jpm

  1. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Hii ni moja ya kazi nzuri ya Hayati Magufuli

  2. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Nimekutana na JPM akiongelea kodi, wale wa tozo najua mpo

    Ukiwa na hasira na anayeongea tafadhali hamia burundi niache nipambane na tozo.
  3. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Bashungwa hayati JPM alijenga vituo vya afya 1000 bila tozo. Acha kuzebeza wananchi

    Wewe mwenyewe ulishuhudia na uliona namna alivyotekeleza 👇 === Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Innocent Bashungwa amesema Serikali imejenga vituo vya afya 234 kutokana na fedha za tozo ya miamala ya simu ndani ya mwaka mmoja tangu kuanzishwa...
  4. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Mwigulu mbona wakati hayati JPM yupo watoto walisoma na kupata mikopo ya chuo kikuu bila tozo?

    Ina maana huko nyuma pesa za kukopesha wanafunzi zilitoka wapi 👇
  5. P

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli, kama sio leo basi ni suala la muda tu kupewa tuzo ya heshima kama Rais aliyesimamia vema rasilimali na kupunguza kero kwa wananchi

    Kama alivyowahi kunukuliwa akisema, Jengo la Tanesko ubungo, akitokea kiongozi mwenye kusimamia sheria, litavunjwa tuu, na hatimaye akaja kushika mwenyewe na likavunjwa, Na sasa, akija kutokea Rais asiye na unafki ndani yake, lazima JPM atapewa tuzo! Tunaposema JPM (hayati) anastahili tuzo ya...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Tulimuona katili ila Hayati Magufuli alikuwa aware na hali ya maskini na huruma kwao

    Sikuwa shabiki wa yule mzee, kachangia pakubwa sana kuua demokrasia, keleta hali ya unafiki kwenye mahakama, bunge ndo kabisa aliligeuza kituko hadi kuna wabunge waliapishwa gereji wakitokea jela usiku uliopita. Lakini one thing unaweza kumsifu ni connection yake na street na maisha ya mtu wa...
  7. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania "Ombeni Mtapewa", "Tafuteni Mtapata", "Bisheni Hodi Mtafunguliwa" Je, Wajua Kuna "Kauli" na "Kauli Umba" Ambazo Huumba? Shuhudia

    Wanabodi, Leo nimepata tena fursa kuendelea na zile makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa, ila makala ya leo ni abstract topic, kuielewa mtu ni lazima uwe na levels fulani za uelewa! leo nikizungumzia kitu kinachoirwa "kauli umba". Kuna hii misemo "Ombeni Mtapewa", "Tafuteni Mtapata", "Bisheni...
  8. chiembe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Kilichomponza Raila ni urafiki na ufuasi wake wa sera za Hayati Magufuli, Chato Dynasty waangua kilio, walitarajia awape support 2025

    William Samoei Rutto ameshinda urais. Ushindi wake ni pigo kubwa kwa Chato Dynasty ambao walidhani kwamba Raila angeshinda, basi angetoa support kwa mtu ambaye angegombea urais kwa kundi la JPM hapa Tanzania. Nadhani mfumo nchini Kenya, baada ya kuona Raila yuko karibu sana na JPM, waliona...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ina maana Mbowe na Chadema mlifanya siasa za Kuboa na hayati JPM? Siasa za kujenga ni kulamba asali?

    Nashindwa kuelewa kauli za Mbowe. Mbowe amelamba asali amekuwa kama bubu. Siasa za kujenga ndio siasa gani sasa? Mbowe: Tulikubaliana na Rais Samia kufanya siasa za kujenga nchi https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/mbowe-tulikubaliana-na-rais-samia-kufanya-siasa-za-kujenga-nchi-3912844
  10. Superbug

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa huu uchaguzi wa Kenya, familia na wapenzi wa Hayati Magufuli muombeeni toba mpendwa wenu

    Tufanye Hayati Magufuli (JPM) hakuamrisha shambulio la Lissu. Tufanye JPM hakuhusika na upoteaji wa Ben saanane. Tufanye JPM hakupokonya watu pesa zao kinguvu kwenye akaunti zao. Tufanye hakuna familia zilizoathirika na wazazi wao kufukuzwa kazi kionezi. Tufanye hakuna watu waliofunguliwa...
  11. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Diamond apokelewa Congo kwa shangwe

    Hawa Wacongo labda na wao ni walinda legacy. Diamond yuko Kongo na mbanga zake nyingine kabisa lakini Wacongo wao akili yao inamuwaza Magu tuu. Kweli huu ndio uongozi unaoacha alama. Wapinzani na sisi tukifanikiwa kukamata madaraka tujitahidi kuacha Kumbukumbu Kama hizi.
  12. vnn

    JamiiForums Tanzania Hii nchi inahitaji kuongozwa kidikteta, Namkumbuka Hayati Magufuli sana!

    Kuna wakati unafika tunammis JPM kuoitia hili sakata la TUCTA na serikali hqpa nimemkumbuka sana JPM, sometime udikteta unasaidia Miaka sita watu hawajaongezwa mishahara lakini hawakuongea kitu walikaa kimya kabisa kama hakuna lililotokea. Samia kawainua wa kima cha chini kwa 70K na wengine...
  13. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Rais: Shusha mishahara ya wanasiasa na ondoa posho zao peleka kwenye mafuta uikwepe laana ya Magufuli

    Ni ushauri wangu wa Mwisho kukupa hutaki unaacha! Mmekopa kushusha bei ya mafuta Ili bidhaa zishuke lakini wapi! Mmemnanga marehemu Sana lakini wapi, Mmetoa ahadi za uongo Napo pia wapi!!bila bila!!Leo nimeulizia gunia la mahindi,bati,simenti na sukari nikasema Hadi januari lazima mchutame...
  14. Sang'udi

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli: Ningeweza kusema ninawaongeza mshahara halafu nikaongeza elfu tano tano

    Shujaa wa Afrika hakutaka kabisa kuigiza kwenye masuala yawahusuyo Watanzania. Nimekuwekea clip hapa chini.
  15. P

    JamiiForums Tanzania Magufuli lala salama!

    Tulikuzoea tuu kuwa unatuambiga tuu ukweli licha kwamba ulikuwa unatuumizaga sana ukweli huo Ulisemaga mengi, naomba nikunukuu maneno machache hapa "Mfanyakazi anayeona mshahara hautoshi, aache kazi, kwani nje kuna wahitimu kibao hawana kazi. Wafanyakazi nawaomba tuchape kazi, ili miradi yetu...
  16. chiembe

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Mwaka 2016-2019, wakati wa utawala wa Hayati Magufuli, watanzania milioni nne waliingia katika kundi la umasikini mkali

    Akitoa mada yake katika mazungumzo ya miaka 30 ya vyama vingi vya siasa, Zuberi Zitto Kabwe, alieleza kwamba kwa miaka mitatu tu, utawala wa JPM ulitengeneza masikini milioni nne, ambao,hapo awali, walikuwa wanajimudu kimaisha. Hii maana yake JPM angetawala miaka 10 basi robo tatu ya watanzania...
  17. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kanda ya Ziwa Tulishawakataa wote walokataliwa na Hayati Magufuli

    Labda kama hamjui, hii Kanda ndio kupatikana Wanaume, wakuu wa Familia. Mtaruka ruka wee na majiko ya gesi ya bure mnayodanganyishia Watanzania. Lakini Kanda ya Ziwa wanajua, Gas imepanda Bei!!! Hata hivo, Chuma aliwakataa, mkamwondoa, lakini kwa kuwa Mwenye njozi hafi, licha ya kumwondoa...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Ni ujinga kudhani kuwa ili watu watege masikio kwa Rais Samia ni kuviponda vitu alivyofanya Hayati Magufuli

    Ndiyo, ni ujinga na ujuha Mkubwa kwa wana CCM wachache wanaoamini kuwa, bila kuviponda na kudhihaki kazi za Hayati JPM na hata kumdhihaki yeye mwenyewe JPM, watu hawatatega masikio yao kusikia yale anafanya Rais Samia kwa sasa! Au kumsikiliza. Kwani kinachofanywa na wana CCM wahuni, kuponda na...
  19. E

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alimpa shamba Bhakresa sasa hivi anazalisha sukari na kaajiri vijana elfu moja

    HilI shamba tungegawia vijana elfu moja wasingezalisha hata sukari guru, tungewakuta mlandizi wakiuza Juice ya miwa
Back
Top Bottom