Habari JF, ni zaidi ya Mwaka sasa tangu Hayati JPM atutoke. Katika pitapita zangu mitandaoni yote ya nyumbani na kimataifa lakini pia pitapita za mitaani nlijifunza mambo makubwa manne .
1. Wazungu wameongeza kutudharau waafrika hasa watanzania ,Maana hata yule mtu aliyoonyesha muelekeo mzuri bado watanzania hawakumpenda .
2. Hakuna tofauti ya kifikra kati ya wasomi na wasio wasomi yaani tofauti kubwa ni kwamba kuna watanzania wenye Vyeti na wasio na Vyeti .
3. Watanzania ni wanafiki sana
4. Tofauti iliyopelekea tofauti kubwa ya kimaendeleo kati ya Waafrika na Wazungu ni Uwezo wa kufikiri na kuchanganua Mambo, Afrika hususani Tanzania uko Chini sana.
Mwisho kabisa Slogan ya Elimu Elimu Elimu ilikuwa na maana sana watanzania tunatawaliwa kwa very cheap politics.
Elimu bora ni muhimu sana