jina

Jina (Zina) is an Afroasiatic language of Cameroon. The Muxule variety may be a distinct language.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa mwenye kujua asili ya Jina Rambau

    Wakuu naomba kuuliza kwa mwenye ufahamu wa asili ya jina Rambau. Watu wenye majina Rambau wanatoka mkoa gani hapa Tanzania na ni kabila gani ? Shukrani.
  2. P

    JamiiForums Tanzania Wabunge19 Viti Maalum wanaojitambulisha kwa jina la CHADEMA washitakiwe

    Uongozi wa CHADEMA. Ni miezi 8 sasa tangu Wabunge wa Viti Maalum 19 kuwa Wabunge kwa mwavuli wa CHADEMA. Lawama nyingi zimekuwa zikielekezwa CHADEMA. Naomba mtafute wanasheria wazuri wafungue mashitaka kwaniaba ya taasisi ya CHADEMA, sio tatizo wakishirikishwa Wananchi kuchangia kwa ajili ya...
  3. JamiiForums Tanzania Nafikiri kubadili jina; nitawavunjia heshima wazazi nikifanya hivyo?

    Salamu kwenu, Hivi wakuu itakuwa nawavunjia heshima wazazi nikiamua kubadili jina? Mzee alikwishaga tangulia mbele za haki, kabaki mama tu. Kipindi cha zamani hata wakati baba yupo mama aliwahi nigusia kuwa jina nililopewa yeye wala alikuwa hakilipenda ila ni vile mzee alishalipangaga hata...
  4. JamiiForums Tanzania Asante sana Kipa Metacha Mnata kwa 'Kuibatiza' Yanga SC yako Jina jipya na zuri la 'Mindole FC' mjini kwa sasa

    Klabu ya Simba SC ilipokuwa ikicheza Mechi zake huku 'Paka' wakionekana Uwanjani ghafla 'ikabatizwa' Paka FC hivyo sasa tunaenda sawa baada ya Kipa Metacha Mnata wa Yanga SC kuitafutia Yanga SC yake jina jipya la 'Mindole FC' hapa Mjini. Kwa sasa Mtu yoyote tu wa Yanga SC akituita Simba SC...
  5. JamiiForums Tanzania FUMBO: Nawasalimu kwa jina la Tz

    Fumbo mfumbie mjinga, mwelevu _____. Tuitike "Kazi iendelee" wanabodi kazi ipi na ya wakati gani?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari kati ya aina ya corola (toleo lolote zile old model)

    Natafuta gari kati ya aina ya corola (toleo lolote zile old model), toyota duet, carina old model, vitz zile za zamani au aina yoyote ile namba A, B au C itakayokua ya bei rahisi (3-2 mil), kwa mwenye nayo na akikubali malipo kidogo kidogo tuwasiliane 0688066177
  7. JamiiForums Tanzania Meghan na Harry wamebahatika kupata mtoto wa pili ni binti amepewa jina Elizabeth Diana

    Meghan amejifungua salama mtoto wa kike aliyepewa jina Lilibet Diana Winsor.
  8. JamiiForums Tanzania AliKiba amdiss Diamond Platnumz kuhusu utajiri na Forbes: Wadau wasema Sadala ni kiki ya album yake mpya

    Akielekea kuachia album yake mpya msanii wa kitambo Ali Saleh Gentamilan au Ali Kiba, amemdiss Mfalme wa Afro Pop duniani Diamond Platnumz. Lakini wadau wameusisha diss yake na promotion ya album yake mpya.
  9. JamiiForums Tanzania Gazeti la Majira ongezeni umakini. Ni Samia na sio samia. Jina la Rais lianze kwa herufi kubwa

    Muda mwingine wahariri wanajitafutia matatizo na kulazimika kuomba radhi. Waheshimu sana utambulisha wa mtu, nchi au Taasisi. Naomba kuwasilisha
  10. JamiiForums Tanzania Total yabadili jina sasa kuitwa TotalEnergies

    Wanabodi, Kampuni ya Total, ambayo ndio kampuni kubwa ya Mafuta kwa nchi za Afrika Mashariki na ya 5 duniani, imebadili jina kutoka Total, na kuwa TotalEnergies. Wewe kama mwana JF, be the first to know!. Paskali.
  11. JamiiForums Tanzania Mkoa wa Geita ubadilishwe jina na kuitwa "Magufuli" kisha makao makuu yawe wilaya ya "Chato" mwaka 2031

    Good evening jamiiforums. Ndugu zangu, leo nilienda kumtembelea dada yangu mmoja (mtoto wa mama mkubwa) ameolewa eneo la Pugu huku Dar. Sasa wakati tupo tunakula mezani ule muda wa mchana, mtoto wake wa kiume (Uncle wangu) yupo kidato cha pili akaniuliza hivi; Kwanini mkoa wa Geita...
  12. JamiiForums Tanzania Kiwanda Kipya cha Drone Mpya kwa jina la Gaza Chalipuka

    Ule Mlipuko uliotokea Nchini Iran wiki iliyopita imefahamika ni kiwanda cha Drone mpya za Iran zilizopewa jina la ''GAZA'' kazi ambayo ni copy ya Drone ya Marekani na Drone ya Israel kwa Pamoja... Mlipuko ambao uliwajeruhi karibu watu tisa kiwandani hapo. Kiwanda hicho kinatengeneza vifaa vya...
  13. I

    JamiiForums Tanzania Natakiwa kusajili jina la biashara au kampuni?

    Habari wadau, Mimi ni Mtanzania ambaye nimeshaandaa mpango wa kuanzisha biashara yangu binafsi. Biashara yangu itakua inategemea na mzunguko wa hela kutoka kwa watu ambao wataamua kuungana nami. Je, natakiwa nisajili jina la biashara au kampuni ili niweze kuanzisha biashara yangu bila kupata...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Nani aliasisi jina "Mwendazake"

    Mtanzania aliyeasisi hili jina je alikuwa na maana gani? Linapotajwa jina hili je ni kwa nia iliyo njema au vinginevyo? Kama aliyelianzisha jina hili yupo humu hebu atueleze alikuwa na maana gani?
  15. JamiiForums Tanzania Askofu Mpemba amchana Spika Ndugai na wabunge 19 waliobatizwa jina la "COVID-19"; Wamevunja Katiba, warudishe fedha

    Mtazame na msikilize mwenyewe kisha tunaweza kusema na kujadiliana. Huu ukosoaji enzi za Mwendazake John Pombe, ilikuwa hatari na pengine angeweza kunyang'anywa uhai bila kupenda. Pengine pia, tunaweza kuamini zile tetesi za kuwa kuna zengwe linasukwa chini chini ili atemeshwe U-Spika kabla...
  16. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuiendesha biashara yako kisheria na kuiongezea thamani

    Je, kwa muda mrefu unasumbuka namna bora ya kuiendesha biashara yako kisheria na kuiongezea thamani biashara yako? Kama ndio basi nina jambo jema kwaajili yako. Biashara yoyote ili itambulike kisheria lazima iwe na vibali vyote vitakavyo muwezesha kufanya biashara yake. 1. TIN ya biashara 2...
  17. JamiiForums Tanzania Ni vipi mtu anaweza kujua jina la mmiliki wa gari kupitia plate number?

    Hello JF, Naomba kujua ni kwa namna gani naweza kumtambua mmiliki wa chombo cha usafiri hususani gari bila purukushani za kwenda polisi. Je, inawezekana kupata taarifa online? Majina, namba za simu?
  18. L

    JamiiForums Tanzania Mafundi naomba jina na bei ya hili

    Naomba kujua jina lake na linauzwaje
  19. J

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona Soko la mbogamboga linaitwa jina la kiongozi mkubwa hapa duniani isipokuwa Dodoma

    Hata sielewi mwendazake Magufuli alifikiria nini? Maana yeye mwenyewe mwendazake Magufuli alipoombwa soko la mbogamboga la Morogoro liitwe jina lake akagoma kabisa akasema apewe chifu Kingalu Kimsingi sokoni ni pahala pa mambo ya kienyeji enyeji ukiona kiongizi mkubwa jina lake linabatizwa...
  20. Q

    JamiiForums Tanzania Waziri Jafo apendekeza Stendi mpya ya Mbezi ipewe jina la Dkt. John Magufuli

    Waziri wa TAMISEMI, Selemani Jafo, amesema kutokana na stendi mpya ya mabasi ya Mbezi Luis kuwa na hadhi ya kimataifa, anapendekeza ipewe jina la Dkt. John Magufuli kama sehemu ya shukrani na kuthamini jitihada alizofanya, ambapo amesema atamuomba Rais aridhie ombi hilo. ============ Waziri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…