chai ya rangi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2026
- 1,041
- 3,089
tengeneza chai kwa kuchemsha maji na majani ya chai ( zidisha majani ya chai kuliko kawaida )
kisha baada ya chai kuchemka vizuri acha ipoe
ikishapoa chuja na kuwekea sukari nyingi nyingi, kama una scoby unaweza ukaweka kama hauna hakunashida pia, iache chai yako ndani kwa siku kadhaa hadi itachacha na kuanza kua kama bia
kumbuka kuifunika
baada ya kupata ladha ya bia, wekea amira kiasi kisha iache kwa siku kadhaa zijazo ambapo alc itakua ikipanda
baada ya siku nyingi kupita utakua umepata bia yako, hapa unaweza kutengeneza bia za aina mbalimbali. saivi nipo natengeneza bia na ikikamikika nitamualika Lamomy ili tuje kuinywa kwa pamoja.
bia hii inahitaji subira na uvumilivu kabla ya kupata kinywaji chako