Hili ni kutoka moyoni kabisa!
Nchi ya watu wa jamhuri ya JPM, haifumbii macho upandaji wa mazao kiholela na kuishi kwa tozo zisizo na kichwa wala mkia, Haina uhusiano kabisa na rushwa, wazembe kule hawatakiwi, mafisadi hawaweki pua zao kule, kule ni HAPA KAZI TU Na kuishi kwa kumtegemea MUNGU...
Asalaam Aleykum wana JF.
Nawapenda sana. Nadondoka kwenye mada moja kwa moja.
Kulingana na utafiti mfupi nilioufanya, nimegundua kwamba Hotuba na ziara za Hayati JPM zilikuwa zinafuatiliwa na kusikilizwa na Watanzania wengi sana. Hii ni tofauti ukija kwa Hotuba na ziara za mrithi wake ambaye...
Kusimamia Haki kunalipa, kusimama na wanaoonewa kunalipa na siku zote wananchi awafundishwi kuchagua jema na baya Bali wanalazimishwa kuchagua wasichokitaka.
Majimbo mengi ambayo wagombea Ubunge WA pande zote walisimama na wananchi hakuna changamoto ya wagombea hao kushawishi Sana wapiga...
Inasaidia nini kupiga soga na kina Mbowe na kuonyesha umma kuwa mnademokrasia wakati mali za umma zinaibiwa na wananchi wanateseka. Hizi ni demokrasia uchwara
Sasa hivi akina mama wakienda kujifungua imekuwa biashara. Huko nyuma haya mambo yalikoma.
Polisi wanamaliza kesi wanavyotaka...
Ndugu wadanganyika wenzangu,
Ilani ya uchaguzi ya CHADEMA ya mwaka 2015 pamoja na mambo mengine, ilikuwa na mambo yafuatayo;
1. Kujenga reli mpya na kukarabati zilizopo kwa viwango vya kisasa kwa kuzingatia maslahi ya nchi.
2. Kuboresha bandari zilizopo na kujenga mpya kama vitega uchumi vya...
Mh Nape!
Hatukufichi mkuu, wewe huna chochote mpaka sasa ulichosaidia wananchi kwenye wizara yako zaidi ya kuwakamua tuu kupitia vifurushi huku huduma zikiwa mbovu zaidi,
Haujawahi kuwatetea hata kidogo wananchi uwapo kwenye vikao vyenu na makampuni haya ya mitandao na cha ajabu umekuwa wa...
Asalaam Aleykum wapendwa wana jamvi. Ama baada ya salamu hizo napenda kuishukia mada tajwa hapo juu kama ifuatavyo;
Nimefanya utafiti kulingana na kiwango changu cha elimu nilichonacho, nikagundua kwamba, kila mara Mh. Rais, mama yetu kipenzi Samia Suluhu Hasani akimtaja mtangulizi wake kwa...
Wakuu, kwema?
Hii kitu sijaielewa naomba kueleweshwa, nimepita kwenye account ya dogo ya HESLB nimekuta kuna Additional loan ya kama laki 4 kwenye upande wa tuition fees,nimemuuliza dogo nae anaonekana kushangaa tu hajui chochote.
Naomba kuuliza hawa first year waliongezewa mkopo kimya kimya...
Mwangalie alivyomsifia kinafiki baada ya kubanwa maswali na wanahabari.
Amekubali kuwa watanzania walitaka Rais dikteta tangu awali kutokana na ufisadi na uzembe kazini ila kwa unyonge sana.
Zitto anaumia sana kuona watu hata hao wanahabari bado wanamuona Magufuli kama shujaa anakosa amani...
Just imagine mfanyabiashara aliyejitolea zaidi ya mil 100 ili angalau upinzani uwepo nchini na kuirekebisha serikali. Lakini inatafunwa kama njugu.
Michango na pesa za ruzuku zaidi ya bil 13. Zilitafunwa kama njugu.
Hayati JPM alikuwa hataki utafunaji wa pesa za umma. Akawadhibiti Chadema...
Ndiyo,
Kinaniuma kwa sababu hasa ya waliostahili kuzaliwa hapa! Waliozaliwa kihalali katika nchi hii ndio hao walionipa kutaka nijue ni kivipi JPM azaliwe katikati yao?
Na iliwezekanaje yeye JPM akubali kuzaliwa katika nchi hii ngumu ukilinganisha na aliyoifanyia hii nchi, badala yake, kwa...
Habari JF,
JPM aliamini corona itaendelea kuwepo na tutaishi nayo kama yalivyo magonjwa mengine, kiuhalisia ndivyo ilivyo corona ipo na idadi ya watu waliopata chanjo ni ndogo sana na watu walishapata kinga asilia sasa hivi sio tishio tena. Lakini bado watu wakiwemo madaktari wanalaumu...
Mwaka 1996 wakati ajali kubwa ikitokea Ziwa Victoria mimi nilikuwa Ukraine nikiwa nimemaliza mwaka wa kwanza wa lugha nikijitayarisha kuingia mwaka wa masomo. Nakumbuka namna sisi watanzania tulivyoanzisha mjadala juu ya ajali hiyo iliyoua ndugu na jamaa zetu wengi.
Mwaka huu itatimia miaka 27...
Yaani waziri wa pesa anadai madarasa ya tril 1.3 yamejengwa lakini ukizunguka hapa nchini unakuta watoto wanakaa chini.
Bwawa la Nyerere linakamailika, Mv Nyerere imekamilika. Hii yote ni sababu ya hayati JPM kusimama kidete.
NB: Mimi siko genge lolote.
Habari za weekend wanajukwaa
Kumekuwa na kelele nyingi sana kutoka kwa wafuasi wa JPM kwamba miradi itakufa ama miradi haitofanyika sababu JPM hayupo. Na wengine wameenda mbali sana na kusema hakuna aliyewahi kufanya miradi kama ilivyofanyika awamu ya tano. Hapo chini nimeweka mifano tu ya...
Mimi nakubali sana kuwa JPM alikuwa na utashi mkubwa na nchi hii lakini uwezo alikuwa hana. Hii inadhihirishwa na miradi mikubwa aliyoianzisha, japo nina uhakika asingeweza kuimaliza maana tayari alinipiga pini yeye mwenye kwa kuweka mazingira magumu kwa wafanyabiashara wakubwa, kutoamini...
Thanks God that all is well.
In fact our GDP is still very low and it is as 5 times lower that that of Washington DC not speaking about the whole country.
Even the low budget of roughly 3.3 trillion reflects the low GDP of this country. Now, contrary to what was expected jpm decided to launch...
Mada inajieleza. Lile jiwe la Tanzanite limewekwa wapi na linatunzwa na Nani?
Kama lipo litahifadhiwa hadi lini? Kama halipo Lili kwenda wapi baada ya kifo cha mpendwa wetu?
Hivi mnajua nyinyi maccm na vibaraka wa kumchafua mpigania haki na rasilimali za Tanzania kujaribu kumchafua JPM ni sawa na mtu kuweka mguu wake kwenye pango la siafu?
Mtu aliyekuwa mkweli kutoka moyoni mwake, sote tunakumbuka ile skendo ya Madini yetu ambayo yalidakwa Kenya na kisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.