jina

Jina (Zina) is an Afroasiatic language of Cameroon. The Muxule variety may be a distinct language.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Lugha gongano TFF(shirikisho la mpira) wabadili jina, watu wanawachanganya na TFF waasi, huko mitandaoni, kichekesho

    Katika pita ZANGU mitandaoni, nikakuta HABARI ya TFF WAASI kuhusika na mambo ya mauaji, Sasa kilicho niacha hoi ni comments za waja. HABARI inasema, kiongozi wa kikosi cha TFF waasi adai kuhusika na mauaji mbeya, MTU ana comment hivi, 1. Heee, Walace karia NAE ana kikosi KAZI, hi Isha kuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Waswahili wanaousifia uwanja wa Amani Zanzibar kwa jina la Guantanamo bay ni maamuma wa historia na haziwatoshi

    Guantanamo bay ambacho ni kituo cha jeshi la Marekani katika ardhi ya Cuba pwani kilijipatia umaarafu sana baada ya vita vya ugaidi kuanzia mwaka 2001. Hapo Guantanamo bay ndipo walipokuwa wanashikiliwa kama mahabusu watu waliokamatwa na vyombo vya US kutoka nchi nyingine wakituhumiwa kama...
  3. JamiiForums Tanzania Walokole, tangu muanze kumkanyaga Shetani kwa jina la Yesu mmefikia wapi?

    Awali ya yote Lissu sio Muhaini. Ibada za walokole zimejaa utapeli wa kila aina. Utasikia wanasema shetani ushindwe na ulegee. Mara waseme fire fireeee,kumkanyaga sio kumkanyaga. Waliwahi kufuga mlimani kwa siku tatu usiku kucha tunasikia tunamkanyaga shetani wengine wanamteketeza shetani...
  4. JamiiForums Tanzania Anayejua wimbo huu jina lake naomba please

    ni kawimbo kazuri naomba jina na mtuunzi A
  5. JamiiForums Tanzania Nguli wa Bayern Munich, Franck Ribéry, ametajwa katika nyaraka za Epstein

    Wizara ya Sheria ya Marekani (DOJ) imetoa mamilioni ya nyaraka zinazohusiana na kesi ya Jeffrey Epstein, zikiwa na majina ya watu mbalimbali wakiwemo watu mashuhuri, wafanyabiashara wakubwa na maofisa waandamizi wa serikali. Nyaraka hizo ni sehemu ya uchunguzi mpana unaohusiana na Epstein...
  6. JamiiForums Tanzania Umewahi kujiuliza kwanini Coca Cola inaitwa jina hilo?

    Coca-Cola ni moja ya kampuni maarufu duniani, ambayo hutengenezwa soda maarufu ya Coke na vinywaji vingine vya soda. Lakini, ilikuwaje hadi ikawa na jina hilo? Labda umewahi kusikia kwamba Coca-Cola wakati mmoja ilikuwa na kiungo cha kusisimua ambacho kiliwafanya wateja kulipenda sana. Hii ni...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kiroho; Simba na Yanga haziwezi tena kufanya vizuri kwa jina la Tanzania, nchi ina laana

    Tangu tarehe 29.10.2025 ,Tanzania ilipata doa ,nchi ilichafuka ,Taifa limelaaniwa. Hatuwezi kupata chochote kama Taifa tuka toboa .Iwe mpira, muziki ,biashara na uwekezaji . Tunahitaji toba ya kweli kutoka hapa. Simba na YANGA mwambieni Rais wenu aombe toba Kwa Mungu
  8. JamiiForums Tanzania Ukiacha OUT, Kwanini hatuna chuo kinachobeba jina la nchi?

    Akili za baada ya kushiba: UDOM au UDSM kimoja wapo kibadilishwe jina kuwa University of Tanganyika au University of Tanzania. 🥱🥱😌😌
  9. JamiiForums Tanzania Hakuna cha kurithi zaidi ya jina la ukoo

    Unazaliwa, unaambiwa ujivunie ukoo wako. Unafundishwa historia ya babu zako, ukoo uliotoka, na majina makubwa ya familia. Lakini kadri unavyokua, unaanza kuuliza swali gumu: Mbali na jina, kuna nini kingine? Kwa familia nyingi, hakuna ardhi. Hakuna nyumba. Hakuna biashara. Hakuna akiba. Hakuna...
  10. JamiiForums Tanzania Hivi Kuna app ambayo mtu akiwa na namba Yako anaweza kujua jina lako

    Wakuu. Teknolojia inazidi kukua Kila kunapokucha Kama ilivyo kwa Whatsapp mtu akiwa na namba Yako anaweza kuona picha Yako Je Kuna app ambayo mtu akiwa na namba Yako inaweza kumletea jina lako au hata akaunti zako za mitandao ya kijamii Nauliza hivyo kwa sababu Leo mchana Kuna mwanadada...
  11. JamiiForums Tanzania Pendekezo: Siku Samia Suluhu akifa, tufute Majina yake kwenye Miradi yote ya Serikali

    Kwa yaliyotokea 29 Oktoba 2025, ni laana kwa Nchi. Jina lake libaki kwenye Misikiti alojenga pekee. Kwenye Utawala wake aliruhusu Watanzania kuuana wao kwa wao ili yeye asalie madarakani.. Katiba akaiita kijitabu.. Kijitabu akakitumia kuapa asalie madarakani bila ya kuchaguliwa na yoyote...
  12. JamiiForums Tanzania Nichagulieni jina la kiafrika la kitanzania la kitamaduni lililokaa kipesa pesa kitajiri tajiri

    Kuna thread flan nmeisoma hapa kuhusu matajiri haswa Kanda ya ziwa huko, majina yao ni ya kitamaduni tamaduni flani na ya kiafrika sio Wala ya kizungu Embu nichagulieni Moja na Mimi,.. Embu ona majina yao, OTAWA, SAULI, LUGUMI, Kuna yule mwamba wa mwanza bilionea yule..nimemsahau jina ., mzee...
  13. I

    JamiiForums Tanzania Jina hilo hilo. Kwa nini?

    Hamjambo wana MMU. Kuna hiki kitu kimenifikirisha. Wewe unayesoma inategemea tafsiri yako huenda ukaona halina maana yoyote lakini huenda kuna mtu anaweza kunipa picha kubwa zaidi ya ninavyofikiri. Chukua jina la Mkeo, labda tuseme Loveness. Mnafunga ndoa, mnaishi, mnazinguana ila mnaishi hivyo...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kwa jina la Yesu: Huku ndiko ukristo unakoipeleka dunia

    Kwa sasa huku ndiko dunia inakopelekwa Na wanataka tuone ni kawaida, ukihoji unaambiwa wewe ni siasa kali Huu ushenzi unaingia Afrika na Tanzania kwa kasi sana https://www.bbc.com/swahili/articles/c20qg1qevp6o
  15. JamiiForums Tanzania Diploma jina la kwenye Deed poll degree limevutwa la form 4.

    Majina ya form 4 mfano (John M. Doe), lakini yakabadilishwa na deedpoll yakawa John Doe Michael (Notice M imekuja mwisho na kuwa kwa kirefu). Na ndio Jina lililopo kwenye Cheti Diploma na Kwenye Ajira serikalini. Nimeenda kujiendeleza Degree, muda wa registration wajina yakavutwa ya form 4...
  16. JamiiForums Tanzania Nawashauri CCM wabadili jina la chama chao

    Hili neno MAPINDUZI linawapa sana joto chama cha mapinduzi. Kwao kuliitumia ni sawa. Wengine kulitumia ni kiashiria cha uhaini. Mnaonaje mbadili jina la chama chenu ili neno hilo liweze kuharamishwa? So far kwa kuwa mnalitumia, wacheni na wengine wajinasibishe nalo. Bahati nzuri hawajalitamka...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Lipia Annual maintenance Fee ili jina la biashara yako lisifungwe BRELA

    Hellow mjasiriamali Kama ujisajili jina la biashara brela Kuna kitu kinaitwa annual maintenance Fee, ngoja nikwambie hapa. Brela wanakuhitaji wewe ulipie annual maintenance fee ya jina la biashara Yako kuli-keep active. Hii fee inalipwa mara Moja kwa mwaka na ni Tsh. 5000 Ngoja nikuoneshe...
  18. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Baba Levo awakabidhi pikipiki vijana waliojiandika jina lake kwa rangi wakati wa kampeni

    Mbunge wa Kigoma Mjini Clayton Chipando Maarufu Baba Levo ametimiza ahadi yake ya kuwakabidhi pikipiki vijana wawili waliojitolea kumsaidia kwenye kampeni kwa kujipaka rangi kama ishara ya sapoti. Ahadi hiyo imetekelezwa rasmi jana wakati wa Mkutano wake wa Shukrani, ambapo vijana hao walipokea...
  19. JamiiForums Tanzania Nilikuwa naona china ila kwa serilikari inwaweza kuwa watumizi wakubwa sijajua jina lake ila mikusanyiko ya siku kuwa wanakubari serikali sio kupinga.

    Kuna kikundi unaweza kusema kina watu wengi ila kinawatu wachache sana ambao ukitaka kujua wanshindwa kurudisha majibu pale ukiwajibu hakuna respond kukuonesha huyu account ni mtumiaji . Hii inafanywa kwenye mitandao ya kijamii pale watawalawa wachafu utashangaa wakikanusha unaona like nyingi...
  20. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wizara ya Afya yazidi kuuthibitishia ulimwengu kuhusu Serikali ya Samia kuficha ukweli wa Mauaji ya kutisha yaliyofanywa kipindi cha Uchaguzi

    Anguko Kuu la CCM na Serikali yake halitotokana na jambo lingine lolote lile zaidi ya kukosa akili. Kukosa kwao akili ndo kumesababisha wawapuuze Wananchi na madai yao ya ukweli kisha kukimbilia kuwateka, kuwaua na kuwapoteza hali iliyopelekea hasira za Wananchi kupanda na kufikia kikomo na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…