Natafuta wanapouza simu ndogo (viswaswadu) kwa bei ya jumla

Mayova

Senior Member
May 10, 2018
182
123
Wazee mambo vip? Naomba mwenye kujua maeneo ambayo dar wanauza viswaswadu (simu ndogo) kwa bei ya jumla. Natanguliza shukrani
 
hizi sim miaka 7 iliyopita nilikuwa na chimbo kwa 10k sasa hivi sijui kwakweli

nenda kkoo kawaulize mafundi sim
 
Wazee mambo vip? Naomba mwenye kujua maeneo ambayo dar wanauza viswaswadu (simu ndogo) kwa bei ya jumla. Natanguliza shukrani
Kama uko na uhitaji njoo kariakoo uhuru plaza
Au unaweza nicheki whatsapp ndugu 0736156200
 
Back
Top Bottom