Uchaguzi 2020 John Mrema wa CHADEMA asiposhinda Segerea nahama Dar

Prof Koboko

JF-Expert Member
Aug 15, 2020
350
2,549
Huyu mama wa CCM jimbo la Segerea wana CCM wanamzomea kila mahali kwenye mikutano yako jimbo la Segerea. Kila anapopita anapata wakati mgumu mpaka anatamani kulia.

Katika kitu ambacho Kamati Kuu ya CCM ni sikio la kufa ilikuwa kumrudisha Bonah Kamoli Segerea bila kujua alishinda vipi, huyu mama inasemekana alimaliza na wajumbe tu ila Wana CCM hawamtaki na sasa wanamtamkia wazi wazi kuwa watachagua mbunge wa upinzani ila madiwani watachagua wa CCM.

Njia nyeupe kabisa kwa John Mrema wa CHADEMA ni sawa na Mbunge aliyepita bila kupingwa. Yaani pale ni sawa na kumsukuma mlevi yaani.

IMG-20200913-WA0062.jpg
 
Hiyo ni taswira ya hali ya CCM hasa yale majimbo ambayo maamuzi ya wajumbe yalipuuzwa na kuchaguliwa watu wengine na mwenyekiti.
 
Back
Top Bottom