Nani aliasisi jina "Mwendazake"

NewPage

JF-Expert Member
Mar 22, 2021
1,281
2,020
Mtanzania aliyeasisi hili jina je alikuwa na maana gani? Linapotajwa jina hili je ni kwa nia iliyo njema au vinginevyo? Kama aliyelianzisha jina hili yupo humu hebu atueleze alikuwa na maana gani?
 
Hilo Jina hutumika nchini Kenya wao badala ya Marehemu au Hayati wanatumia Mwendazake
Na huku kweli limepata umaarufu kwakuwa stesheni nyingi za Kenya, zilikuwa zinafuatilia na kutangaza sana msiba wa Hayati Magufuli na walikuwa hawasemi Hayati ila Mwendazake.

Ila bado sijajua nini tofauti ya Marehemu na Hayati, Maana Uhuru Kenyatta pale Dodoma alisema "Marehemu Hayati John Pombe Magufuli"
 
Kwa mujibu wa wakenya,

HAYATI: A dead person who's left behind alot of wealth/ assets.
MAREHEMU: Is a dead person who has left lots of bills and is also listed by the CRB for loan defaulting.
MWENDAZAKE: This one, there's little to write about him. Alizaliwa, aka zururazurura aka gongwa na gari aka akafa.
 
Back
Top Bottom