jinsi ya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. technically

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kujilinda na watekaji

    Hakikisha nyumbani ukosi kichupa chenye asidi Hakikisha nyumbani ukosi mafuta ya petrol Tengeneza kabati maarumu Kama zile za kutunza mithihani shule weka vifaa vyako pale. Hakikisha nyumba yako ina mlango wa chuma kwa nje na wa mbao kwa ndani. Wajinga wakija wawai na asidi wakati wanafungua...
  2. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupika vitumbua

    Hello Kwanza andaa mchele wako uchambue usiwe na mawe wala chuya kisha uoshee vizuri kisha loweka mchele mimi nili uloweka kuanzia asubuhi up jion so inategemeana na wewe unataka kuvipika saa ngapi kama ni asubuhi nashauri loweka usiku Baada ya hapo nika brendi kwenye brend nikiwa...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Lipia Annual maintenance Fee ili jina la biashara yako lisifungwe BRELA

    Hellow mjasiriamali Kama ujisajili jina la biashara brela Kuna kitu kinaitwa annual maintenance Fee, ngoja nikwambie hapa. Brela wanakuhitaji wewe ulipie annual maintenance fee ya jina la biashara Yako kuli-keep active. Hii fee inalipwa mara Moja kwa mwaka na ni Tsh. 5000 Ngoja nikuoneshe...
  4. FestoKaguo

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kushinda Tabia ya Kuishia Njiani Unapoanza Kitu

    Hello habari njema kwa wana JF wote na leo hii naandika hii thread nikiwa kama mmojawapo wa wahanga ambao nishawahi pitia hiki kitu unakuta kuna wakati mtu anakuwa na shauku kubwa ya kuanza jambo jipya au kufanya kitu kipya kama kusoma kozi, kufungua biashara ndogo, au hata kufanya mazoezi...
  5. Golden Trust

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata leseni ya Biashara ya mapochi

    Habari zenu wana Jf naombeni muongozo kwa anaefahamu Nataka kufanya Biashara ya kuuza mapochi ya kike. Lakini changamoto kwenye kukata leseni sijui inasimamiwa katika kipengele kipi he ni urembo au kuuza mabegi,?
  6. Surya

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuwatawala Watu, Dini na Serikali kutumika vibaya

    Mifumo ya kidini inaingiliana sana na serikali, Kwa vile serikali inalipa wafanyakazi pesa mwisho wa mwezi basi na Makanisa yakaona kutoza fungu la Kumi kila mwezi huwenda ni tamaduni tumeiga kutoka kwa watu fulani, nafikiri fungu la kumi kutoa nikwa waajiliwa tu, kwa wafugaji sijajua inakuaje...
  7. Spectophotometer

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumtoa signatory wa benki ambaye si mmiliki wa kampuni

    Habari wanasheria na wanajukwaa kwa ujumla. Naomba kuelekezwa utaratibu wa kumtoa SIGNATORY wa nyaraka za benki ambaye si mmiliki wa kampuni. Amepata dharura ya kuumwa,na yuko nje ya nchi kwa matibabu.Ni utaratibu gani ili atolewe kama signatory? Natanguliza shukran
  8. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hata wakizima Mtandao tutawasiliana. Jinsi ya Kuwasiliana kwa Bluetooth, Kwa njia ya Mesh Network

    Tuna faida kubwa kuliko wakati wowote—ambayo ni mabadiliko ya teknolojia. Maandamano yatafanyika, hata wakizima mtandao au kuzuia SMS, bado tunaweza kujipanga na kutumiana ujumbe bila intaneti, bila Wi-Fi, bila SIM card. Leo nataka tujikite kwenye ujumbe wa nje ya mtandao (offline messaging)...
  9. youngkato

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Kuonesha Sinema/Mpira Banda umiza na jinsi ya kupata leseni

    Jinsi ya Kufanya Biashara ya Kuonesha Sinema/Mpira Banda Biashara ya kuonesha sinema au mechi za mpira kwenye banda ni fursa yenye faida kubwa hasa kwa maeneo yenye wapenzi wengi wa michezo na sinema. Ili biashara hii iwe halali, mfanyabiashara anatakiwa kupata leseni ya biashara kulingana na...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuongeza Mtaji wa Kampuni Yako

    Umefungua Kampuni kwa mtaji wa 10M kama share capital mfano, baada ya kufanya biashara kwa muda Fulani unataka kuongeza Mtaji ufike 50M. Hizi ni hatua za kisheria za kufuata. 1. Kikao Cha wakurugenzi (directors) Wakurugenzi watakaa na kupitisha ajenda ya kuongeza Mtaji wa Kampuni. 2. Notice...
  11. Setfree

    JamiiForums Tanzania Jifunze hapa jinsi ya kuwajibu kisomi, wanaosema kwamba Yesu sio Mungu na wala hakufa msalabani

    Huku na kule duniani, kuna watu wanaokiri kuwa Yesu ni miongoni mwa manabii wakuu. Watu hao wanaamini kwamba Yesu alipewa Injili na alifanya miujiza. Hata hivyo hawakubali mafundisho yanayoeleza kwamba Yesu alikufa msalabani na kwamba siku ya tatu alifufuka. Wanasema Yesu sio Mungu na hawakubali...
  12. Imani rubaba

    JamiiForums Tanzania Siri za Masoko: Jinsi ya Kufanya Bidhaa Zako Zinunuliwe kwa Faida Kubwa

    Changamoto kubwa ya kilimo na ufugaji si uzalishaji – ni soko. Wengi hufanya kazi kubwa shambani au bandani, lakini mwisho wa siku bei ni ndogo, wanunuzi hawapo, au madalali ndio hunufaika. 👉 Siri ni hii: Soko si mahali, ni maarifa. Ukiwa na taarifa sahihi za bei na mahitaji, hupotezi...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuanzisha App na inavyofanya Kazi

    Kwema Wakuu, Kuna idea nimeipata nahitaji kuianzishia APP. Sasa utaratibu ukoje? Naanzia wapi? Kuna vibali labda? Kama vipo naviombea wapi? Na kuna gharama? Kias gani kama zipo? Na kama App yenyewe itakua watu wanaingia free, Mimi nitalipwa na nani kwa uingiaji wao huo ukiacha matangazo ya...
  14. youngkato

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kupata Leseni ya Butcher (Kuuza Nyama)

    Umuhimu wa Leseni ya Biashara Kwanza kabisa, ni muhimu kufahamu kuwa kufanya biashara bila leseni ni kosa la kisheria. Sheria ya Leseni za Biashara Na. 25 ya 1972 inaeleza wazi kuwa kila mfanyabiashara anapaswa kuwa na leseni ya biashara. Kwa butcher, leseni hii ni sharti ili kutambulika rasmi...
  15. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Tanzania ina watu wengi magenius sana wenye IQ kubwa hususani vyuoni lakini serikali halijui jinsi ya kuwatumia

    Mbeya University of Science and Technology (MUST) Hiki chuo mnakifahamu? Moja ya vyuo vyenye watu magenius hapa Tanzania ni pamoja na hiki chuo. Ubunifu unaofanyika kwenye hiki chuo unaweza sema ni wanafunzi wa Kichina, kumbe ni wa hapahapa Bongo. Kwa mtu anayejua chuo cha MUST nadhani...
  16. IsDinah

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupika dagaa watamu

    Sasa tuandae pishi letu ili tuingie jikoni kupika chap kwa muda wa dakika 10 baada ya hapo, tunakula sotojo letu. Anza kwa kukata kata vichwa vya dagaa, wengine huwa mnaunga dagaa bila kukata vichwa ni sawa pia ila mimi napendelea kukata vichwa kwa sababu inasaidia kupunguza mchanga. Baada ya...
  17. Heritage123

    JamiiForums Tanzania Siri za Kariakoo: Jinsi ya kupata bidhaa kwa bei ya jumla bila kupoteza muda

    Wafanyabiashara wengi wanajua Kariakoo kama sehemu yenye msongamano na kelele, lakini wachache sana wanajua nguvu iliyo ndani ya machimbo ya bidhaa yaliyopo pale. Kariakoo ndiyo moyo wa biashara Tanzania — bidhaa zikishafika Kariakoo, unaweza kupata kila kitu kutoka bei ya jumla, hadi bidhaa...
  18. I

    JamiiForums Tanzania SIM Swapping Wizi wa Namba ya Simu Bila Kuibiwa Simu Na Jinsi ya Kujilinda

    SIM Swapping Wizi wa Namba ya Simu Bila Kuibiwa Simu Na Jinsi ya Kujilinda Katika dunia ya sasa ya kidigitali, namba yako ya simu imekuwa “kitambulisho” chako mtandaoni. Inatumika kuthibitisha miamala ya benki, kufungua WhatsApp, kusahihisha nenosiri kwenye akaunti zako, na hata kupata huduma...
  19. figganigga

    JamiiForums Tanzania Full Video: Maandalizi na Mapishi ya Nyama ya Panya na Kenge hadi jinsi ya kuwala

    Maandalizi na Mapishi ya Nyama ya Panya na Kenge. Ukishaonja nyama ya panya huachi. Kenge ndo mtamu balaa Mdau hapa kaweka video hatua kwa hatua ya Uandaaji wa nyama ya Kenye hadi jinsi ya kumla
  20. VictoriaGreenHerbal

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuondoa Michirizi Kwenye Ngozi

    Hali hii hutokana na ngozi kupoteza uimara wake na kuachia mistari ya kudumu inayojitokeza. Mara nyingi husababishwa na unene uliopitiliza, kupungua uzito ghafla, baada ya kujifungua, mabadiliko ya homoni au hata urithi wa kimaumbile. Pia, matumizi ya vipodozi vyenye kemikali yanaweza kuongeza...
Back
Top Bottom