jpm

  1. T

    JamiiForums Tanzania Jiwe la dhahabu lilokamatwa Kenya na kurudishwa nchini kipindi cha JPM umma ulitangaziwa

    Hivi mnajua nyinyi maccm na vibaraka wa kumchafua mpigania haki na rasilimali za Tanzania kujaribu kumchafua JPM ni sawa na mtu kuweka mguu wake kwenye pango la siafu? Mtu aliyekuwa mkweli kutoka moyoni mwake, sote tunakumbuka ile skendo ya Madini yetu ambayo yalidakwa Kenya na kisha...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa bado ni porojo tu kuhusu ufisadi wa Hayati Magufuli, CCM na wabaya wake mnafeli wapi?

    kelele nyiiingi, wakati inahitajika mtu mmoja athibitishe, mahakama zithibitishe kuhusu hizi kelele za ufisadi wake, lakini mpaka sasa ni kelele tu zisizo na maana! CCM na maadui wa hayati JPM mnakwama wapi? Huyu aliyekuwa mwamba wa siasa za kiuchumi na rafiki mzuri wa Watanzania wa hali ya...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Siasa zile za JPM, wapinzani wengi ziliwapandisha hadhi ya kisiasa huku wakiwa weupe pee!

    Upinzani ili ung'ae, tusidanganyane! Unahitaji kashikashi ya watawala, pia inahitaji serikali iliyoshindwa kabisa na isiyohonga vjongozi wakuu wa wapinzani! Maana hao ndio wanaobeba matumaini ya wengi! Utawala unaotia kashikashi wapinzani, ukweli usiopingika, huufanya upinzani usikilizwe na...
  4. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Lissu na Chadema yenu hamna uhalali wa kulalamikia mfumuko wa bei na ufisadi wa CCM. Mlikuwa mnataka serikali kama hii ya kipagaji.

    Sikiliza
  5. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mkitaka kupata kura 2025 acheni kauli za chuki kwa JPM

    Nimekuwa nikifuatilia posti nyingi hapa jamii forums zinazomuhusu aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, pia hata mitaani na kwenye vyanzo vingi vya habari ikitokea magufuli ametajwa na kiongozi yeyote kwa lengo la kumfedhehesha basi 90% ya watoa maoni watakuwa upande wa JPM. Sasa rahi yangu kwa...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kuanzisha somo la namna ya kumuelewa na kumuenzi Hayati Magufuli

    Habari wana JF, Tanzania tangu kupata uhuru imetawaliwa na viongozi wengi sana lakini changamoto za watanzania ni zile zile . lakini kiuhalisia kwa nchi kama Tanzania yenye vyanzo mbali mbali vya mapato hatutegemei mpaka leo changamoto hizo ziwepo. hii ina maana watanzania wengi na viongozi...
  7. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz alivyoihonga CCM Channel Ten kumnusuru mdogo wake asifungwe na Hayati Magufuli

    2017 Hayati JPM anaunda timu kuhakiki mali za Chama cha mapinduzi chini ya Bashiru Ally Kakurwa. Kunagundulika matatizo katika hisa za CCM na Rostam ndani ya African Media Group. Wamiliki wa Chanel 10 na magic Fm Rostam anapigwa mkwara anakomaa. 2018 Toyota landcruiser iliyotumiwa na Nape...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Kwa suala la ununuzi wa rada nne nitakupongeza daima hayati JPM kazi ya kizalendo sana

    Kuna watu hapa JF wanakariri habari za miaka ya nyuma halafu wanazileta sasa bila ya kujua nini haswa wanachokiandika. Ni hawa wanaopenda kuandika habari za nchi kuibiwa, na habari za ndege kuonekana huko maporini. Hawa kuna mahali hawaelewi labda hawafahamu kuwa TZ ya sasa imenunua rada nne...
  9. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Anasema anajenga kwa kukopa, Magufuli alitaka tujitegemee kwa kiasi fulani kujenga

    Mama juzi kajisifu kukopa sana ili kukamilisha miradi aliyoanzisha Jpm, na kwamba atahakikisha hakuna hela ya mkopo inaliwa. Watanzania tujue mabeberu walikua wanachukizwa na ari ya jpm ya kujitegemea na ile kuwafunza watanzania kwamba nchi yao ni tajiri jambo ambalo ni kweli. Aliwaonyesha...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Tabora mjini, Komanya Kitwala ahukumiwa kulipa fidia ya Tsh. milioni 80

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Tabora imemhukumu aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Tabora mjini, Komanya Kitwala kumlipa fidia ya shilingi milioni 80 Alexander Ntonge mkazi wa kata ya Ipuli Tabora mjini, baada ya kupatikana na hatia katika mashitaka aliyofunguliwa ya kuwaamuru Askari Polisi...
  11. chiembe

    JamiiForums Tanzania Ufisadi awamu ya JPM: Uwanja wa ndege Mwanza ulijengwa kwa bajeti ambayo haikupita Bungeni, mabilioni yachotwa

    Huyu JPM ndiye mtu ambaye alijinasibisha na usafi,kupinga ufisadi, wakati akiwa anaila nchi bila kunawa. Ni vile tu awamu hii Wana kifua Cha kukaa kimya, msikilize Malima, RC Mwanza
  12. thetallest

    JamiiForums Tanzania Kwanini January Makamba unakataa kutambua nguvu na juhudi za hayati Magufuli kwenye JNPP?

    Ukweli lazima usemwe, kuna tatizo gani kutambua juhudi za hayati Magufuli kwenye mradi huu wa umeme (JNHP), hasa kwenye hotuba zenu? Wazo lilikuwa la Mwalimu Nyerere akashindwa, awamu zilizofuata kuanzia ya pili mpaka ya NNE, hawakuwa na habari na mradi huo, waliupa kisogo. Hayati Magufuli kwa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ubaya wa Hayati JPM ni kudhibiti mianya ya rushwa na kusimamia vyema mapato ya Serikali?

    Watanzanzania sio watoto wadogo. Wanaakili timamu. Tamko lako kuwa wabaya wanakufa na wema wanasurvive lilimlemga mojamoja kwa moja hayati JPM. Kisa cha wewe kumlenga ni kwa sababu alidhibiti mafisadi ? Alihakikisha hakuna mgao wa umeme unaoletwa na January? Alihakikisha kuwa pesa za umma...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania RC Malima apiga marufuku matumizi ya daraja dogo la Magufuli (Kigongo - Busisi)

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza (RC), Adam Malima, amezuia magari kupita katika daraja la muda linalotumiwa na mkandarasi kupitishia vifaa vya kujengea daraja la John Pombe Magufuli, lililopo Kigongo-Busisi, akisema utaratibu huo umekuwa ukiwachelewesha mafundi kutekeleza ujenzi wa daraja hilo. Kuanzia...
  15. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Familia ya GSM ilivyotembea kwa magoti korido za Ikulu kuomba Hayati Magufuli asiwafunge

    Tunaendelea na visa na mikasa ya hayati JPM.. Hakuna siri JPM hakuwa chaguo la wana CCM mwaka 2015, hata mwenyekiti wa chama hakumtaka awe Rais bali alizidiwa na nguvu ya asili. Mwenyekiti alimkusudia kumrithisha kijiti rafiki yake wa kitambo Bernard Membe,lakini wana CCM walimtaka Edward...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Afariki baada ya kuanguka chooni kwa kupigwa stroke

    Wakati wa JPM alishtakiwa kwa uhujumu uchumi akasota rumande miaka minne. Mwaka jana akaachiwa kwa NOLE. Aliporejea nyumbani akakuta biashara zake zimekufa. Mke ana mtoto mwingine aliyezaa nje ya ndoa. Mke anadai hakuplan ku-cheat ila changamoto za maisha zilimlazimisha. Baada ya kila kitu...
  17. P

    JamiiForums Tanzania Ikiwa wenye PhD feki wana manufaa na uchungu kwa nchi yetu, basi tunawataka waongoze nchi yetu

    Wahasimu wa Hayati JPM wanaendelea kutuaminisha kuwa, JPM hakuwa Mtanzania pia PhD yake ilikuwa feki. Licha ya hayo yote, wanaungana na wengi kuduwaa jinsi PhD feki ilivyo tofauti na PhD original. PhD original tulizonazo hapa Tanzania, hazitusaidii na hazijawahi kutatua matatizo yetu kama...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Kivuli cha Hayati Magufuli kinataka kumtingisha Rais Samia

    Ni lazima nikiri wazi kabisa, mimi nilikuwa ni mmoja wa wanaomuunga mkono JPM kwa muda wote aliokaa madarakani. Sikuficha kuunga kwangu mkono, nilisimama nae muda wote. Bahati mbaya Binadamu siku zake chini ya jua huwa zina mwisho hata afanye mema mengi kiasi gani. Kipindi chote cha msiba wa...
  19. P

    JamiiForums Tanzania Tuliwaambia/Tunawaambia tena! Uongozi ni kipawa, Hayati Magufuli bado ni shujaa na atakuwa shujaa tuu!

    Kwa nini tulifikia uchumi wa kati mdogo Kabla ya lengo halisi la serikali? Malengo ya Serikali yake wakati wa uhai wake, ilikuwa tufikie uchumi wa kati 2022, lakini cha ajabu, Taifa lilifikia uchumi wa kati 2020 mapema kabisa, mbali na Dunia kuwa kwenye msukosuko wa Covd, lakini hakikuharibika...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Vilaza, wafoji vyeti mlio hapa JF, Thibitisheni wizi wa JPM na sio ngojera zenu!

    Mmekuwa mkisema, Serikali ya JPM, ilikuwa ikipika data ya makusanyo, makusanyo hayakuwa hayo, alikuwa akikusanya billion kadhaa tu, Cha ajabu sasa, miradi ya matrion iliyokuwa ikiendeshwa na serikali yake na hakuna hata mmoja uliotelekezwa na awamu yake, tena bila tozo wala miamala ya kibenk...
Back
Top Bottom