jinsi ya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupaka marashi (perfume): Siri 8 za kufanya harufu ya marashi idumu kwa muda mrefu

    Moja kwa mbili kwenye mada: 1. USIPULIZE KWENYE NGOZI NA KUISUGUA: Kwa nini? *Kwa kusugua kwenye ngozi baada ya kupaka kutayafanya marashi yako yapotee (evaporate) kwa haraka zaidi kabla hayajatulia kwenye ngozi na kujichanganya na mafuta asilia ya ngozi (skin oils). *Kuyatawanya kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kujiajiri kupitia wordpress

    Je Umewahi kusikia kuhusu Wordpress? Kama hujawahi basi ni kujuza tu kwamba wordpress ni content management system(CMS) kwa ajili ya website.CMS ni mfumo maalum ambao unamwezesha mtengenezaji wa tovuti kusimamia maudhui ya tovuti yake kwa urahisi.Wordpress ni nzuri sana kwa kusimamia blogs...
  3. JamiiForums Tanzania Njoo tuelekezane jinsi ya kupiga hela Burundi

    Ndugu zangu kuna biashara nataka kujaribu kufanya ya kutoa bidhaa Kariakoo kupeleka Burundi ila katika pitapita, nimegundua changamoto zifuatazo. 1. Mabadiko ya thamani ya pesa ya Burundi 2. Ugumu wa kubadilisha fedha. Yaani ukiwa na faranga ni ngumu sana kuirudisha kuwa Shilingi. 3. Suala la...
  4. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutengeneza Program ya computer(Software)

    Kwanza nianze kwa kueleza wazi kwamba mimi ni mdau katika mawanda haya ya Utengenezaji na usambazaji wa mifumo ya Computer na kwamba ninaamini kwamba kama watanzania tunapaswa kuwekeza sana katika kupeana elimu hii adhimu ya utengenezaji wa mifumo ya computer.Hata hivyo andiko langu hili sio...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Jifunze jinsi ya kupanga bei kulingana na aina ya bidhaa unayouza

    PRICE ELASTICITY OF DEMAND Hapa tunaongelea jinsi gani ambavyo bei ya bidhaa inaweza athiri uhitaji wa hio bidhaa (demand). Inaeleza jinsi tabia ya mteja inavyobadilka kulingana na bei ya bidhaa. Kwenye sheria ya demand inasema kwamba bei inavyoongezeka basi ni lazima demand ya kitu ipungue...
  6. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata nguvu za kiroho

    Za siku nyingi wana JF. Nimekuwa nikitafakari kwa muda sasa namna nitakavyo weza kufundisha somo hili tajwa. Leo nimeona niweze kutoa utangulizi wa mambo ya kiroho na kuweza kuzipata guvu zake. Watawala wengi duniani na makundi mbalimbali huzitumia nguvu za kiroho katika kujinufaisha kwenye...
  7. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuandaa mkataba kati ya mpangaji na mwenye nyumba

    Makubaliano kati ya mpangaji na mwenye nyumba ni jambo muhimu sana kufanyika. Makubaliano kati ya watu hawa wawili ndio muongozo wa mahusiano, na jinsi ya kukabiliana na changamoto mbalimbali zinazoweza kujitokeza kipindi ambacho mpangaji atakuwa katika nyumba ya mwenye nyumba. Uwekezaji...
  8. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kutengeneza Connection za Kibiashara

    Habari za wakati huu; Ndugu zangu hapa jukwaani nimekuwa nikiona watu wengi wakihangaika juu ya kukosa wateja wa bidhaa au huduma zao na wengine wakilalamika juu ya kukosa connection. Connection au mtandao nini?Connection au mtandao ni orodha ya watu ambao wana uwezo wa "kukuwezesha".Iko hivi...
  9. JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kujaza form TaESA

    Habari zenu za muda huu wakuu? Naomba nipate uhakika ni hiki ninachofikiria. Kwenye Kipengele cha "Job Preference" unapojaza form ya TaESA ni sahihi kwamba unatakiwa ujaze kazi ambazo ungependa kuzifanya kutokana na taaluma yako?
  10. L

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuendelea kupata faida kwenye biashara

    THE LAW OF DIMINISHING MARGINAL RETURNS Diminishing ni kupungua kwa kitu Marginal return ni faida ambayo unapata kutoka kwenye kitu flani. Hii sheria inaelezea kwamba mwanzoni unavyoanza kitu ukiongeza juhudi basi kitakuzalishia zaidi, ila kadri unavyozidi kuongeza juhudi bila kuongeza vitu...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuzuia makelele ya muziki wa juu kutoka kwa majirani...

    Kuna jirani zangu wanapiga mziki kwa kutumia spika kubwa saana kila mwisho wa wiki. Naomba ushauri wenu kama kuna jinsi ya kufanya jambo la kuingilia/kuzuia makele ya mziki wao bila wao kujua..manake nimajribu kuongea nao hatuelewani....niliwahi kuambiwa kwamba kuna vifaa ukifunga vinaingiliana...
  12. JamiiForums Tanzania Jinsi Ya Kuwa Mwekezaji Kwenye Viwanja Na Majengo Mwenye Mafanikio Mkubwa Mwaka 2022

    Takwimu zinasikitisha sana linapokuja suala la wawekezaji wenye mafanikio makubwa kupitia uwekezaji kwenye viwanja na nyumba. Si zaidi ya asilimia kumi ya wawekezaji wote waliojenga mafanikio makubwa sana kupitia uwekezaji kwenye ardhi na majengo. Sababu kuu ya wengi kushindwa kujenga utajiri...
  13. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutunza na kuimarisha Afya ya Akili ya Mtoto wako

    Uhusiano Imara na wenye nguvu sio tu unakufanya kuwa Binadamu bora bali pia husaidia kukuimarisha Kihisia. Wakati wa kujenga uhusiano na Watoto wako, waambie unawapenda mara kwa mara Ni muhimu kila Siku utenge muda wa kuzungumza na kumsikiliza Mtoto. Ikiwa mtoto wako anataka kuzungumza nawe...
  14. JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kutumia whatsapp kwenye PC

    Habari ni majanga kidogo nimepata kwa sasa sina simu ya smart na whasapp ya pc inataka uscan je nijinsi gani nitaweza kuitumia kwa kusajili namba moja kwa moja. Ahsante
  15. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata API ya NECTA kuverify index number za wanafunzi

    Habari, Naitaji kufaham jinsi ya kupata access ya API ya NECTA ili kuweza kuverify index number ya mwanafunzi au utaratibu wowote au mwenye nazo anaweza kushare. Asante!
  16. JamiiForums Tanzania Okoa matumizi ya petrol na kuondoa shida za gari zisizotatuliķa kwa kufanya jambo dogo kwenye gari

    SABABU ILIYOJIFICHA GARI YAKO KUTUMIA MAFUTA ZAIDI NA MATATIZO MENGINE Wasiliana na mimi +255788624499 nikusafishie Mass Air Flow (MAF) senso. Soma zaidi... Dalili za MAF sensor inahitilafu ni, 1. Engine ni ngumu kuwasha. 2. Engine inazima muda mfupi baada ya kuwaka. 3. Engine inasitasita au...
  17. JamiiForums Tanzania Computer4Sale Tunauza laptop za kila aina

    Lenovo XIIM 2-in-1 laptop slim and nice Affordable 2-in-1 Tablet 10 windows tablet with detachable keyboard and hi-res display 11 Size ••Processor : Intel Atom X5 ••Generation: 6th ••RAM 4GB (DDR4) ••Storage: SSD 64GB. GB Extra ••Touch screen ✔️ Let your fingers do the talking ••Long...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Tuelekezane jinsi ya kupata mikopo ya serikali hususan kwa vijana

    Habari wakuu. Mtaani hali si hali mtaji umekua changamoto kubwa sana kwa vijana wengi. Wengi huishia tu madayworker na inshu za kuunga unga tu. Sasa huwa nasikia kuhusu mikopo inayotolewa na serikali kwa ajili ya vijana, walemavu na wanawake. Kwa waliowahi kuomba hii mikopo ama kuipata hii...
  19. JamiiForums Tanzania Naomba msaada jinsi ya kujua Laptop ya bei ndogo chini ya 500,000 yenye uwezo mzuri

    Habari ya leo wakuu, samahani Nahitaji kununua Laptop kwa ajili ya matumizi Katika shughuli zangu Kazi nnazo hitaji kuzifanya zaidi ni kuandika vitabu, kutengeneza matangazo, posters n.k Napenda nitumie laptop kufanya kazi hiyo kutokana na mazingira yangu kibiashara kuwa ya kusafiri mara...
  20. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuwaelewa wanaume au wanawake kwenye mahusiano

    Kumuelewa mwanamke ingia kwenye mahusiano na wanawake wengi kadri uwezavyo, hii itakusaidia kukutana na maumivu ya kila aina yanayosababishwa na wanawake kwenye mahusiano na hivyo kuwa sugu na kuona ni ya kawaida. Wanawake hawataacha kuwaumiza wanaume njia pekee ya kuwaelewa ni kuhimili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…