min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 60,030
- 173,731
Kwa maslahi mapana ya uanaume ,dini bora ni uislamu, na mafunzo yake.
Kwa kuokoa kizazi hiki uislamu unapaswa uwe kwa kila jamii na sheria zake kamilifu.
Dunia ya sasa hii ndio dini dume iliyo bakia tu.
Binafsi sina dini ila nikipaswa nitaje dini kwa maslahi ya dunia ya sasa Islam ni namba moja.
.