jinsia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kuna ubaya mwenza wako akimtazama jinsia tofauti na yake

    Wasalam ulifanyaje mwenza wako alipokuona uelekeo wa fikra zako na macho yako yapo kwa binti/ kijana anayepita ? Kuna siku nimetulia sehemu wife akafuata kitu dirisha la huduma, ghafla kikakatiza chombo kwa mbali nikawa naki zoom naye sijui alistuka anaangaliwa akageuka. Kumbe wife kasharudi...
  2. JamiiForums Tanzania Bey Minyodo Tz, kijana wa Tanzania anayewaadhibu vijana wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja

    Bey Minyodo Tz ni kijana pande la miraba miwili mwenye mwili mkakamavu wa mazoezi anayechunguza na kuwaadhibu vijana wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja Minyodo amekuwa akiwatembezea viboko na makwenzi wale wote wanaoingia anga zake huku akiwaonya kujihusisha na ulawiti Amekuwa akiungwa...
  3. JamiiForums Tanzania Japo kwa Jinsia ni Mwanamke, Lakini kwa Mawazo, Maneno na Matendo, ni Mwanamume! Uamuzi Huu ni wa Kiume! Big Up Sana kwa Uamuzi Huu wa Kiume

    Wanabodi, Naomba kulianza bandiko hili kwa kutoa elimu kwa umma,kuhusu gender differences betwen ME na KE, sio vile viungo vya uzazi, ni uwezo wa kufikiri, thinking ability, na namna ya kufikia maamuzi, men thinks, women feels!. Kuna wanawake, japo ni wanawake kimaumbile, but they think like...
  4. JamiiForums Tanzania IGP Wambura Azindua Call Centre Ya Dawati La Jinsia Na Ulinzi Wa Mtoto

    Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Camillus Wambura, leo Julai 31, 2026, amezindua rasmi Call Centre ya Dawati la Jinsia na Ulinzi wa Mtoto wakati wa kufunga Mkutano Mkuu wa Dawati hilo uliofanyika mkoani Dodoma. Call Centre hiyo imeanzishwa ili kuboresha upokeaji na ushughulikiaji wa...
  5. JamiiForums Tanzania Mkana Jinsia Dayon ageuka kuwa Chawa

    Mkana Jinsia Dayon Monsoon aliyehojiwa na Mange Kimambi Canada na kujipatia umaarufu na akiwa mstari mbele kudai haki na kumpinga Samia na CCM. Now ghafla anamtetea Samia na kuwa chawa kama kina Kigogo, Mwandambo, Suphian Juma na wengine. Fatma Karume aingia mitini, sasa amebaki Maria Sarungi na...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Askari wa madawati ya jinsia wanatelekeza ofisi kwa kisingizo cha kwenda kuelimisha nje

    Askari wa madawati ya jinsia wanatelekeza ofisi kwa kisingizo cha kwenda kuelimisha nje ya ofisi kitu ambacho siyo kweli. Wanaondoka ofisini kwenda kwenye shughuli zao na simu hawapokei kabisaa wala sms hawajibu. Pia wamekuwa na tabia ya kuangalia upande wenye pesa na krsi zenye maslahi kwao...
  7. JamiiForums Tanzania Tupinge Mapenzi ya jinsia moja kwa vitendo

    Vijana wanakimbilia humo kama sifa vile. Haifai hata kidogo. Utuvwa mwanaume upo wapi?
  8. JamiiForums Tanzania Kijiwe cha JF: Kona ya vijana wa rika zote na jinsia zote

    Tunatambua changamoto zenu mbalimbali lakini pengine hamna pa kuzisemea Msiwe introvert sana.. Kuna tiba kwenye kuongea .. Ongeeni Story za kawaida Yatokanayo Yasemwayo Ya afya ya mwili Ya afya ya akili Mahusiano no ILA umbea na majungu wekeni kando😀 Kuna jopo la wazee watakuwa hapa wakiangusha...
  9. JamiiForums Tanzania Mbuzi mwenye jinsia mbili (kike na kiume) kufanyiwa Maombi

    Tukio la kuzaliwa kwa mbuzi mwenye viungo vya jinsia zote mbili (kike na kiume), limeibua mshangao na taharuki kwa wakazi wa Mtaa wa Nyantorotoro B, Kata ya Nyankumbu, Manispaa ya Geita, huku mmiliki wa mbuzi huyo akimtelekeza kwa balozi wa shina ili apatiwe maombi, akiamini huenda angeweza...
  10. JamiiForums Tanzania Umoja Wa Makanisa Ya Kipentekoste(CPCT) Tabora Yakana Tuhuma "Mapenzi Ya Jinsia Moja"

    Baraza la Umoja wa Makanisa ya Kipentekoste (CPCT) Mkoa wa Tabora limeiomba Serikali kuruhusu kuendelea kwa mkutano wa injili unaotarajiwa kufanyika kuanzia Machi 19 hadi 22, 2026 ukiongozwa na Mchungaji Dkt. Dana Morey kutoka Marekani. Ombi hilo limekuja baada ya Serikali ya mkoa kusitisha...
  11. JamiiForums Tanzania Sio kweli kuwa Fisi mmoja ana jinsia mbili, fahamu ukweli kuhusiana na mkanganyiko huu

    Mkanganyiko huu unasababishwa na Fisi Jike Maumbile ya Fisi Jike Fisi jike ana kisimi kirefu kinachoitwa pseudo-penis ambacho kinafanana sana na uume wa dume. Pia, midomo yake ya uke imejishika na kutengeneza mfuko unaofanana na korodani (pseudo-scrotum) Uzazi Licha ya kuwa na maumbile...
  12. JamiiForums Tanzania Unamruhusu mpenzi wako awe na best friend wa jinsia tofauti?

    Unamruhusu mpenzi wako awe na best friend wa jinsia tofauti ?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania Haitaji Shule za Bweni za Jinsia Moja

    Katika dunia ya sasa, Tanzania inakua na changamoto nyingi za kijamii na kielimu. Mojawapo ya changamoto hizo ni mfumo wa shule za bweni za jinsia moja (hasa zile zisizo za kidini). Ingawa mfumo huu ulikuwa na nafasi yake katika historia, leo hii unazalisha matatizo makubwa kuliko faida. 1...
  14. JamiiForums Tanzania Tungekuwa tunachagua Jinsia kusingekuwa na wanawake

    Suala la kuchagua jinsia ingekuwa ni hiari huenda wanawake wasingekuwepo au wangekuwa wachache sana. Sababu hizi hapa 1. Kwa mujibu wa tafuti kwa nchi zenye population control policy kama china wazazi huchagua zaidi kupata watoto wakiume kuliko wa kike. Ndio sababu china wanaume ni wengi sana...
  15. JamiiForums Tanzania Issue ya haki sawa kwa jinsia zote sidhani kama itawahi kufikiwa

    Wadau habari, Dah! Nimekaa mahali Leo nikatafakari kitu kwa miaka sasa Elimu umekuwa ikitolewa haki sawa kwa mwanaume na mwanamke lakini je hili lipo kweli kwenye Jamii zetu? Je wanaume tunakubaliana na hili? Leo hii tukichukulia aspect ya ndoa mwanamke akitoka hadharani(on public) na kulia...
  16. Q

    JamiiForums Tanzania Rais achaguliwe kwa 'merits' zake sio kwa upande anaotoka, wala dini yake au jinsia yake

    Katiba inasema Rais akitoka bara basi makamu wake lazima atoke visiwani hata kama upande huo hatuoni mtu mwenye sifa. Hii sio sahihi. Kuna tendency au tabia ambayo haijandikwa popote kuwa kama Rais anayemaliza muda wake ni mkristo basi atakayefuata lazima awe mwislamu lengo kubalance dini hata...
  17. JamiiForums Tanzania Mdau: Vijana mnapenda starehe mnapenda anasa, acheni!

    Mdau mwenye lafudhi ya pwani atoa maoni yake kuhusiana na tabia mbovu zinazofanywa na vijana wa kizanzibari
  18. JamiiForums Tanzania mauaji na ukatili wa Oktaba 29 hayana dini, eneo wala jinsia

    Naona mashehe wengi ambao ni mashehena wameamua kuugeuza uislam uchawa. Wanatetea ukatili na mauaji ya Oktoba 29 sijui ni kwa sababu ya dini au uchawa na udini. Mie sijui.
  19. JamiiForums Tanzania Yanga wakubali mchezaji wao wa Yanga Princess Jeanine MUkandayisenga kupima, waweka sharti kuwa wachezaji wa Simba na JKT Queens kupima jinsia

    Yanga wameiandikia TFF barua kuwa wako tayari mchezaji wao wa timu ya wanawake, Jeanine MUkandayisenga kupima na kuuthibitisha jinsia yake kama TFF walivotaka TFF waliwaandikia barua Yanga kuwa timu za wanawake za Simba na JKT wamelalamika kuhusu utata wa jinsia ya Jeanine MUkandayisenga na...
  20. JamiiForums Tanzania TFF kufungia mchezaji wa Yanga Princess, Jeanine Mukandayisenga kisa utata wa jinsia ni hujuma kwa timu yetu

    Tunajua Karia na TFF yake wana kidonda kizoto moyoni baada ya msimu uliopita Yanga kuwa bingwa na kampeni yake ya kugomea derby iliyohairishwa kihuni, hili linamkera sana Karia na TFF yake Kumbuka Yanga ndo timu pekee ambayo haikumuunga mkono Karia kwenye uchaguzi wa utapeli wa TFF, ambapo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…