jina

Jina (Zina) is an Afroasiatic language of Cameroon. The Muxule variety may be a distinct language.

View More On Wikipedia.org
  1. ZILLIONAIRE

    Dilemma: Je, nimwandikishe jina lake kwenye mali zangu au nikubali tuachane?

    Ndugu zangu wanaJF, habari zenu!!! Nimekuwa mfuatiliaji wa mada za JF tangu 2018 na nimekuwa nikivutika mno na elimu itolewayo hapa jukwaani lakini sikuona haja ya kujiunga kama member kwa kuwa nilihisi sina chochote cha kuchangia hapa,ila sasa nimeamua kujiunga rasmi ili kupata ushauri kuhusu...
  2. Isenye

    Mpenzi wangu kaanza kuniita hili jina, ana maana gani?

    Poleni na mihangaiko wakuu. Nina kasichana kangu kapo chuo hapo IFM kameanza kuniita papaa. Hivi hii ina maanisha nini?
  3. Setfree

    Nimewasambaratisha majambazi, usiku, kwa Jina la Yesu!

    Ndugu zangu, hii ni habari ya kweli kabisa; sio chai! Uongo mimi nauchukia kama ukoma! Ilikuwa around saa saba usiku, nilikuwa safarini nikiendesha gari langu, kuelekea nyumbani. Barabara ilikuwa tulivu, ila haikuwa na taa za barabarani, hivyo giza lilitanda kila upande wa barabara. Sikujua...
  4. USSR

    G55 tupo wengi ni jina tu wasifikirie tupo 55 ni wagombea wote: Mrema

    “G55 haimaanishi tupo 55 tu, imetumika kama alama ya kuwakilisha kundi hili ambalo liliundwa baada ya Katibu Mkuu kualika wagombea wa mwaka 2020 na waliotia nia mwaka huu, baadaye tuliunda kundi la WhatsApp na hivyo ndivyo kundi hili lilivyoundwa , na kwenye kundi letu la G55 tuna wajumbe wengi...
  5. ELI COHEN

    Nimekutana na video ya huyu binti, imenikumbusha kuwa asilimia kubwa ya mabinti wa kileo hawako resistant na ushawishi wa jamaa mwenye pesa na jina

    Masikini unakuta hata bwana yake huko alikuwa ndio anajichanga aende kujitambulisha ghafla akaona hii clip😂 Ukiwa una pesa alafu ukikutana na demu mwenye bwana, ukimuulizia kuhusu bwana yake ataakuambia "aah yule tunasumbuana"
  6. Meneja Wa Makampuni

    YESU ni jina la uzima, uponyaji, na ushindi juu ya giza

    JINA LA YESU LITUKUZWE WATOTO WA MUNGU! Watu wa Mungu walio okoka na ambao bado hawajaokoka! Leo ngoja tuzungumze juu ya Habari Njema ya Yesu Kristo, Mwana wa Mungu aliye hai! Leo natangaza habari za wokovu! Leo natangaza jina lipitalo majina yote jina la YESU KRISTO! JINA LA YESU LINA NGUVU...
  7. K

    Nitafutieni waziri yeyote kwenye serikali ya Marekani ambaye jina linaanza na Profesa

    Nitafutieni kiongozi yeyote wa Serikali ya Marekani na majimbo yote 50 ambaye kwenye jina lake anaanza na Professor fulani kama utapata! Hili ni jina linatumika wakati wewe bado ni mwalimu wa chuo! Ukiacha ualimu hutakiwi kuitwa Professor tena! Professor kabudi na Tibaijuka wasingetakiwa...
  8. Damaso

    Kwa wale wahenga hizi kandambili mlikuwa mmezipa jina lipi?

    Wale wahenga! Hizi kandambili mlizipatia jina gani? Ebu leta experience yako!
  9. DELETED ACCOUNT

    Yanga hawamtaki Mzee Mguto kwa sababu ya jina lake!

    Nilikuwa naongea na mshabiki mmoja kindakindaki wa Yanga akaamua kufunguka kwa nini wanaonekana kummind sana Mzee Steven Mguto na Bodi yake ya Ligi. Nilimsikia jamaa akisema, "kwanza jina lake tu linatukebehi, kila tukitaja MGUTO sisi tunasikia UTO UTO UTO!". Nikamjibu kwa hilo tu wanastahili...
  10. GENTAMYCINE

    Naomba jina la huyu Polisi aliyesema kuwa msizungumze mambo yenu na Wapenzi wenu mkiwa mmelala Mapenzini Kiakili huwa tunakuwa hatupo vizuri

    Nimecheka sana kwa jinsi huyu Polisi alivyokuwa akisema kwani kasema Ukweli mtupu huku akitoa na Mifano ya Kiutani. Nimeiona katika Mtandao wa Thread wa Mtu anayejiita Balozi wa Watu.
  11. Wang chung

    Jina la kitabu :Jinsi ya kuendelea kuwa maskini

    Kitabu cha "Jinsi ya Kuendelea Kuwa Masikini" kinatoa mifano na ushauri kuhusu tabia na maamuzi yanayoendelea kuwafanya watu kubaki kwenye umasikini. Hiki ni kitabu kinachokosoa mtindo wa maisha, ufikiriaji, na maamuzi ambayo mara nyingi huwafanya watu kushindwa kufanikiwa kiuchumi. Kinahimiza...
  12. Solo Traveller

    Msaada kuhusu kubadilisha jina

    Wakuu habari nipo kwenye harakati za kubadilisha jina wa Sababu binafsi. Nilienda kwa advocate akasema anaandaa deed pool kwa 50k then after nipeleke wizarani nitalipia 32500/= Sasa Kuna mtu amenishauri niende mahakamani niwe nimejaza Ile deed pool gharama haitazidi 15k Naombeni ushauri...
  13. M

    Waislam msiwaite wenzenu makafiri,sio jina zuri

    Ndio, maana kimaana ya kugha ya kiswahili 'kafiri' ni mtu asiyeamini. Na hii ipo hasa kwenye hizi dini kubwa mbili duniani. Eti we muislam,mtu ambaye hakuzuii kujifuza dini yako,hakuzuii kufanya ibada,pengine mtu huyo ni mfanyakazi wako/boss wako/mama/baba yako n.k. je ukafiri wake ni upi ikiwa...
  14. KING MIDAS

    Mwamposa ni mkweli sana, Mungu hatumii hela ndio maana account zote za sadaka ziko kwa jina la Mwamposa

    Niko ugenini, usiku nikakaribishwa chakula cha jioni, wenyeji wangu ni watu wa imani kali, tukiwa tunaendelea na kula huku tukitazama tv ya Mwamposa akawa anasisitiza na kuhimiza watu watoe sadaka. Akaorodhesha namba nyingi sana za voda, tigo, airtel, halotel, na mabenki mbalimbali. Accounts...
  15. ELI COHEN

    Sasa hivi ni kama wanawake wamepotezea kuunganisha jina lake na la ukoo wa mme wake

    Kuna wakati ulipokuwa unakuwa hata ukiona kadi ambayo mama yako bi amealikwa mahala binfasi bila baba unaiona imeandika "mrs grace mboma" (mfano). Hilo mboma ni jina la baba yako. Sasa sijui ni imeshakuwa old-fashioned au ndio hio feminism imeshagonga hodi.😂
  16. figganigga

    TANZIA Mbunifu wa jina la Tanzania, Mohammed Iqbal Dar afariki Dunia nchini Uingereza

    Mohamed Iqbal Dar amefariki Dunia huko Birmingham Uingereza. Atakumbukwa Kwa mafanikio ya kuchagua jina jipya la jamhuri ya muungano wa tanganyika na zanzibar yaani. "Jamhuri ya Tanzania" wakati wa mashindano ya kitaifa siku ya 19 Nov 1964 Wizara ya habari na utalii Tanzania ilitambua mchango...
  17. LIKUD

    Maana ya jina Tanganyika: ( Likud Observation)

    Hata Nyerere aliwahi kusema hajui nini maana ya jina Tanganyika. But as for me, baada ya kutafakari kwa kina nimejidhirisha kwamba ifuatayo ndio maana halisi ya jina " Tanganyika" . Tanganyika means = The first Land ama nchi ya kwanza/ . How and why? Tanga = A kwanza/ Alie tangulia. Una...
  18. Fbn

    Kwanini biashara kubwa ikifika level VAT kodi inapokuwa kubwa uzifunga au ubadilisha leseni na jina la kampuni au biashara.

    Ili swala sio geni kusikia kampuni au biashara nyingi zikipitia ili,Hapa nimeweza kuwapa sababu kuu zinazowafanya wafanyabiashara kufunga biashara zao au kubadilisha jina na leseni ya kampuni mara wanapofikia kiwango cha kulipa VAT ni pamoja na: 1. Mzigo Mkubwa wa Kodi • Kodi ya VAT ni...
  19. Kalpana

    Haya andika jina lako la hapa jukwaani kwa Kijapan

    Tunaanza na mimi MEKATANOKATOKA Haya twende kazi....lazima tukutane na matusi...
  20. R

    Bado tupo utumwani? kwanini tunasita kubadili jina la jiji kubwa zaidi Afrika mashariki

    Tukiangalia majina karibia yote ya mikoa yana asili ya hapa kwetu iweje jiji kubwa nchini na Africa Mashariki tubaki kungangania jina la kikoloni lenye historia ya kitumwa ? Jina la jiji kubwa zaidi Afrika Mashariki "Dar Es Salaam" lilipewa na Sultani Majid bin Said Kabla ya hapo, eneo hilo...
Back
Top Bottom