Sisi tunaangalia mwaka wa Biblia sio mwaka wa kidunia.
Ikawa asubuhi ikawa jioni siku mpya. Kwenye biblia hamna ikawa asububi ikawa usiku siku mpya. Hayo ya Usiku ni mambo ya Kidunia
Heri ya Mwaka mpya 2025
Fouintain gate ni singida big stars ya mwigulu nchemba doto ya singida black stars hili nalo ni tawi jingine la yanga wala hawezi pata upinzani ni maelekezo na simu moja kutoka kwa mwenye timu hivyo ni yanga kijizolea point na kocha kupanga kikosi cha wachezaji wa akiba tutegemee magoli ya...
Simba itashinda lakini si kwa urahisi yanga B wamepewa maagizo wameahidiwa fedha gizani na mfadhili wao Gsm wana maagizo kutoka kwa waziri wa fedha na mjumbe wa baraza la wadhamini yanga A Simba ipo kwenye wakati mgumu wachezaji wawe makini wanakwenda kuhujumiwa kwa kutiwa majeraha ili...
1. Hii ni moja kati ya mechi ngumu msimu huu, JKT wamecheza kwa mbinu na nguvu nyingi dakika zote.
2. Refarii hajafanya kosa kutoa tuta, lile ni tuta, wa kulaumiwa ni mchezaji wa JKT kufanya utoto dakika za mwisho ( inawezekana ni mwanafamilia wa Simba).
3. Joshua mutale apewe mapumziko na...
1. Nafasi ya kiungo mshambuliaji no. 10 imeendelea kuwa ni tatizo kwa Simba, ni aibu timu kama Azam ina Feitoto halafu Simba haina mtu wa maana nafasi ile.
2. Simba inatakiwa ifanyie kazi eneo la pumzi kwa wachezaji , mara nyingi inataka kuanzia dk ya 60 nakuendelea.
3. Yusuph Kagoma ni kiungo...
Waziri Mkuu wa Ufaransa Michel Barnier ambae yupo njiani kurejea Ufaransa kutoka katika ziara nchini Saudi Arabia, anatarajiwa kupigiwa kura ya kutokuwa na imani naye na Bunge la nchi hiyo na hivyo kuipundua serikali yake.
Vyama vya upinzani nchini Ufaransa vikiongozwa na Maria Le Pen muda huu...
Leo kuanzia saa moja kutakuwa na mjadala mzito utakaoendeshwa online kuhusu
Umuhimu wa Tanzania Katika Mtangamano wa Afrika Mashariki
Sote tunakaribishwa:
https://x.com/i/spaces/1OwGWNkRORVKQ/peek
Wazungumzaji nguli watakuwepo.
Mnakaribishwa na kutakuwa na Live Update hap JF:
Katika pitapita zangu nimekutana na hii situation ikijadiliwa kuwa wakati wa mawio hadi kufikia mida ya saa 2 na pia mida ya kuanzia saa 12 kasoro mpaka jua linapochwaa, hilo jua tunaloliona si jua halisi. Ni taswira tu
Kuna ukweli wowote kwenye hili?
Kwanza nimpongeze sana mkuu wa Mkoa wa Arusha kwa jitihada zake za kusaidia wananchi;
Naamini na hili lipo kwenye mpango kazi wake ila kwa kuchangia tu;
Kuna vipande vitatu vya Barabara VIFUPI KABISA ila vina sababisha jiji la ARUSHA lisimame Asubuhi na jioni...
1. Ukitoka mnara wa Saa...
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limewataarifu wateja wake kuwa kutakuwa na maboresho ya mfumo wa LUKU ambayo yanatarajiwa kufanyika usiku wa Oktoba 21, 2024 kuanzia saa 5:59 hadi saa 09:00 usiku.
wakati wa maboresho hayo, wateja hawataweza kununua umeme kwa muda wa saa 3, hivyo wananchi...
Magari mawili ya mizigo (Semi-trailer), yamegongana na kuwaka moto jioni ya leo October 20,2024 katika barabara kuu ya Tanga- Dar es salaam eneo la Kwedikwazu Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga ambapo inahofiwa kuwa baadhi ya Watu wamepata madhara ikiwemo Madereva wa magari hayo.
Taarifa zinasema...
Kumekucha Wadau.
Leo asubuhi wakati nawahi kwenye Mitikasi yangu nimejikuta nimenasa katikati ya foleni ambayo hata kusogeza tu mguu ilikiwa shida na ni mchezo wa kila siku hasa kwenye barabara hii ya Mwai Kibaki.
Katika mji wa Dar es Salaam, foleni barabara ya Mwai Kibaki imekuwa ni kero...
Habari ya muda huu,
Mimi ni recent graduate wa Bachelor degree, nilituma CV ya kuomba position ya Junior Safety Officer....na hatimaye leo jioni nimepigiwa simu kuwa kesho nifike kwa ajili ya interview.
Naomba muongozo na vitu vya kuzingatia maana ndio interview yangu ya kwanza.
Natanguliza...
Hello wakuu,
Inahitajika TV ya kununua bei ndogo inavyowezekana, kuanzia inch 32 na kuendelea, used or mpya bajeti ni 200,000 hadi 300,000/=
Location: Dar es salaam
ikipatikana hadi kufikia kesho ntashukuru sana.👏
Ewe Mwenyezi Mungu muumba ardhi na dunia, umeumba wanadamu na vitu vyote vilivyopo, tunakuomba uijalie Simba ushindi leo katika dimba la Benjamin Mkapa ili tuweze kufuzu hatua ya makundi.
Ewe mwenyezi hakuna mtu apasae kuabudiwa kwa haki isipokuwa ni wewe.
Sisi waja wako umetuumba kuja duniani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.