuka jioni ya siku kama ya leo kuelekea weekend nilimuita aje tuspend kwangu. Mida kama hii nashangaa msosi naoukuta mezani sio kawaida yake kuniandalia akija, aliandaa juice nzito, pilau la nazi na njegere. nimemaliza kula namsifu kwa mapishi yake ajiandae nae nimle, ndio akanifungukia...
  16. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Haiti ajiuzulu baada ya Makundi ya Uhalifu kumshinikiza aachie madaraka kabla ya kurejea nchini humo

    HAITI: Waziri Mkuu Ariel Henry amekubali kujiuzulu baada ya kuwepo shinikikizo la Makundi ya Uhalifu yaliyomtaka kuachia madaraka kwa hiari kabla ya kurejea nchini humo kutoka Puerto Rico alikofikia wakati akirejea kutoka nchini Kenya. Henry alichukua nafasi hiyo mwaka 2021 baada ya Rais...
  17. JamiiForums Tanzania Hivi ingekuwaje kama wanawake ndio wangekuwa wanatongoza wanaume?

    Jamii yetu inaamini kuwa Mwanaume ndiye mtongozaji na Mwanamke ndie kiumbe anastahili kutongozwa, si vinginevyo, na hii ni universal accepted, hayo ya mwanamke kuanza kusema ni ya sasa hivi kizazi cha AI. Ila hata Biblia utaona mtu wa kwanza kuumbwa alikua mwanaume so it means alieanza kuhisi...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Mbowe usifanye kosa la kuachia Uenyekiti CHADEMA kabla ya 2030 vinginevyo tutarudi miaka ile myeusi (1995)

    Sisi tanaangalia mzigo ufike panapohusika na sio hali ya punda! Tunakuomba sana mheshimiwa Freeman Mbowe kama unawapenda watanzania na CHADEMA usifanye kosa la kuachia uongozi wa chama kabla ya angalau 2030. CHADEMA sio chama cha kuchukuliwa kiepesi epesi, CHADEMA ndio upinzani nchi hii na...
  19. JamiiForums Tanzania Mwanamke anazidi utamu kadri anavozidi kuwa mweusi

    Chukua hiyo mtu wangu, Usikione kidada cheusi tii kinapita ukakidharau. Hicho ndo kimebeba asali mbichi huko chini. Ile yenyewe kabisa ya nyuki wa kienyeji.
  20. JamiiForums Tanzania Kudai barua ya ajira kabla ya kulipwa mafao

    Kutokana na maendeleo ya Technologia, ambapo zipo njia za kuaminika zaidi za kumtambua mtu; napendekeza Sheria ya Kudai mzee aliyekuwa mfanyakazi pengine kwa miaka 30 alete barua aliyopewa wakati anapata ajira kwa mara ya kwanza ili aweze kulipwa mafao yake iondolewe. Nafikiri wanaweza kuweka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…