jpm

  1. I

    JamiiForums Tanzania Uzuri wa Dkt. Magufuli ataanza na wafuatao...

    Uzuri wa JPM akishaingia madarakani, anaanza kuwashughulikia wale waliosaidia kumwingiza madarakani na walio mpigia kura. Sasa wewe endelea tu na kiherehere na kimuhemuhe cha kumpigia campaign na kumpigia kura lakini ujue ataanza na nyie. 1. Ataanza na wakurugenzi. Wakurugenzi wa Halmashauri...
  2. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwa mambo haya 10, mimi kama Mtumishi wa Umma (mwalimu), John Pombe Magufuli sikupi kura yangu asilani

    Pamoja na kujipitisha mashuleni kutuomba kura za huruma, mie nimeamua kura yangu sitampa mgombea wa ccm kama nilivyofanya 2015 hii ni kutokana na mambo 10 niliyoyaona kipindi hiki cha miaka mitano 1. Makato ya bodi ya mikopo toka 8% hadi 15% bila sababu maalum tena kwa ubabe. 2. kutunyima...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Dkt. Magufuli ana mpango wa kubadilika awamu ya pili?

    Mapungufu mengi ya Rais Magufuli katika awamu ya kwanza yamekuwa mithili ya karata ya turufu kwa mpinzani wake mkuu kwenye kinyan'ganyiro cha urais, Mh. Tundu Lissu. Baadhi ya mapungufu haya ni uminywaji wa demokrasia, kwa mfano ukandamizaji wa vyama vya upinzani, udhibiti wa vyombo vya habari...
  4. JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli: Vijana wanakosa ajira na kudharaulika, Miaka 5 inayokuja nataka suala la ajira nilishughulikie

    Dkt. Magufuli: Vijana wanakosa ajira, Vijana wanadharaulika wengine wamemaliza kusoma hawapati ajira > Miaka 5 inayokuja nataka suala la ajira nilishughulikie kwa nguvu zote. Kama tumeweza kuupandisha uchumi, kujenga Fly-Over, siwezi kushindwa suala la ajira kwa Vijana
  5. JamiiForums Tanzania GE2020 TLP yasema inaendelea kumuunga mkono Magufuli. Kauli ya msajili kwamba wamesitisha uamuzi huo hawaitambui

    CHAMA cha Tanzania Labor Party (TLP), kimeibuka na kusema kuwa bado kina nia ya kumuunga mkono mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), John Magufuli katika uchaguzi mkuu ujao. Kimesema Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Tanzania ilikosea kutangaza kwamba wamesitisha uamuzi huo...
  6. JamiiForums Tanzania Mebeberu wana malengo na Tanzania? Waanza uzushi wa fujo baada ya JPM, CCM Kushinda. Wamzushia Magufuli ni dikteta. Kwanini tunanyamaza?

    Wanabodi, Kuhusu Uchaguzi Mkuu wetu na ushindi wa kishindo wa JPM na CCM, huko nyuma niliwahi kutoa angalizo hili muhimu la kiusalama Security alert kwa Serikali yetu, tuwe makini sana na Marekani: Kuna kitu kinapangwa halafu wajifanye walionya kabla. Je, wanapanga Kutu-Libya? Kabla ya hapo...
  7. JamiiForums Tanzania Suala zuri kwa Dkt. Magufuli ni kwamba ana mipango mizuri inayotekelezeka

    Sifa nyingine nzuri aliyonayo JPM ni kupanga mipango vizuri, tena inayotekelezeka. Amepanga na kuanzisha miradi mikubwa mikubwa ambayo ni ya kimkakati na kuchagua kutumia mbinu ya ‘iende pamoja’badala ya ‘mmoja baada ya mwingine’. Ni miradi ghali, lakini serikali yake iliweza kukaa chini na...
  8. JamiiForums Tanzania Ithibati ya Ustadi wa Magufuli katika Uongozi

    Wataalamu wawili wa masuala ya uongozi, Profesa Ronald Raggio na Dkt. Sherylle Tan wa chuo cha Claremont McKenna nchini Marekani, walipata kuhariri kitabu kiitwacho “Leader Interpersonal and Influence Skills: The soft skills of leadership”, wakielezea stadi anazopaswa kuwa nazo kiongozi, hususan...
  9. JamiiForums Tanzania Utafiti wa mpya wa Kisayansi uliochapishwa jana wathibitisha Rais Magufuli alikuwa sahihi kutoweka katazo la kutoka nje "lockdown"

    Utafiti mpya kabisa wa kisayansi uliochapishwa jana kwenye Jarida la Sayansi la BMJ (BMJ 2020;371:m3588 ) umethibitisha kuwa JPM alikuwa sahihi kutowafungia watu kwa sababu ya corona. Utafiti huo unaonyesha kuwa kuwafungia watu kunaongeza madhara zaidi ikiwa ni pamoja na kuongeza idadi ya...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli achochea kuimarika kwa sekta ya biashara

    Mara baada ya nchi yetu kupata uhuru iliamua kufuatia mfumo wa siasa ya ujamaa na kujitegemea na ilipofika mwaka 1967 lilitangazwa Azimio la Arusha ambapo njia kuu zote za uchumi zilikuwa zinamilikiwa na kusimamiwa na dola ikiwemo mifumo rasmi ya masoko ya mazao. Mashirika mbali mbali yaliundwa...
  11. JamiiForums Tanzania GE2020 Inawezekana vipi gari zote hizi tena aina tofauti ziwe na namba hii ya T 2020 JPM?

    Nimekuwa nikiona magari mengi tofauti yana namba za usajili T2020 JPM, nauliza je hii ni namba halali kwa magari haya? Nimeona magari zaidi ya 10 yana namba hii. Inawezekana vipi gari zote hizi tena aina tofauti ziwe na namba hii? Mfano limesababisha ajali nikienda polisi nikiwatajia namba hii...
  12. JamiiForums Tanzania GE2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu

    Jiji la Dar es Salaam ambayo ni ngome Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo linatarajiwa kusimama kwa siku tatu kupisha uzinduzi wa kihistoria wa mgombea Urais wa Chama hicho. Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chadema Tundu Lissu atazindua Rasmi kampeni zake kuelekea Ikulu ya Magogoni na...
  13. I

    JamiiForums Tanzania Kama jpm alipeperusha korona na Hali uko hivi, he asingeipeperusha ingekuwaje!

    Mi nawaza kwa sauti tu. Kama hakubaliki kiasi hili mpaka kwao chato au mwanza tumeona lisu akitikisa huko, je asingekuwa na ajenda ya kupeperusha covid ingekuwaje? Inaonekana watu hawamtaki kabisa ndo Mana ameona atetewe na NEC na polisi ili kuwatisha watu angalau. Maskini jpm mi nakuonea huruma...
  14. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli: Nikimaliza urais, nitaoa mwanamke wa pili Zanzibar

    Wapwa, Magufuli anaendelea na kampeni zake, wakati wakiendelea kunadi sera, akachomekea kuwa akimaliza uraisi ataoa mwanamke wa pili Zanzibar hii ni baada ya kudokezwa na mzee Mwinyi kuwa siri ya yeye kuishi maisha marefu ni kuwa na wake wawili. Hivi First Lady yuko Zanzibar au anaangalia TBC...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ni Jemedari kweli wa Vita ya Ufisadi na Rushwa-Jua fedha, majengo, na vitu vingine kibao vilivyorejeshwa Serikalini. Big up JPM

    Moja ya kazi nzuri aliyofanya Mheshimiwa Rais Magufuli ni kupiga vita ufisadi na rushwa kwa vitendo. Mashauri makubwa ya ufisadi 407 yamepelekwa mahakama ya mafisadi na mashauri 385 yamesikilizwa. Aidha kupitia Takukuru mashauri 2,256 yalifunguliwa ambapo mashauri 1,926 tayari yametolewa uamuzi...
  16. JamiiForums Tanzania Speed ya JPM ni ya Lockheed (hakamatiki)

    KASI YA DKT MAGUFULI NI YA LOCKHEED Na Elius Ndabila Mh Dkt John Magufuli ambaye ni mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi speed yake kuelekea uchaguzi wa October 28 mwaka huu ni sawa ndege aina ya LOCKHEED. Ukubwa wa speed hii umesababisha kuwachanganya kabisa wapinzani wake kutoka vyama...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Angalia US Presidential Debate 2020

    Kwa wale watu wanaofuatilia siasa za kimataifa ili kutanua uelewa wa siasa fuatilia US Presidential Debate 2020 Cleveland, Ohio saa 10.00 usiku. DSTV ALJAZEERA channel Namba 406 na News Room Afrika Channel Namba 405 watakuwa Live kukuletea Debate hii. Hii itakuwa debate ya kwanza kwa uchaguzi...
  18. JamiiForums Tanzania GE2020 Namkubali Dkt. Magufuli, siikubali CCM lakini ni propaganda potoshi kumuita Lissu kibaraka wa Wazungu

    Nimekuwa nikimfuatilia Lissu kabla na baada ya tukio la kujeruhiwa. Wengi wanaompinga kwa kisingizio cha ukibaraka wenda wanafanya makusudi, au wanataka kuwaokota watu wasio na ufahamu au ni kukidhalilisha chama cha Mapinduzi kwa kutumia mbinu za kizamani. Zamani za CUF tulitishiwa udini...
  19. JamiiForums Tanzania GE2020 Mwenye ushahidi wa Dkt. Magufuli akimtaja Tundu Lissu kwenye kampeni zake tangu zilipoanza atuwekee hapa

    Tunashuhudia kampeni za mgombea urais kupitia CHADEMA ndugu Tundu Lissu kila anapopanda jukwaani lazima atamtaja Magufuli kwa jambo lolote lile kwa kifupi kipaumbele cha kwanza kwenye hotuba za Tundu Lissu ni Dkt. Magufuli. Sasa tunaomba mwenye ushahidi wa JPM akimtaja Tundu Lissu mahala popote...
  20. O

    JamiiForums Tanzania Magufuli aangalie upya huu mfuko wa NHIF, wanatutesa na kutunyanyasa, wanakuchonganisha na watumishi

    Mh. Rais kwanza nakupongeza kwa kazi nzuri na iliyotukuka, na hongera kwa kampeni ya kisayansi, kampeni imenoga na watanzania tunakukubali. Mh. Rais kuna jambo yawezekana ukawa unalifahamu ila kwa kuelezwa na wahusika kinafiki ili kufunika kombe, juu ya huduma zitolewazo na mfuko wa bima ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…