john

  1. T

    JamiiForums Tanzania John Mnyika kashindwa kuichambua falsafa ya CHADEMA ikaeleweka matokeo yake chama kinamfia

    CCM ikiwa na bahati ya kukuza na kutumia magwiji ya mikakati ya ushindi wa kisiasa hali hiyo imekuwa kinyume kwa vyama vya upinzani ambavyo havina hazina hiyo na matokeo yake kujiua vyenyewe. Chama chenye nia ya kushinda dola hakiwezi kuwa na mtendaji mkuu ambayo hana mbinu wala mikakati ya...
  2. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Baada ya miaka hamsini, tutampata tena Mwalimu Julius Nyerere, Edward Moringe Sokoine na Daktari John Pombe Magufuli

    BAADA YA MIAKA HAMSINI;TUTAMPATA TENA MWALIMU JULIUS NYERERE,EDWARD MORINGE SOKOINE NA DAKTARI JOHN POMBE MAGUFULI. Leo 18:00hrs 03/10/2021 Ni nadra sana kupata viongozi wanaoibadili dunia kutokana na falsafa zao na misimamo yao,katika kada mbalimbali ikiwemo siasa, biashara,taaluma,dini na...
  3. Sky Eclat

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania ‘Finish Lines’ a new collaboration song wa Stievie Wonder na Elton John

    Mwaka 1985 magwiji hawa wa muziki walitoa collabo inaitwa’That is what frieds are for’.
  4. SAKA25

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi 250 Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Tanzania 2021

    Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji John Masunga, atangaza nafasi za kazi kwa vijana waliohitimu mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT).
  5. U

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya hayati Magufuli ya Julai 17, 2018, kwa vyama vya siasa vya nchi mbalimbali za Afrika

    HOTUBA YA MHESHIMIWA DKT. JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI KWENYE UFUNGUZI WA MKUTANO MAALUM WA MAJADILIANO KATI YA CHAMA CHA KIKOMUNISTI CHA CHINA NA VYAMA VYA SIASA VYA NCHI MBALIMBALI ZA AFRIKA HOTELI YA SERENA, DAR...
  6. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania John Limo wa TPC Arusha chini na chaki wa cosmopolitan Dar Es Salaam

    JOHN LIMO WA TPC NA CHAKI WA COSMOPOLITAN Picha ya kwanza ni ya John Limo na picha ya pili ni ya Chaki mbae katika miaka ya 1960 alikuwa golikipa wa Cosmopolitan na Timu ya Taifa na aliacha kucheza golini na kuja kucheza mbele kwa umahiri mkubwa sana. Chaki ni huyo katika picha ya mwisho...
  7. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania John Mwambigija atoa hadharani Ujumbe wa Freeman Mbowe kwa Watanzania kutoka gereza la Ukonga

    Mwenyekiti wa Chadema Mbeya Mjini , Mh John Mwambigija alikuwa miongoni mwa wanachama wa Chadema waliosafiri hadi gereza la Ukonga kumuona Mwamba Freeman Mbowe anayeshikiliwa kwenye gereza hilo akituhumiwa kwa makosa ya Ugaidi. Baada ya kuonana naye Mh Mbowe alimpa ujumbe Maalum Mwambigija ili...
  8. britanicca

    JamiiForums Tanzania Uongo wa Serikali ya awamu ya 5 chini ya Dkt. John Pombe Magufuli utawatesa sana Marais watakaofuata na Samia akiwa miongoni

    Tukubaliane Jambo moja la ukweli na uwazi Tanzania haijawai Pata Rais mpika takwimu na kujiaminisha Kama alivyokuwa hayati Magufuli!! 1. Tanzania tuliambiwa makusanyo ya TRA ni 2 Trillion per month ila Kwa uhalisia haikuwa hivyo tulivyoambiwa , hapa uhalisia ilikuwa Bilion 900 hadi 1.2 trillion...
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mzee Joseph Butiku akutana na Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika

    Mkurugenzi wa Taasisi ya Mwl Nyerere Joseph Butiku , leo amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Chadema Mh John Mnyika , bado haijawekwa wazi kikao hicho kililenga nini hasa. Endelea kutufuatilia hapa hapa JF kwa Taarifa zaidi juu ya kikao hicho
  10. E

    JamiiForums Tanzania SoC01 John Pombe Magufuli, Rais aliyeacha alama kwenye mioyo ya wanyonge na kuacha kovu kwenye kidonda cha Katiba

    Na Elivius Athanas. Ni takribani miezi mitano na siku ishirini na nne (24) sasa, tangu hotuba ya dharura ya Rais Samia Suluhu Hassan itutoe machozi Watanzania, alipokuwa akitangaza kifo cha Rais wetu mpendwa Dr. John Pombe Magufuli aliyefariki Jumatano jioni tarehe 17.03.2021 kwa tatizo la...
  11. M

    JamiiForums Tanzania John Pambalu una kelele sana unapoongea katika Tv mpaka tunashindwa kuyapata madini yako mazuri

    Kamanda John Pambalu kwani umeambiwa kuwa ukiwa unaongea tu kwa Utaratibu, Umakini huku ukiwa Umetulia hasa katika Runinga ( Television ) Sisi hatuwezi Kukusikia na Kukuelewa? Umeambiwa moja ya Sifa Kuu ya kuwa Kamanda wa CHADEMA na upate Umaarufu wa haraka ni Kuongea kwa Hasira, Kufoka...
  12. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Denzel Washington ni baba wa watoto wanne, John, Katia, Malcom na Olivia

    Denzel amewapata watoto wake wote wanne pamoja na mke wake Paulette Washington, ambae alifunga nae ndoa mwaka 1983. Paulette ni mcheza sinema na aliwahi kucheza movie Wilma
  13. GOKILI

    JamiiForums Tanzania John Sanga...

    John Sanga alikuwa mwanafunzi mwenye kipaji cha uchoraji. Siku moja alichora noti ya shilingi elfu kumi kwenye sakafu darasani. Mwalimu alipoingia darasani aliiona noti ile na, katika kuikimbilia ile hela kuiokota akajikwaa na kupasuka pua. Akauliza wanafunzi 'nani aliyechora hapo...
  14. Melubo Letema

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hatimaye Makamu Rais wa Shirikisho la Riadha John Bayo ajiuzulu

    Hatimaye Aliyekuwa Makamu wa Rais wa Shirikisho la Riadha Tanzania (AT) John Bayo Ajiuzulu. John Bayo amejiuzulu baada ya kusakamwa na Sakata la Vyeti Feki, ingawa yeye amedai amejiuzulu ili awe busy na familia na biashara zake. Rais wa RT, Silas Isangi amekiri kupokea barua ya kujiuzulu kwa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Urithi wa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli

    Kuna watu humu naonaga wanaumia kuhusu urithi (legacy) ya Magufuli mpaka wanajenga hoja eti inalazimishwa kwa nguvu. Mi nawaambiaaga ni watu wenye akili kubwa tu tunaoelewa urithi wa Magufuli. Haya muoneni na huyu Rais wa Shelisheli, naye ameungana na akili kubwa waliomuelewa Magufuli. Au...
  16. B

    JamiiForums Tanzania John Mrema: Tuwatambue Mamluki Wapinga CHADEMA kwenye Runinga

    Habari hii inajieleza wazi: John Mrema amethibitisha baadhi ya utambulisho watu hao. Kwamba tumefikia huku kwenye "impersonation" si haba inaonekana ujumbe unawafikia walengwa. Kwa vile walisema walikuwa hawajasikia - na tupaze zaidi sauti. Aluta Continua.
  17. CCM Music

    JamiiForums Tanzania John Heche anafaa kuwa Katibu Mkuu CHADEMA Taifa, John Mnyika ni dhaifu sana

    Kikwetu tuna msemo tunasema: What goes around comes around. Kijijini kwetu tunatumia sana huo msemo mara kwa mara. JJ Mnyika aliwahi kumwambia JK kuwa ni Rais dhaifu. Hahahahaha. Lakini sasa kajamaa ni SG wa CHADEMA naona ndio dhaifu kuliko maelezo. Ni dhahiri CHADEMA haina vetting nzuri...
  18. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania John Blanke alikua mpiga tarumbeta wa Mfalme Henry Vi na VIII

    Inasemekana alihamia Uingereza na Malkia Catherine wa Aragon kutokea Hispania. Alikua mtumbuizaji kwenye mazishi ya Mfalme Henry VII na aliburudisha siku Mfalme Henry wa VIII anawekwa wakfu. Alifunga ndoa na ni mmoja ya waliompa zawadi. Mflme Henry VIII alimpa zawadi. Baada ya hapo alipotea...
  19. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania John Pambalu: Watakaokwenda kusikiliza kesi ya Mbowe watakwenda kwa amani, kama Sirro amepanga kutupiga na atupige tu

    Watakaokwenda kusikiliza kesi ya Mwenyekiti wetu watakwenda kwa Amani kama IGP Sirro na Jeshi lake wamejipanga kuvunja watu miguu kwa kuwapiga, na wawapige ili iandikwe kwamba wakati wa utawala wa IGP Sirro watu walifanyiwa unyama wakidai Katiba" John Pambalu
  20. Prisonerx

    JamiiForums Tanzania TANZIA Elias Kwandikwa, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa afariki dunia

    Mbunge wa Ushetu na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Elias John Kwandikwa amefariki dunia leo hii wakati akipatiwa matibabu jijini Dar es Salaam. CURRICULUM VITAE – (CV) SURNAME: KWANDIKWA FIRST NAME: ELIAS OTHER NAME: JOHN SEX: MALE MARITAK STATUS: MARRIED DATE OF BIRTH: 1st...
Back
Top Bottom