Yanga wameiandikia TFF barua kuwa wako tayari mchezaji wao wa timu ya wanawake, Jeanine MUkandayisenga kupima na kuuthibitisha jinsia yake kama TFF walivotaka
TFF waliwaandikia barua Yanga kuwa timu za wanawake za Simba na JKT wamelalamika kuhusu utata wa jinsia ya Jeanine MUkandayisenga na...
Tunajua Karia na TFF yake wana kidonda kizoto moyoni baada ya msimu uliopita Yanga kuwa bingwa na kampeni yake ya kugomea derby iliyohairishwa kihuni, hili linamkera sana Karia na TFF yake
Kumbuka Yanga ndo timu pekee ambayo haikumuunga mkono Karia kwenye uchaguzi wa utapeli wa TFF, ambapo...
Kama ilivyo ada mapenzi ndio Dunia na Dunia haina maana bila mapenzi, narejeq kwa vifijo na ndelemo nyingi katika uga wa mahaba nihabue mapenzi nipenzue.
Huuuui huuui ndivyo waweza kupiga yowe katika anga za 6*6.
Nasema hivi ukiona mwanamke anavidole vya mkononi virefu kuliko mwanaume wake...
Kuwa na Nywele Fupi au Ndefu Kwenye Ibada kwa Jinsia Zote Mbili
Kumekuwepo dhana mbalimbali kuhusu hali ya nywele, wakati wa ibada. Majibu ya dhana hizo yanapatikana kwenye maandiko.
JINSIA YA KIUME
Kuhusu jinsia ya kiume, Biblia inasema mwanaume hapaswi kuwa na nywele ndefu kwa sababu kichwa...
Hello!
Wanaume wanapopandana au wanawake wanapopandana wao kwa wao automatically ni kama wanajiengua kwenye idadi ya watu duniani.
Kama kwenye familia au ukoo mko 50 na 5 wamekuwa mashoga na wasagaji hiyo familia inapaswa kuhesabika mko 45 tu. This calculation also can be applied in national and...
Hivi karibuni, vyombo vya habari vimekuwa na nafasi kubwa katika kuunda mitazamo ya jamii kuhusu masuala ya jinsia. Hata hivyo, hali imekuwa ikielekea kwenye upotoshaji wenye ladha ya "sukari ya ziada" kwa upande mmoja, huku ikipuuza upande mwingine. Masimulizi haya mara nyingi huchangia...
Natafuta rafiki wa kike, kabila yoyote, kuanzia miaka 40-50. Dini yoyote, mfanyabiashara au mwajiriwa. Naishi Dar.
Nina miaka 50, mwanaume, urefu wa kati, maji ya kunde. Msukuma na Mjita. Mzaliwa wa Dar.
Mfanyabiashara.
Karibu atakayependezewa.
Tafadhali naomba dharau, dhihaka na utani vikae...
Wakuu, hili swali limekua linanisumbua kichwa changu sana, tafadhari sana msinione km napatwa na wazimu kuhoji hili swali la jinsia ya Mungu. Ila wakuu naomba kwa anaefahamu tafadhari sana aniambie Jinsia ya Mungu ni ipi? Je! MUNGU ni Mwanamke au ni Mwanaume au MUNGU hana jinsia kabisa...
Kwanza niweke record sawa mimi sitetei Feminism......na sio feminist at all.
Jana nimetizama mechi kali sana ya wanawake kati ya Nigeria vs Tunisie wao wanaita Wafcon... (3-0)
Niseme ukweli wale wanawake ni wachezaji wepesi, wazuri sana na wana kasi pengine kuzidi baadhi ya wanaume.....
Yaani...
Chuma ulete ni aina ya uchawi unaoaminika kutumiwa kuharibu mazao au kuiba mazao shambani kwa njia za kichawi. Katika tiba asili na mila za Kiafrika, kuna dawa na mbinu mbalimbali zinazotumika kuzuia au kujikinga dhidi ya chuma ulete mashambani. Hapa kuna dawa na mbinu zinazotumika:
---
🧪...
Nimekuwa nikitafakari kwa kina juu ya neno “Tomboy.” Kwa kawaida, linamaanisha msichana ambaye ana tabia, mavazi, au mienendo inayohusishwa na wavulana.
Lakini kila nikilitafakari, linazidi kunichanganya. Kwanini msichana aitwe Tomboy jina lenye maneno mawili ya kiume: Tom (jina la kijana wa...
Msichana mdogo mwenye tabia kama za kiume anafanya jambo la kushangaza baada ya kutaka kujiunga na jeshi ili haweze kuikoa nchi yake dhidi ya maadui hatari wa kichawi.
Shida kubwa mdada huyo nj mwanamke na wanaohitajika ni wanaume je hatafanikiwa ??
Angalia video full 🔋...
Nimeona picha na video za mwanamke mmarekani mmoja aliyebadili jinsia.
Kwa nchi za ulaya hii ni kawaida wao si kitu tena cha mjadala.Nadhani ni stage ya advancement waliyofikia ndio inawafanya wafikiri hivo
Sipati picha hapo baadae miaka 100 ijayo wanawake wote hawataki kua wanawake tena...
Sometimes to understand others peoples point of view, you have to internalize theirs and then judging them accordingly.
kwa mfao we mwanaume ungekua mwanamke, je?
usingeomba hela?
ungetulia na mwanaume mmoja?
ungemvumilia mwanaume asiye na pesa kisha ana gubu?
ungemsubiri mtu ambae amefungwa...
Hamjambo 👋🏽 👋🏽
Mimi ni mwanamume.
Wajuzi wa jambo hili naomba mnipe mbinu ya namna ya kufanya.
Maana nahitaji uzao wangu uwe Y, X, Y, X mpaka mwisho, ila mtoto wangu wa kwanza awe wa kiume.
Miaka ya nyuma dada ambaye sasa ni mtu mzima alikuwa anasoma Loleza Sekondari Mbeya; alinisimulia jinsi mchezo wa wanawake kuchezeana ulikuwepo. Akasema msichana mwenzako unamwona ndiyo mwanaume wako.
Shule za Jinsia Moja hazitakiwi kabisa kuwepo zinachochea sana ushoga na usagaji.
Kwa kuwa watu...
Nchi 10 Zenye Idadi Kubwa ya Watu wa LGBTQ+ (2023/2024)
| Nchi | Idadi ya LGBTQ+ (Makadirio) | Asilimia ya Watu | Sheria za LGBTQ+
| Marekani | ~31 million | ~9.2% | Ndoa halali (2015) |
| Brazil | ~20 million | ~10% | Ndoa halali (2013)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.