Uchaguzi 2020 Ukitaka kumuua mbwa, mpe majina yote mabaya; kampeni meneja wa John Pambalu mwanza

PAZIA 3

JF-Expert Member
Jan 30, 2018
1,021
2,000
Kuna kijana mmoja kampeni meneja wa John Pambalu huko Mwanza ana trend Sana YouTube, anasema, " ukitaka kumuua mbwa mpe majina yote mabaya"
Hii Ina maana gani?

Kwangu Mimi, nakubaliana na slogan hii, huwezi kumuua mbwa kwa kumwita majina uyapendayo, utamhurumia, lakini ukimpakaza majina mabaya, utamuona mwepesi asiyefaa hata kumuona ama kumsaidia.

Kwenye siasa ndicho kinachotumia wa wanasiasa wanawaita wananchi wanyonge ili wasiweze kufikiri kishujaa, kusema ukweli kijana anaongea facts, inabidi aongozane na T. Lissu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom