jina

Jina (Zina) is an Afroasiatic language of Cameroon. The Muxule variety may be a distinct language.

View More On Wikipedia.org
  1. al-baajun

    JamiiForums Tanzania jina Lako Linaweza Kufunga Maisha Yako? (Siri Ya Majina na Uzito Wake)

    Katika tamaduni nyingi za Afrika hasa za Kiswahili jina la mtu halikuchaguliwa tu kwa kupendeza au heshima ya familia. Jina lilizingatia: Asili ya neno hilo (kama lina mizizi ya vita, huzuni, roho, au baraka) Nguvu ya herufi za jina hilo kwa mujibu wa maandiko ya kale (kama Shams al-Ma’arif)...
  2. Kizibo

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba kujua jina la huu wimbo

    https://www.instagram.com/reel/DKXY9NGtTdT/?igsh=YzljYTk1ODg3Zg== Samahani wakuu, Kwa anayejua lina la huu wimbo naomba anisaidie ili nikaupakue. Natanguliza shukrani
  3. E

    JamiiForums Tanzania Maana ya Jina la Kichaga 'Monoruwa' – Msaada Tafadhali!"**

    "Maana ya Jina la Kichaga 'Monoruwa' – Msaada Tafadhali!" "Habari zenu wana jamii! Nina swali kuhusu jina la Kichaga 'Monoruwa'. Naomba mwenye ujuzi wa lugha ya Kichaga au historia ya majina ya Wachagga anisaidie kunielezea maana yake.
  4. Bueno

    JamiiForums Tanzania Sio "Kwa Majina" ila ni "Kwa Jina"

    Unajua kuna wasomi wamesoma mpaka Masters PhD ila cha kushangaza mtu huyu anapoambiwa jitambulishe anaanza kwa kusema "kwa majina ninaitwa........" kaka na dada zangu sio kwa "kwa majina" ila unapojitambulisha kwa Kiswahili sahihi unatakiwa useme "kwa jina ninaitwa......" kisha unataja jina lako...
  5. LIKUD

    JamiiForums Tanzania What names sound " Too Old" For a baby? ( Jina gani linaonekana la kizee sana kwa mtoto)?

    Naanza la kwanza 👇👇👇 1.Mussa 2..... 1000..
  6. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Kwa wabunge wote kabla ya kuelekea majimboni mnakumbushwa kuja kuoga dawa kuondoa nuksi na kukatwa jina mwezi huu ni mgumu sana sana

    Mimi kama mganguzi napenda tu kuweka mambo sawa! Mwezi huu ndio utakutana na wagonjwa wengi wenye sukari na presha ! Mwezi wa kujidhalilisha ndio huu ! Na Mimi Sasa nimefungua dirisha kuanzia Leo kutakuwa na huduma ya kuoga dawa kabla hujarudi jimboni na hujakutana na wajumbe wenye roho mbaya...
  7. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Mkeka wa mwisho wa mama umetoka bila jina la Mayalla, Msigwa na Lucas Mwashamba. Je hao chawa hawaaminiki?

    kKwenye dakika za jioni kabisa, mkeka wa mama umetoka bila majina ya chawa maarufu kupenya. Nimepitia ule mkeka zaidi ya mara tatu lakini sijaona jina la Pasco Mayalla, Mchungaji Peter Msigwa na Lucas Mwashamba. Sitaki kuamini kama mama hana taarifa zao, sijui inakuwaje watu wengine wa ajabu...
  8. marcoveratti

    JamiiForums Tanzania KWA NINI UTUMIE HUDUMA YA BULK SMS YENYE JINA La BIASHARA (Sender ID)?

    Katika dunia ya kisasa ya biashara na mawasiliano, kufikia wateja kwa haraka, kwa ufanisi, na kwa gharama nafuu ni jambo la msingi. Huduma ya kutuma ujumbe kwa pamoja (Bulk SMS) kwa kutumia jina la biashara yako (Sender ID) ni suluhisho bora kwa wafanyabiashara, taasisi, na mashirika...
  9. Setfree

    JamiiForums Tanzania Shetani tunakukemea kwa Jina la Yesu: Waachie watu uliowateka

    Shetani amewatekaje watu? 1. Ni kwa kupitia vita vinavyoendelea kati ya Israel na Iran. Shetani ameutumia mgogoro uliopo katika nchi hizo kuwashawishi watu wachukiane, na wamemtii. Matokeo yake sasa kuna chuki kati ya mataifa, dini na watu binafsi. Watu wanawaza kulipizana kisasi. 2...
  10. Cainan

    JamiiForums Tanzania Namba ya Kufanya namba yako ikipiga iwe Ina Display jina la Biashara kwenye SIM

    Habari wakuu, Kuna kitu kimoja ningependa kuwauliza wataalam wa JF , Hivi ni huduma Gani ambayo inawezesha ku display jina la biashara Kila unapopiga namba ya sim yako , Kuna watu kadhaa nimeona wakinipigia jina linakuna la biashara linakuja automatically kwenye phone app , sasa nauliza ni...
  11. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye Askofu Josephat Mathias Gwajima (Jasusi la Mbinguni)

    Jina: Josephat Mathias Gwajima Tarehe ya Kuzaliwa: 19 Desemba 1970 Mahali alipozaliwa: Kabale (Koromije), Wilaya ya Misungwi, Mkoa wa Mwanza Uraia: Mtanzania Hali ya Ndoa: Ameoa Grace Gwajima Watoto: Watatu Lugha: Kiswahili, Kiingereza Elimu 1979–1985 – Kabale Primary School, Mwanza – Elimu...
  12. mtetezi wa MAGU

    JamiiForums Tanzania Wakati wa Ujenzi wake lilipewa jina lake, Leo Uzinduzi wake lisipopewa jina lake ujue ni hatua zakumdogosha

    Leo tarehe 19/6/2025 inafanyika uzinduzi mkubwa Wa Kihistoria,Hapo awali ilionekana kama jambo haliwezekani lakini kwa juhudi zake lilianza na hatimae leo linazinduliwa, wakati wa mchakato wa ujenzi wake lilijulikana kwa jina lake, lakini Wiki chache kabla ya uzinduzi wake Tumesikia halitajwi...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Wallace Karia ondoa jina, Sauti za wengi ni ufunuo tosha.

    Busara ya kawaida kabisa inakuelekeza upumzike sasa...uachie kijiti mtu mwingine nae aendeleze pale ulipotufikisha..huko ndiko kustaarabika. Kwann usubiri kuondolewa kwa kuaibika kama wazee wenzio akina kasongo? Kwanini usimuige Leodigar Tenga aliyeondoka hapo Tff kwa heshima. Au kwasab unajua...
  14. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Kupakua Video Youtube ni Kinyume cha Sheria. Askari aliyefanya hivyo ashtakiwe kwa jina lake

    Youtube wanaruhusu kusave video kwa watumiaji wanaotumia simu na unasave na kutazama kwenye kifaa hichohicho ulichotumia kuhifadhi. Wanafanya hivyo ili kulinda haki za waandaa maudhui. Pia Youtube inamtambua mtu yeyote atakayetumia njia nyingine kupakua video za mtandao huo kuwa ni JANGILI na ni...
  15. kavulata

    JamiiForums Tanzania Mbona Peter Kibatala anahangaika kujua jina la mbwa badala ya mbwa mwenyewe aliyewàuma watu?

    Hoja ya Wakili msomi Peter Kibatala kuwa jina la kanisa kwenye barua liyotumika kulifunga kanisa la Gwajima ni tofauti na jina la kanisa la Gwajima lililopo kwenye usajili, hivyo kulifunga kanisa la Gwajima ni makosa, Hoja kama hii ni nyepesi sana kwa mtu ambae anafahamika (raia, mbunge na...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Je, ubatizo kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu ni sahihi?

    Nilichotaka kuandika kimeelezwa kwa urefu kwenye video hapo chini. Karibuni tujadili. Kuna app ya kutafsiri video kwa lugha nyingine nikiipata nitaiweka humu kuwasaidia wale ambao Kiingereza si rafiki. Video: https://youtu.be/JAydJoa2fLg?si=WpVmO1qU-TAjXEXp
  17. Magical power

    JamiiForums Tanzania Yeyote anayekupangia mabaya hayatakushika kwa Jina la Baba

    Yeyote anayekupangia mabaya hayatakushika kwa Jina la Baba
  18. C

    JamiiForums Tanzania Kama bodi ya ligi wanaficha jina la kiingozi aliyepiga simu kuzuia Simba wasifunguliwe geti,basi hawafai kuwepo kazini

    Kama kuna ujinga wa kiwango cha juu,ni pale unapolazimika kubeba madhambi ya mtu mmoja ambaye ametumia nafasi yake kufanya uhuni kwenye soka ambalo watu wamewekeza mabilioni ya kutosha. Unaacha kumtaja ili ulinde hadhi yako wakati yeye yupo na anaendelea kuwasapoti wanaosema hatuchezi!Huu ni...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Nisajili Nini Kati ya Kampuni na Jina la Biashara?

    Hili ni swali nililoulizwa na dada anaitwa "Lahey" juzi majira ya Saa 10:45 hivi jioni. Actually hii ni mara ya 17 naulizwa hili swali ndani ya miezi miwili. Na jibu langu hua ni moja tuu kila ninapoulizwa hili swali. "Sajili Kampuni" Hua Nina sababu kadha wa kadha ambazo hua Zinafanya nitoe...
  20. FYATU

    JamiiForums Tanzania Neno au jina "tapeli" lilitokea wapi?

    Bila shaka wengi wetu tunalifahamu na kulitumia neno/jina hili.Tupo tunaoamini kuwa neno hili lilichomoza tu na kupokelewa na jamii, na halikuwa neno/jina rasmi kabla kama ilivyo kwa baadhi ya maneno mengine.Tupo tunaoamini kuwa neno hili lililetwa na Vijana Jazz/Hemed Maneti kupitia wimbo wa...
Back
Top Bottom