Magufuli aangalie upya huu mfuko wa NHIF, wanatutesa na kutunyanyasa, wanakuchonganisha na watumishi

OTTER

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
425
500
Mh. Rais kwanza nakupongeza kwa kazi nzuri na iliyotukuka, na hongera kwa kampeni ya kisayansi, kampeni imenoga na watanzania tunakukubali. Mh. Rais kuna jambo yawezekana ukawa unalifahamu ila kwa kuelezwa na wahusika kinafiki ili kufunika kombe, juu ya huduma zitolewazo na mfuko wa bima ya afya NHIF ya kufanya maamuzi ya kuondoa baadhi ya huduma za matibabu pasipo kuwajulisha wachangiaji.

Kuna dawa muhimu ambazo zinatufanya sisi wachangiaji kuzitumia ili tuelendee kuishi na kulitumikia taifa, na kuchangia pesa ziendelee kununulia madawa, wameamua kuzitoa makusudi. Unapoandikwa na daktari wako aina ya dawa hizo ukifika pharmacy za pale MOI unaambiwa zimeondolewa. Kitendo hiki kimewafanya wachangiaji na wategemezi wachukie na kuwafanya waugue mara tatu zaidi maana dawa hizo zinauzwa ghali sana.

Kuna wategemezi wetu, watoto na wazazi, wameondolewa kwenye bima. Ndiyo mtoto kafikisha miaka 18, lakini bado wanafunzi wanamuondoa kwenye huduma hizo za matibabu, wanadai walipiwe elfu 50,000/= sasa huo mchango kazi yake ni nini. Kwanini watoto wasiwaache wafikishe angalau kati ya miaka 24-25. Hiyo ndiyo miaka ya watoto wa kitanzania kumaliza elimu ya juu.

Kwa hili Mh. Magufuli wafanyakazi wanaumizwa, hao viongozi wa NHIF wanakuchonganisha nao. Nakuomba kwa kuwa wewe Bado ni RAIS na tutakuongezea mingine 5. Tunaomba suala hili waliangalie upya ili kutupunguzia machungu ya matibabu na maisha kwa kurudisha dawa zote zilizokuwepo hapo awali, kuwarudisha wategemezi wetu kwa huduma hii ya matibabu.

Mh. Rais ni hayo tu, najua nisiposema nitazidi kuumia japo kura yangu ni yako. CCM OYEEEEEEE
 
dong yi

JF-Expert Member
Jan 31, 2016
3,662
2,000
mama wajawazito kama wana changamoto ya mis-carriage kuna dawa kama Pre Natal na Duphaston zimeondolewa........

hiyo Pre Natal kidonge kimoja ni 600tsh (kopo moja lina vidonge 30) na mjamzito anatakiwa kunywa daily mpk ajifungue....... wameondoa kwenye bima,,,,

Duphaston kidonge kimoja ni 2500tshs, kwa mwez anapewa vidonge 30, nazo wameondoa kwenye bima......thats 75k/m,,,,,

huu utawala ni wa kishetani sana
 
Atlantis Voyager

JF-Expert Member
Jan 19, 2018
251
500
Hili ni swala la kipaumbele namba moja nadhani maana mheshimiwa anaamini kwenye Bima ya Afya kwa wote. Its either mkurugenzi na bodi ya NHIf hawafahamu uchungu wanaopitia watanzania kwa kuumwa halafu bima haikuhifadhi au kama hawaelewi basi wapatiwe mafunzo wapelekwe hata Southafrica kwenye Health Insurance bora zaidi Africa ukitoa Africa north of Sahara huko Morocco, Tunisia na Algeria kwenye bima za afya zenye ubora wa Europe.

Huwezi kuita bima wakati dawa muhimu hupati unatolewa mbio pharmacy. Sasa hivi Kipindupindu widal test bima hailipi wakati hali ya nchi yetu tunaifahamu.
Cha kusikitisha hata hizi bima private zinalazimika kuiga NHIf kwenye kucover costs nao pia widal test hawalipi siku hizi mara baada ya NHIf kukataa.

Ni suala la kusimamiwa na dada yetu Ummi mwalimu ambaye ni mwanasheria labda tungeweka daktari aliyekulia mazingira ya kimaskini angeelewa machungu wanayopitia wanaanchi.

Tanesco mna hujumu juhudi za kupanua umeme kwa kukata kata bila sababu
 
Keynes

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
531
225
Mh. Rais kwanza nakupongeza kwa kazi nzuri na iliyotukuka, na hongera kwa kampeni ya kisayansi, kampeni imenoga na watanzania tunakukubali. Mh. Rais kuna jambo yawezekana ukawa unalifahamu ila kwa kuelezwa na wahusika kinafiki ili kufunika kombe, juu ya huduma zitolewazo na mfuko wa bima ya afya NHIF ya kufanya maamuzi ya kuondoa baadhi ya huduma za matibabu pasipo kuwajulisha wachangiaji.

Kuna dawa muhimu ambazo zinatufanya sisi wachangiaji kuzitumia ili tuelendee kuishi na kulitumikia taifa, na kuchangia pesa ziendelee kununulia madawa, wameamua kuzitoa makusudi. Unapoandikwa na daktari wako aina ya dawa hizo ukifika pharmacy za pale MOI unaambiwa zimeondolewa. Kitendo hiki kimewafanya wachangiaji na wategemezi wachukie na kuwafanya waugue mara tatu zaidi maana dawa hizo zinauzwa ghali sana.

Kuna wategemezi wetu, watoto na wazazi, wameondolewa kwenye bima. Ndiyo mtoto kafikisha miaka 18, lakini bado wanafunzi wanamuondoa kwenye huduma hizo za matibabu, wanadai walipiwe elfu 50,000/= sasa huo mchango kazi yake ni nini. Kwanini watoto wasiwaache wafikishe angalau kati ya miaka 24-25. Hiyo ndiyo miaka ya watoto wa kitanzania kumaliza elimu ya juu.

Kwa hili Mh. Magufuli wafanyakazi wanaumizwa, hao viongozi wa NHIF wanakuchonganisha nao. Nakuomba kwa kuwa wewe Bado ni RAIS na tutakuongezea mingine 5. Tunaomba suala hili waliangalie upya ili kutupunguzia machungu ya matibabu na maisha kwa kurudisha dawa zote zilizokuwepo hapo awali, kuwarudisha wategemezi wetu kwa huduma hii ya matibabu.

Mh. Rais ni hayo tu, najua nisiposema nitazidi kuumia japo kura yangu ni yako. CCM OYEEEEEEE
BAAD2DFC-7292-48B1-AA5E-60A003579672.jpeg
2AC94A77-2561-4D57-B2FC-A3204AD1811D.jpeg
 
LOCAL SPONSOR

JF-Expert Member
Oct 8, 2013
375
1,000
Mfuko wa taifa wa bima ya afya (NHIF) upo kwa mujibu wa sheria ,mara nyingi wanalaumiwa lakini kimsingi wao ni watekelezaji tu wa miongozo ya kutolea huduma (policies and guidelines ) za wizara ya Afya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pweza Boy

JF-Expert Member
Dec 30, 2017
1,080
2,000
Ni vema ungemwambia LISSU TU... Magufuli ameshindwa kuliona hilo kwa miaka mitano akiwa madarakani ataweza kuliona kwa siku moja unayohoji wewe???
 
antimatter

JF-Expert Member
Feb 26, 2017
6,466
2,000
Mh. Rais kwanza nakupongeza kwa kazi nzuri na iliyotukuka, na hongera kwa kampeni ya kisayansi, kampeni imenoga na watanzania tunakukubali. Mh. Rais kuna jambo yawezekana ukawa unalifahamu ila kwa kuelezwa na wahusika kinafiki ili kufunika kombe, juu ya huduma zitolewazo na mfuko wa bima ya afya NHIF ya kufanya maamuzi ya kuondoa baadhi ya huduma za matibabu pasipo kuwajulisha wachangiaji.

Kuna dawa muhimu ambazo zinatufanya sisi wachangiaji kuzitumia ili tuelendee kuishi na kulitumikia taifa, na kuchangia pesa ziendelee kununulia madawa, wameamua kuzitoa makusudi. Unapoandikwa na daktari wako aina ya dawa hizo ukifika pharmacy za pale MOI unaambiwa zimeondolewa. Kitendo hiki kimewafanya wachangiaji na wategemezi wachukie na kuwafanya waugue mara tatu zaidi maana dawa hizo zinauzwa ghali sana.

Kuna wategemezi wetu, watoto na wazazi, wameondolewa kwenye bima. Ndiyo mtoto kafikisha miaka 18, lakini bado wanafunzi wanamuondoa kwenye huduma hizo za matibabu, wanadai walipiwe elfu 50,000/= sasa huo mchango kazi yake ni nini. Kwanini watoto wasiwaache wafikishe angalau kati ya miaka 24-25. Hiyo ndiyo miaka ya watoto wa kitanzania kumaliza elimu ya juu.

Kwa hili Mh. Magufuli wafanyakazi wanaumizwa, hao viongozi wa NHIF wanakuchonganisha nao. Nakuomba kwa kuwa wewe Bado ni RAIS na tutakuongezea mingine 5. Tunaomba suala hili waliangalie upya ili kutupunguzia machungu ya matibabu na maisha kwa kurudisha dawa zote zilizokuwepo hapo awali, kuwarudisha wategemezi wetu kwa huduma hii ya matibabu.

Mh. Rais ni hayo tu, najua nisiposema nitazidi kuumia japo kura yangu ni yako. CCM OYEEEEEEE
Hii siri-kali 'sikivu' ilishakuwa kiziwi.. unapigia mbuzi gitaa.

Kuna hospital niliuliza kwa nini hawatoi dawa, nikaambiwa ni kwa sabb wakipeleka madai NiHF wanalipwa baada ya miezi 9
 
mlingoti west

JF-Expert Member
Mar 16, 2020
252
250
NHIF inatumika kipora fedha za wafanyakazi tu,Haina maana yeyote
Ukifuatilia utakuta serikali imekopa bilions.wafanyaje wanaondoa sawa muhimu wa survive.
 
kinsakina

JF-Expert Member
Jun 17, 2016
911
1,000
watu tunataka huduma bora za afya halafu huyu msukuma anatuambia habari za mandenge tutakula hayo mandege,utawala wa hovyo sana huu
 
Keynes

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
531
225
mama wajawazito kama wana changamoto ya mis-carriage kuna dawa kama Pre Natal na Duphaston zimeondolewa........

hiyo Pre Natal kidonge kimoja ni 600tsh (kopo moja lina vidonge 30) na mjamzito anatakiwa kunywa daily mpk ajifungue....... wameondoa kwenye bima,,,,

Duphaston kidonge kimoja ni 2500tshs, kwa mwez anapewa vidonge 30, nazo wameondoa kwenye bima......thats 75k/m,,,,,

huu utawala ni wa kishetani sana
7AE2EF5B-21CF-48ED-9869-41D920717E29.jpeg
 
Ninaweza

JF-Expert Member
Dec 14, 2010
10,855
2,000
Mh. Rais kwanza nakupongeza kwa kazi nzuri na iliyotukuka, na hongera kwa kampeni ya kisayansi, kampeni imenoga na watanzania tunakukubali. Mh. Rais kuna jambo yawezekana ukawa unalifahamu ila kwa kuelezwa na wahusika kinafiki ili kufunika kombe, juu ya huduma zitolewazo na mfuko wa bima ya afya NHIF ya kufanya maamuzi ya kuondoa baadhi ya huduma za matibabu pasipo kuwajulisha wachangiaji.

Kuna dawa muhimu ambazo zinatufanya sisi wachangiaji kuzitumia ili tuelendee kuishi na kulitumikia taifa, na kuchangia pesa ziendelee kununulia madawa, wameamua kuzitoa makusudi. Unapoandikwa na daktari wako aina ya dawa hizo ukifika pharmacy za pale MOI unaambiwa zimeondolewa. Kitendo hiki kimewafanya wachangiaji na wategemezi wachukie na kuwafanya waugue mara tatu zaidi maana dawa hizo zinauzwa ghali sana.

Kuna wategemezi wetu, watoto na wazazi, wameondolewa kwenye bima. Ndiyo mtoto kafikisha miaka 18, lakini bado wanafunzi wanamuondoa kwenye huduma hizo za matibabu, wanadai walipiwe elfu 50,000/= sasa huo mchango kazi yake ni nini. Kwanini watoto wasiwaache wafikishe angalau kati ya miaka 24-25. Hiyo ndiyo miaka ya watoto wa kitanzania kumaliza elimu ya juu.

Kwa hili Mh. Magufuli wafanyakazi wanaumizwa, hao viongozi wa NHIF wanakuchonganisha nao. Nakuomba kwa kuwa wewe Bado ni RAIS na tutakuongezea mingine 5. Tunaomba suala hili waliangalie upya ili kutupunguzia machungu ya matibabu na maisha kwa kurudisha dawa zote zilizokuwepo hapo awali, kuwarudisha wategemezi wetu kwa huduma hii ya matibabu.

Mh. Rais ni hayo tu, najua nisiposema nitazidi kuumia japo kura yangu ni yako. CCM OYEEEEEEE
[/QQ
Uwezekano mkubwa upo kwamba huyo unayetaka aingilie ndo chanzo cha tatizo. Haoni shida kuchukua pesa huko na kufanya mengine anayoyaona ni ya thamani kuliko afya zenu.
 
mafutamingi

JF-Expert Member
Feb 14, 2011
2,529
2,000
Mh. Rais kwanza nakupongeza kwa kazi nzuri na iliyotukuka, na hongera kwa kampeni ya kisayansi, kampeni imenoga na watanzania tunakukubali. Mh. Rais kuna jambo yawezekana ukawa unalifahamu ila kwa kuelezwa na wahusika kinafiki ili kufunika kombe, juu ya huduma zitolewazo na mfuko wa bima ya afya NHIF ya kufanya maamuzi ya kuondoa baadhi ya huduma za matibabu pasipo kuwajulisha wachangiaji.

Kuna dawa muhimu ambazo zinatufanya sisi wachangiaji kuzitumia ili tuelendee kuishi na kulitumikia taifa, na kuchangia pesa ziendelee kununulia madawa, wameamua kuzitoa makusudi. Unapoandikwa na daktari wako aina ya dawa hizo ukifika pharmacy za pale MOI unaambiwa zimeondolewa. Kitendo hiki kimewafanya wachangiaji na wategemezi wachukie na kuwafanya waugue mara tatu zaidi maana dawa hizo zinauzwa ghali sana.

Kuna wategemezi wetu, watoto na wazazi, wameondolewa kwenye bima. Ndiyo mtoto kafikisha miaka 18, lakini bado wanafunzi wanamuondoa kwenye huduma hizo za matibabu, wanadai walipiwe elfu 50,000/= sasa huo mchango kazi yake ni nini. Kwanini watoto wasiwaache wafikishe angalau kati ya miaka 24-25. Hiyo ndiyo miaka ya watoto wa kitanzania kumaliza elimu ya juu.

Kwa hili Mh. Magufuli wafanyakazi wanaumizwa, hao viongozi wa NHIF wanakuchonganisha nao. Nakuomba kwa kuwa wewe Bado ni RAIS na tutakuongezea mingine 5. Tunaomba suala hili waliangalie upya ili kutupunguzia machungu ya matibabu na maisha kwa kurudisha dawa zote zilizokuwepo hapo awali, kuwarudisha wategemezi wetu kwa huduma hii ya matibabu.

Mh. Rais ni hayo tu, najua nisiposema nitazidi kuumia japo kura yangu ni yako. CCM OYEEEEEEE
Ndugu yangu OTTER hebu nikupe ushauri. Huyo unayemwambia akusaidie hawezi. Maana ndiye alielekeza huduna ziondolewe ili abane matumizi. Kama unataka msaada mwambie Tundu Lissu. Huyo akilipigia kelele kwenye campaign
utaona kesho yake order ya kurejesha huduma inafanyika. Narudia mwambie Tundu Lissu na kura yako umpe.
 
OTTER

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
425
500
Huyu kwasasa si rais tena bali ni mgombea...kuna baadhi ya mambo hayawezi kuyafanya kwasassa
Huyu bado rais maana bado uchaguzi haujafanyika. Mbona baadhi ya maeneo ya wizara kama ya ujenzi Mh. Jaffo ameamliwa kupeleka MAHELA YA UJENZI WA BARABARA. Kwa title hiyo hiyo ya URAIS, atufanyie wepesi watanzania tunaumia kwa kukosa hizo dawa muhimu. Pia awaamuru warudishe wanufaika hasa ambao bado ni wanafunzi hii bima ya nafasi ya wategemezi warudishwe. Hapo kura yangu ipo wazi kabsaa kiroho safi
 
OTTER

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
425
500
Ndugu yangu OTTER hebu nikupe ushauri. Huyo unayemwambia akusaidie hawezi. Maana ndiye alielekeza huduna ziondolewe ili abane matumizi. Kama unataka msaada mwambie Tundu Lissu. Huyo akilipigia kelele kwenye campaign
utaona kesho yake order ya kurejesha huduma inafanyika. Narudia mwambie Tundu Lissu na kura yako umpe.
NI MAPEMA KUAMUA HILO. KWA VILE WASHAURI WAKE WATAPITIA HUKU, NAJUA WATAKWENDA HAPO MUHIMBILI KULIANGALIA HILO. Nikirudi KLINIK hapo nikakuta majibu ni hayo hayo, basi nitafuata ushauri wako. Itanilazimu kupiga KURA YA HASIRA tuu. Ijulikanayo liwalo naliwe.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom