Mchungaji awashauri wachumba kutest mitambo kabla ya kuoana; adai yeye alitest ya kwake

tpaul

JF-Expert Member
Feb 3, 2008
21,835
18,249
Katika hali isiyokuwa ya kawaida na ambayo ni kinyume na mafundisho ya kidini (kiislamu na kikristo), mchungaji mmoja wa kike amewashauri wachumba kutestiana mitambo kabla ya kuingia kwenye ndoa.

Mshauri huyo wa ndoa alitokea kutoa mwanga zaidi kuhusu ni kwa nini kutalikiana kumekuwa jambo la kawaida katika jamii ya leo. Mchungaji mmoja wa kike kutoka nchini Ghana ambaye pia anajiongeza kama mshauri wa masuala ya ndoa, Dkt Nana Yaa Prempeh amekuwa gumzo mitandaoni baada ya kuwashauri akina dada nini cha kufanya kabla ya kukubali kuingia katika ndoa.

Kaitka video ambayo imesambaa mitandaoni, mchungaji huyo alikuwa akizungumza kwenye runinga moja nchini humo wakati alifunguka kwamba yeye ni mmoja wa wanawake wenye filosofia ya ‘kuona na kuhakikisha uume unafanya kazi kabla ya kuamua ndoa’.

Mchungaji huyo amesema ndoa nyingi zinavunjika siku hizi baada ya mmoja wa wanandoa kugundua mitambo ya mwenzake haimridhishi hivyo kupelekea ndoa nyingi kukata roho.

“Mimi ni miongoni mwa wanawake wa Mungu ambaye nadhani kabla ya kuolewa na mwanaume lazima uuone uume wake. Lazima uione, lazima uishike, lazima uisikie na uhakikishe inafanya kazi.”

Baada ya maneno hayo kutamkwa bila kutarajia mtangazaji wa kike aliyekuwa anaongoza mahojiano hayo, aliomba kunywa maji na mchungaji huyo alimuuliza mbona kama ameshtushwa na maneno yake.

“Ah, mbona unakuwa na wasiwasi hivyo?” mchungaji huyo alimuuliza mtangazaji naye akamjibu, “ngoja kwanza ninywe maji kidogo.”

Hii hapa chini ni video hiyo ambayo imezua taharuki mitandaoni kuhusu baadhi ya mafundisho ambayo watumishi wa Mungu wanafundisha siku hizi hasa katika suala zima la muunganiko wa mume na mke kuanzisha familia.

View: https://youtu.be/7XGaqwJw-tw
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida na ambayo ni kinyume na mafundisho ya kidini (kiislamu na kikristo), mchungaji mmoja wa kike amewashauri wachumba kutestiana mitambo kabla ya kuingia kwenye ndoa.

Mshauri huyo wa ndoa alitokea kutoa mwanga Zaidi kuhusu ni kwa nini kutalikiana kumekuwa jambo la kawaida katika jamii la leo.
Mchungaji mmoja wa kike kutoka nchini Ghana ambaye pia anajiongeza kama mshauri wa masuala ya ndoa, Dkt Nana Yaa Prempeh amekuwa gumzo mitandao ni baada ya kuwashauri kina dada nini cha kufanya kabla ya kukubali kuingia katika ndoa.

Kaitka video ambayo imeenezwa mitandaoni, mchungaji huyo alikuwa akizungumza kwenye runinga moja nchini humo wakati alifunguka kwamba yeye ni mmoja wa wanawake wenye filosofia ya ‘kuona na kuhakikisha uume unafanya kazi kabla ya kuamua ndoa’.

Mshauri huyo wa ndoa alitokea kutoa mwanga Zaidi kuhusu ni kwa nini kutalikiana kumekuwa jambo la kawaida katika jamii la leo kinyume na miaka ya nyuma haswa barani Afrika.

“Mimi ni miongoni mwa wanawake wa Mungu ambaye nadhani kabla ya kuolewa na mwanaume lazima uuone uume wake. Lazima uione, lazima uishike, lazima uisikie na uhakikishe inafanya kazi.”

Baada ya maneno hayo kumpata bila kutarajia mtangazaji wa kike aliyekuwa anaongoza mahojiano hayo, aliomba kunywa maji na mchungaji huyo alimuuliza mbona kama ameshtushwa na maneno yake.

“Ah, mbona unakuwa na wasiwasi hivyo?” mchungaji huyo alimuuliza mtangazaji naye akamjibu, “ngoja kwanza ninywe maji kidogo.”

Hii hapa chini ni video hiyo ambayo imezua taharuki mitandaoni kuhusu baadhi ya mafundisho ambayo watumishi wa Mungu wanafundisha siku hizi haswa katika suala zima la muunganiko wa mume na mke kuanzisha familia.
yuko sahihi 50%

HAYUKO SAHIHI 50%
 
Kivipi mkuu? Hebu eleza kwa upana
Namaanisha kuna ukinzano wa mawazo kuna baadhi ya imani wanasema ni sawa, wengien wanasema hapana, japo nadhani siku hizi kulingana na mabadiliko ya mila na desturi watu wanaona kama ni fasheni lakini zamani ilikuwa hakuna mapenzi kabla ya ndoa.

Ni suala mtambuka na bado lina ukinzani sana, wenye misimamo yao ni hamna ila wengine kanyaga twende hatutaki kuuziwa mbuzi kwenye gunia
 
Kwa hiyo wewe unashauri watu waende kinyume na maelekezo ya Mungu/Allah?
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida na ambayo ni kinyume na mafundisho ya kidini (kiislamu na kikristo), mchungaji mmoja wa kike amewashauri wachumba kutestiana mitambo kabla ya kuingia kwenye ndoa.

Mshauri huyo wa ndoa alitokea kutoa mwanga zaidi kuhusu ni kwa nini kutalikiana kumekuwa jambo la kawaida katika jamii ya leo.
20240226075438_-1547876799_1997902203596385701_419_235_85_webp.webp
Mchungaji mmoja wa kike kutoka nchini Ghana ambaye pia anajiongeza kama mshauri wa masuala ya ndoa, Dkt Nana Yaa Prempeh amekuwa gumzo mitandaoni baada ya kuwashauri akina dada nini cha kufanya kabla ya kukubali kuingia katika ndoa.

Kaitka video ambayo imesambaa mitandaoni, mchungaji huyo alikuwa akizungumza kwenye runinga moja nchini humo wakati alifunguka kwamba yeye ni mmoja wa wanawake wenye filosofia ya ‘kuona na kuhakikisha uume unafanya kazi kabla ya kuamua ndoa’.

Mchungaji huyo amesema ndoa nyingi zinavunjika siku hizi baada ya mmoja wa wanandoa kugundua mitambo ya mwenzake haimridhishi hivyo kupelekea ndoa nyingi kukata roho.

“Mimi ni miongoni mwa wanawake wa Mungu ambaye nadhani kabla ya kuolewa na mwanaume lazima uuone uume wake. Lazima uione, lazima uishike, lazima uisikie na uhakikishe inafanya kazi.”

Baada ya maneno hayo kutamkwa bila kutarajia mtangazaji wa kike aliyekuwa anaongoza mahojiano hayo, aliomba kunywa maji na mchungaji huyo alimuuliza mbona kama ameshtushwa na maneno yake.

“Ah, mbona unakuwa na wasiwasi hivyo?” mchungaji huyo alimuuliza mtangazaji naye akamjibu, “ngoja kwanza ninywe maji kidogo.”

Hii hapa chini ni video hiyo ambayo imezua taharuki mitandaoni kuhusu baadhi ya mafundisho ambayo watumishi wa Mungu wanafundisha siku hizi hasa katika suala zima la muunganiko wa mume na mke kuanzisha familia.
Kuoana

Kuoa

Kuolewa

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Kujua kama uume wa mwanaume wako unafanya kazi sio lazima uushike, daktari anaweza kukuthibitishia. Sema tu kwamba uliona uzini kwanza na huko kutest mitambo ndiyo ndoa yenyewe sasa.
 
una minyaminya nyanya, unachukua biringanya..
kimsing wanaoathirika kimwili na kisaikolojia kwenye hzi onja onja campaign ni wanawake, kwahyo kila anayekutongoza akakukaze kwanza kama hakufikisha achana nae kakazwe na mwingine mpk umpate konk masta, ukikutana na konk masta naye sio muoaji ni player, vilio vinaendelea.
 
Dunia imebadilika ... Hasa upande wetu unakuta dume zima kumbe ni mke wa mtu sasa ukute ndo hilo dume jike libataka kuoa si lazina uchunguze ...Na wanawake mwanaume akikupa shoo ukampenda malizia na kumwambia aluke kichura chura akipiga filimbi ama kujichafua kabisa piga chini hiyo mbwa
 
Back
Top Bottom