jpm

  1. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alikuwa sawa Maendeleo ya vitu ni maendeleo ya wananchi

    Barabara alizosimamia zinasaidia kila sekta ya uchumi hapa nchini. Hospital, Zahanati na Mashule aliyojenga yanawasaidia watanzania kujenga uchumi. Misingi ya kusimamia rasilimali za umma aliyoiweka inawasaidia Watanzania leo hii
  2. Upekuzi101

    JamiiForums Tanzania Tupende tusipende, bado Tanzania inahitaji viongozi wenye nusu ya hulka ya Hayati Magufuli

    Habari wana JF, natumaini wote baadhi yenu ni wazima wa afya, na wale wasiyokuwa wazima afya, nawaombea mtakuwa wazima afya pia. Kabla sijasema sana napenda kuweka wazi kuwa mimi siyo mnazi wa Chama chochote cha siasa ila ni kijana tu niliyefanikiwa kuwepo na kutambua mambo kwa uhalisia wake...
  3. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanyonge wa Hayati Magufuli wanamlilia sana Kassimu Majaliwa kuliko Rais Samia?

    Hili linanishangaza! Hivi siku hizi wale Tiss waliompatia taarifa Rais mwendazake na yeye kukosa kifua kuzisema hadharani, kwa vitendo wameenda wapi? Au siku hizi wanaripoti kwa Kassimu Majaliwa tu na yeye ameamua kukaa kimnya? Ninajiuliza mbona wanyonge wa JPM Sasa wamegeuka wanyonge wa...
  4. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu ya Hayati Magufuli isiwe sikukuu ya kitaifa, ifanywe na CCM

    CCM IWEKE KUMBUKUMBU YA JPM NA SIO TAIFA!!! Kuna wito unatolewa na wabunge na makada wa ccm kuwa Rais mwendazake John P. Magufuli atengewe sikukuu ya kitaifa kuenzi mchango wake kwa taifa,hoja ikiwa kwamba amefanya mambo mengi sana mazuri kiasi cha kumuwekea siku maalum ya kumkumbuka ambayo...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Erick Kabendera: Mwendazake aliendesha genge la wahuni na alikusudia kumkamata Rais Mstaafu Kikwete

    Legacy inazidi kuzamishwa chini zaidi. Mwendazake alikuwa wa hovyo sana ==== Aliyoandika Kabendera Wale mliouza mali zenu kupata pesa za kuhonga kusaidia plea bargain zenu zikubaliwe mjitokeze kutoa ushahidi. Wafanyabiashara mliopelekwa ofisi maarufu ya serikali, mkatishwa kwa mitutu ya...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kusuasua ujenzi wa bwawa la JNHP lafikia 74%

    Wasiopenda maendeleo ya Tanzania hawataki mradi huu ukamilike mapema.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kwa tuhuma za Kabendera, ni wazi kuwa waliomtolea Nape bastola na kumpiga risasi Lisu walitumwa

    Kipindi cha JPM palikuwa na wababe wa utekaji, uuaji na uporaji. Ni ktk awamu hii ambapo tulishuhudia utamaduni mpya ukiibuka hapa nchini wa viongozi kutishiwa na bastola mchana kweupe na wengine kushambuliwa na bunduki. Waliyo yafanya haya bila shaka ni wale wahuni ambao Erick Kabendera...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Hii video inaonesha tofauti kubwa iliyokuwepo kati ya hayati Magufuli na Tundu Lissu juu ya Uzalendo kwa Taifa. JPM tunamu-underrate sana

    Nawasilisha source:IBM channel youtube
  9. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Miaka mitano ya Hayati Magufuli taifa lilipiga hatua kubwa kuliko miaka kumi ya Jakaya

    Rais na kiongozi makini huwezi kujitapa hadharani kuwa ulipiga picha na Rhihana alafu unasikitika kutopatiwa picha hiyo uliyopiga. Wakati wewe ukiwa madarakani rushwa na ufisadi ulitamalaki. Umasikini na maisha duni yakawa ndio jambo la kawaida. Maana akina Lugumi waliiba mali za umma huku...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Ili upigaji uwe rahisi na miradi kutokukamilika na umeme uwe wa mgao, lazima JPM azodolewe kwa sababu nyepesi na za kipuuzi

    Mtu aliyekuwa anajua mbinu zote za wafanyakazi wa Tanesico kwamba, kipindi hichoo cha wao kuongoza, kulikuwepo na kikundi maalumu cha kufungulia maji ya mtela ili tu kutengeneza mgao haramu wa umeme na wao kutengeneza biashara za majenereta Mbinu hiyo iliwafumbua watanzania wengi, na tangu...
  11. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Ufisadi na ubadhirifu unaondelea nchini kuipatia CHADEMA nguvu za kisiasa tena. Awamu ya 5 CHADEMA ilipotea baada ya ufisadi kudhibitiwa

    Kwa namna Mapato ya Serikali yanaonekana kuwa hayatumiwi vyema ili hali Serikali inakusanya mapato mengi kupitia kodi, tozo na faini pia hata ada kibao. Wakati wa hayati JPM alidhibiti mianya ya upotevu wa pesa za umma. Aliweza kuwa na ukusanyaji madhubuti wa pesa za umma na zote zikatunzwa...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Mambo makubwa manne niliyojifunza baada kifo cha Hayati Magufuli

    Habari JF, ni zaidi ya Mwaka sasa tangu Hayati JPM atutoke. Katika pitapita zangu mitandaoni yote ya nyumbani na kimataifa lakini pia pitapita za mitaani nlijifunza mambo makubwa manne . 1. Wazungu wameongeza kutudharau waafrika hasa watanzania ,Maana hata yule mtu aliyoonyesha muelekeo mzuri...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Niliwahi kumwambia Hayati Dkt. Magufuli, nakwambia na wewe Rais Samia; Watanzania ni masikini sana!

    Habari Watanzania wenzangu, Kuna jambo ambalo naamini viongozi wetu huwa wanalipuuza wakifika kwenye viti hivyo. Japo Tanzania ina utajiri mwingi sana, lakini Watanzania asilimia kubwa ni fukara sana. Hii ni kuanzia kwa Mawaziri, Makatibu wakuu, viongozi wa Taasisi mbalimbali, Majaji, Bunge...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Panya Road waua mtu mmoja Kawe na kujeruhi wengine watatu

    Kundi la Vijana wanaojihusisha na Uhalifu Maarufu kama 'Panya road' wamevamia nyumba moja Kawe mtaa wa Mzimuni usiku wa kuamkia leo Septemba 14, 2022 na kujeruhi watu watano na Kumsababishia kifo Binti aliyetambulishwa kama Maria paschal Basso mwenye umri wa miaka 24. Eneo la tukio na...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Ukitaka uchukiwe na jamii ya wapumbavu, ni kuwaambia ukweli. Hayati Magufuli alichukiwa kwa sababu ya kuwaambia ukweli

    Nasema hivyo Kwa sababu, Vilaza na wafoji vyeti, mpaka Leo bado wanamachungu na hayati JPM Mpaka sasa bado wanalisakama jina lake, licha kwamba aliwasaidia ili warudi shule kuongeza marifa Bado wangali wanahasira naye, na hatuelewi tuwasadie nini ili waondokana na upumbavu walionao Mpaka Leo...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Maiti bado zinaokotwa ndani ya viroba, tutubu dhambi ya kumsingizia Hayati JPM la sivyo itaendelea kututafuna

    Watanzania tunapenda sana kutengeneza habari za uongo. Ni kipaji fulani kisichofaa kuwa sifa ya mtu lakini ndio ukweli kwamba tunacho na tunapenda kukiendeleza. Uvumi unaweza kusambaa haraka sana mpaka mhusika anapokuja kukanusha tayari habari zinakuwa zimeshambaa kila kona na uongo wa kutungwa...
  17. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Upigaji Uyui: Waziri Mkuu ashangazwa kibanda cha Mlinzi VETA kujengwa kwa Tsh. milioni 11, aagiza waliyosimamia ujenzi kukamatwa

    Tozo ilivyojenga ofisi ya 11,000,000, unaambiwa ni ofisi ya kisasa zaidi. - Waziri Mkuu Majaliwa akiwa ziarani Wilayani Uyui, Tabora amekagua ujenzi wa Chuo kipya cha VETA na ameonesha kutoridhishwa na gharama za ujenzi wa kibanda cha Mlinzi ambacho ujenzi wake ni Tsh. Milioni 11 “TAKUKURU...
  18. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Miaka mitano ya hayati Magufuli, bei za nafaka hazikupanda namna hii. Sasa zimepanda na wananchi wanakula mlo mmoja na nusu

    Wanachi wataumia sana, hawana mtetezi. 👇 Nipashe ilitembelea maeneo mbalimbali ya Dar es Salam na kubaini kupanda bei za bidhaa zinazotumiwa na kwa mlo wa kila siku ambazo ni mchele, maharagwe, unga wa ngano, unga wa sembe, dona na choroko. Mchele kilo moja umepanda kutoka sh. 1,800 au 2,000...
  19. Idugunde

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mtamkumbuka hayati Magufuli, mlijifanya bichwa ngumu

    Sasa mnalilia nini? 👇
  20. J

    JamiiForums Tanzania Komredi Kinana afurahishwa na Ujenzi wa Daraja la Magufuli ( Kigongo - Busisi) ambao umefikia 57%, ampongeza Hayati Magufuli

    Makamu mwenyekiti wa CCM amemaliza ziara ya mkoa wa Geita na kuanza ziara ya mkoa wa Mwanza Akiwa mpakani mwa mikoa hiyo miwili Komredi Kinana amekagua Daraja la JPM na kuridhishwa na hatua za Ujenzi ambao ni 57% Chanzo: Star tv ---- Na Mwandishi wetu, Mwanza Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha...
Back
Top Bottom