jumla

  1. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Serikali imeendelea kusimamia utekelezaji wa sheria za kazi kuweka mazingira bora ya kazi ambapo imefanya jumla ya kaguzi za kazi 20,637 katika maeneo

    Serikali imeendelea kusimamia utekelezaji wa sheria za kazi kuweka mazingira bora ya kazi ambapo imefanya jumla ya kaguzi za kazi 20,637 katika maeneo ya kazi kwa lengo la kuhakikisha kuwa viwango vya kazi vinatekelezwa ipasavyo. Jumla ya Amri Tekelezi 1,826 zimetolewa kwa waajiri waliobainika...
  2. Mike Moe

    JamiiForums Tanzania Wauzaji Wavijora kwa bei ya jumla

    Habari za asubuhi wanajamii Kwa waleo wauzaji wa vijora kwa bei ya jumla naomba kujuzwa bei zikoje niko mkoa mnaweza tuma pia sample za picha kama mko nazo
  3. kancher

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kibiashara:- Nahitaji shareholder au mkopo wa bidhaa kutoka kwa nuuzaji wa jumla.

    Habari wakuu. Husika na mada hapo juu, mimi ni mfanyabiashara napatikana kanda ya kaskazini, najishughurisha na biashara ya duka la nguo za kisasa mchanganyiko za kiume na kike. Nahitaji msaada kwa mtu yeyote tuingie share tufanye biashara pamoja kwa yeye kuweka mtaji au mfanyabiashara ambaye...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Karibu tufanye biashara ya vitenge Jumla na Rejareja. Mikoa yote Tanzania na nchi jirani.

    Habari za leo wadau wote wa Jamii Forum Duka letu maarufu kwa biashara ya vitenge lililoko soko kuu kasulu mjini, kigoma, Tanzania Tuna furaha kuwatangazia kuwa tunazo aina zote za vitenge vikiwemo vitenge kutoka Tanzania, Kongo, Nigeria, Ghana na China (mfano Wax aina zote, Java za Kongo na...
  5. Mike Moe

    JamiiForums Tanzania Wauzaji wa handbags na masimo kwa bei ya jumla naomba kujuzwa bei za handbags medium size

    Kwa wale ndugu zangu Wauzaji wa handbags na massimo(kama sijakosea kuiandika hiyo masimo) kwa bei ya jumla naomba kujuzwa bei za jumla handbags medium size pamoja na massimo Pia naomba kufahamu bei ya jumla kwa pochi kubwa za kike
  6. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Japo wana udhaifu wao, wanawake ndio nguzo ya familia na dunia kwa jumla

    Unaweza kuziorodhesha dosari zao nyingi tu,lakini mwanamke ndio nguzo ya familia na dunia nzima.Ndio wanaleta furaha,wanapamba nyumba,wanazaa na kulea watoto,ndio nguzo ya kiuchumi ya familia.Tuwape maua yao
  7. Osei Tz

    JamiiForums Tanzania Kama kuna mtu anauza kwa bei ya jumla bidhaa zifuatazo naomba tuwasiliane

    Nipo Kibaigwa Dodoma natafuta mtu ambae yupo dar es salaam au Morogoro ambae atakua ananiuzia na kunitumia kwa njia ya basi bidhaa zifuatazo 1. Bahasha no. 3- original na ya kawaida 2. Blubendi ndoo ya lita10 3. Foili 4. Radha za aina mbalimbali kwaajiri ya cake. Kama upo tayari naomba...
  8. C

    JamiiForums Tanzania KERO Kata ya Kibata wilaya ya Kilwa ina miundombinu ya barabara mibaya na kupelekea maisha kuwa magumu

    UGUMU WA MAWASILIANO YA BARABARA NA MADARAJA NDANI KATA YA KIBATA WILAYA YA KILWA NI WA KUTISHA. Kibata ni miongoni mwa kata 23 ndani ya Wilaya ya Kilwa. Kata hii Ina vijiji vinne. Kata hii Ina jumla ya shule nane(msingi 7 na Sekondari 1). Vilevile ni kata yenye dispensary 4 sawa na vijiji...
  9. Mangi wa Rombo

    JamiiForums Tanzania Tunauza Mkaa kwa bei ya Jumla - Dar es Salaam , Madale.

    Habari! Sisi ni wazalishaji na wauzaji wa mkaa wa kawaida. Tuna vibali vyote vya wakala wa misitu, na mkaa wetu unazalishwa kutoka kwenye misitu endelevu iliyo ruhusiwa kuvunwa. Gunia zetu zimeshonwa vizuri na haziendi zikidondosha mkaa, tunatumia mifuko mipya na kamba madhububuti kusuka...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Alitaka kupambana na mchumi nguli ambaye hata Rais hamgusi. Sasa kapotea jumla

    Jamaa alijiona na kafinance kake kuwa naye ni mchumi wakati kale ni ka segment tu ka uchumi. Sasa kila kitu kimenyooka chini ya huyu mwamba wa uchumi. Dolla inashuka thamani dhidi ya tsh kila siku. Mzunguko wa pesa ni mkubwa sana. Ajira kila kona Mpina kwa heri ya kuonana.
  11. J

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mdau, yapi maoni yako ya Jumla kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika Novemba 27, 2024?

    Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024: Changamoto, Mafanikio, na Mustakabali wa Demokrasia Yetu Novemba 27, 2024, Watanzania walishiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa lengo la kuchagua viongozi wa vijiji, vitongoji, na mitaa. Uchaguzi huu, kama chombo muhimu cha kukuza ushiriki wa...
  12. Father TZA

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kuuza daftari kwa bei ya jumla

    Habari za Kazi ndugu wadau..? Niko mbele zenu kuomba ujuzi wa namna ya kuendesha biashara ya Kuuza Daftari Kwa bei za jumla.. Naomba nisaidie kujua hatua za kufanya ili kufanya kazi hiyo. Pia naomba kujua Nini changamoto kubwa hasa katika biashara hiyo.
  13. mr.general

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa wanapouza chaja za simu

    Naomba kujuzwa wanapouza chaja za simu kwa bei ya jumla,kwa ajili ya biashara yangu. Nisaidieni kunijuzwa chimbo wanalouza charger za simu. Shukrani
  14. M

    JamiiForums Tanzania BOlT and NUTS dula jumla

    Msaada wenu wakuu wapi ntapata bolt and nuts za mm32 au 30mm inchi 19 kwakariakoo zipo naje zinapatikana
  15. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wauzaji wa jumla wa alcobond Zina bend zinazokunjika

    Wakuu msaada wenu wapi ntapata au nimakampuni Gani wanaouza alcond original zina
  16. K

    JamiiForums Tanzania Nina kilo 600 za maharagwe, nauza Tsh 1800 kwa kilo moja

    Kuna mzigo wangu wa maharagwe ninazo Kg 600 nauza kwa bei ya Tsh 1800. Usafiri Utalipia mzigo Upo Kasulu Kigoma. Ni maharagwe mazuri yaliyovunwa Mwaka huu.
  17. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Machimbo yote ya biashara Karikakoo na namba 600 za suppliers wa bidhaa zenye bei nafuu Kariakoo Jumla na Rejareja

    Unapoamua kuingia kwenye ulimwengu wa biashara, zipo changamoto kadhaa ambazo lazima utakutana nazo katika harakati za utafutaji. Changamoto kubwa zaidi ni kujua wapi pa kupata bidhaa kwa bei ya jumla ili uweze kuuza kwa jumla na rejareja. Najua, ndugu msomaji wa kitabu hiki, pengine hata wewe...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Wauzaji wa Jumla wa vifaa vya simu

    Habari za asubuhi viongozi naomba muuzaji wa vifaa vya simu Kwa bei ya Jumla ,vitu kama Mic, LCD za simu ndogo hizo Techno na nyingine karibuni
  19. Investaa

    JamiiForums Tanzania Msaada wa machimbo ya jeans bei ya jumla

    Habari wa JF. Kama title inavyojieleza hapo juu nahitaji chimbo ya jeans kkoo kwa bei ya jumla, kuna jamaa niliongea nae leo tuonane kkoo anipeleke matokeo yake hapokei simu ko nimeenda nimerudi empty.
  20. Neema Mkangwa

    JamiiForums Tanzania Nauza Ubuyu Mtamu sana kwa Bei ya Jumla na Rejareja

    Jipatie ubuyu mtamu sana wa kiarabu ambao unapata kwa ladha tofauti tofauti Ladha ya Vanilla Ladha ya Chocolate Ladha ya Pilipili Ni mtamu na hauchubui Mdomoni Call:0752228138 Jumla na Rejareja
Back
Top Bottom