Salamu kwenu ndugu.
Ningeomba uzi huu MODS wanisaidie kuusambaza kwa wenye mamlaka.
Sasa hivi kuna kamtindo kameshamiri kwa shule za msingi za serikali kuwachukua wanafunzi na kukaa nao kuanzia saa 12 Alfajr hadi saa 12 jioni... Kwa kisingizio cha kusoma na masomo kuzidi kasi.
Hivi hasa ni...
Klabu ya Simba leo Jumapili February 13 inashuka kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa kucheza na ASEC Mimosas kutoka Ivory coast, kwenye mchezo wa kwanza hatua ya makundi Kombe la Kombe la Shirikisho Barani Afrika CAFCC.
Hautakuwa mchezo mwepesi, bali utakuwa mgumu na wa kusisimua hasa ukizingatia...
Hamna mbinu zozote za kupunguza makali ya mgao wa umeme. Umeme umekuwa ukikatwa saa sita usiku na kuwashwa saa 12 jioni.
January Makamba na naibu wake wamelidanganya bunge, waliahidi kuchepusha gesi asili kutoka kwenye njia ya mwekezaji na kuingiza kwenye njia ya TPDC, lakini hadi sasa maumivu...
TANESCO imetoa ratiba ya matengenezo ya miundombinu ya umeme kwa Wilaya mbalimbali.
PIA SOMA: TANESCO yatangaza rasmi mgao wa umeme nchi nzima (28/01/2022)
Sijui ni mimi pekee yangu na jirani zangu wawili ambao ndiyo tulikishudia chombo hicho, ama ilitokea pia kwa watu wengine. Ilikuwa jana yapata saa moja jioni, giza ndiyo kwanza limeingia, ile tu natoka nje ya geti la uzio wa nyumba yangu kwenda club kuangalia pambano la soka kati ya Liverpool na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.