jina

Jina (Zina) is an Afroasiatic language of Cameroon. The Muxule variety may be a distinct language.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Chanzo cha Sean Paul kutumia jina hilo kisanii kimetokana na jina la Mchezaji wa Kriketi, Shivnarine Chanderpaul

    Msanii wa Jamaica ambaye jina lake halisi ni Sean Paul Ryan Francis Henriques (49) anatumia Sean Paul kuwa ndio jina lake la Kisanii lakini nyuma ya pazi ni kuwa chanzo cha kutumia jina hilo ni kuvutiwa na Mchezaji wa Kriketi Shivnarine Chanderpaul raia wa Trinidad. Sean Paul amewahi kusema...
  2. JamiiForums Tanzania Nini utafanya mke wako akimpa jina la ex wake mtoto wenu?

    Habari wa JF. Hiki kisa ni cha kweli kilitokea huko Ulaya au USA nafikili. Walikuwa mke na mume na mtoto wao wa kiume. Siku moja walitoa kwenda shopping yeye na mkewe. Walipofika wakakutana na rafiki ya mke wake, mke wake akamwambia rafiki yake kuwa nina mtoto wa kiume, rafiki nae akamuuliza...
  3. JamiiForums Tanzania Wilaya ya Rorya yaanzisha Program ya kufuata Wananchi, yapewa jina la 'POPOTE TUNAKUFIKIA'

    Wilaya ya Rorya imeanzisha program ya kuwafikia Wananchi Vijijini inayoitwa 'POPOTE TUNAKUFIKIA' ambayo imelenga kusogeza huduma karibu na Wananchi ambao hutembea umbali mrefu kufata huduma. Mkuu wa Wilaya ya Rorya, Juma Chikoka amesisita wataendelea kutekeleza maagizo ya Rais wa Jamhuri ya...
  4. JamiiForums Tanzania Jina la sasa la Twitter" X" lina utata sana

    Toka billionaire Musk auchukue mtandao wa Twitter kuna mabadiliko kadha wa kadha amefanya. Moja ya mabadiliko hayo ni kutoka kuitwa Twitter mpaka kuitwa "X". Hili jina limekuwa na ukakasi mwingi sana hasa katika kulitumia kutambulisha mtandao unaotumia hata kufungua app yake katika kundi la...
  5. JamiiForums Tanzania Mwaisa nimerejea sasa, baada ya kuwa uhamishoni kwa muda. Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Habari ndugu wanaJF Poleni kwa majukumu, niliwamisi Sana ndugu zangu nilikuwa uhamishoni kwa muda ila nimerejea salama. Natuma salamu kwa wafiatao sky eclat faiza fox kichwa kichafu mpwayungu mshana Jr To yeye wa stendi na wote wanaosoma Uzi huuu......... UJUMBE TUKUMBUKANE KUPITIA JAMIIFOFUM
  6. JamiiForums Tanzania Media za Kenya na Uganda zinaelezea Fursa za EAC Pamoja AFCON FINALS 2027 za Tanzania zinahoji kwanini jina la Kenya limetangulia!

    Halafu GENTAMYCINE nikiwa Kutwa naidharau Media ya Tanzania mnaona nakosea au siijui jinsi ilivyo rotten Professionally. Hivi kweli kama tayari nchi Tatu za Uganda, Kenya na Tanzania zimefanikiwa kwa pamoja kuandaa Mashindano ya AFCON ya mwaka 2027 kuna haja logically media ya Tanzania kuhoji...
  7. B

    JamiiForums Tanzania TBT: Oktoba 2020 Ukituma meseji yenye Jina la Tundu Lissu ilikuwa haiendi

    Tujikimbushe kidogo zahama zilizotukuta. Sijui kilitokea kirusi gani kwenye jina la Tundu Lissu wakati wa kampeni za Lala Salama ilikuwa ukituma ujumbe mfupi kwenye mitandao ya simu aina zote ujumbe ule ulikuwa haupelekwi hewani au haumfikii mlengwa. Mathalani unachati na rafiki yako kwamba...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Jina la Yesu wanalotumia wahubiri wengi si jina la Yesu wa kweli

    Jina la Yesu Kristo linapotamkwa kutatua jambo kama ugonjwa, mauti, au kutoa pepo hutamkwa mara moja TU na jambo lile likatendeka. Iko mifano mingi kwenye Agano Jipya, mmojawapo ni ule wa Petro kumponya kiwete pale kwenye mlango wa hekalu. Hawa wahubiri wetu wa siku hizi wa kulitaja jina la Yesu...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Walimu na wanafunzi wa Fizikia - Tamkeni vema jina Albert Einstein

    Najua si watu wengi hapa kwetu wamejifunza lugha ya Kijerumani na wala siwalaumu walimu wetu wa Fizikia kwa kutolitamka vema jina la nguli wa hisabati na newtonian mechanics - Albert Einstein. Tafadhalini walimu na wanafunzi tamkeni jina lake hivi: ALBART AINSHTAIN. Kwenye sarufi ( grammar) ya...
  10. JamiiForums Tanzania Jina Dalali limekaa Kitapeli Tapeli

    Aisee hili jina limekaa kitapeli tapeli ndiyo maana madalali wengi wamekaa kitapeli tapeli sababu ya nguvu ya jina lao. Napendekeza waitwe hata Mtu mwema/Watu wema. Hii itasaidia kubadili tabia zao pia Mshana Jr anajua nguvu ya jina.
  11. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu aingia Ngorongoro na kupokelewa kwa kishindo

    Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba , Makamu mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu amewasili Ngorongoro ambako anatarajiwa kuwasha moto wa Ukombozi na kukata minyororo ya Utumwa waliyofungwa Wamasai. Nakala : Maulid Kitenge Angalizo : Usiondoke JF kuna mambo mazito mno yanakuja .
  12. JamiiForums Tanzania India wabadili jina la nchi yao

    Kuna Watanzania wanasema wanapigania nchi ya Tanganyika hususan akina Mwabukusi, Mdude na Slaa. Kumbuka kuwa jina Tanganyika lililetwa na Mkoloni wa Mwingereza mwaka 1920 baada ya kuachana na jina la Mjerumani ambaye alilitambua eneo hili kama Deutsch Ostafrika Leo huko India muswaada...
  13. JamiiForums Tanzania Top list ya watu maarufu duniani wanao julikana kwa jina moja tu (mononymous people)

    A mononymous person is a person who is only known for or famous for only one name. A mononymous person ni mtu anae julikana kwa jina moja tu. Ifuatayo ni orodha ya watu ambao anajulikana kwa jina moja tu (excluding those who use nick names) 1. Jesus 2. Muhammad 3. Ibrahim (or Abraham?)...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya 'Go bet' ni matapeli sana kuweni makini

    Kuna kampuni moja inatumia jina la go bet, Hawa jamaa ni matapeli Sana, wanatumia namba ya kampuni iliyokuwa inatumia na betpawa pamoja na namba ya malipo, namba ya kampuni ni 122122 malipo ni 60124815, ukiweka pesa umeliwa hakuna huduma wanazotoa namba ya simu 0677040553 hawapokei simu na...
  15. JamiiForums Tanzania Kampuni inayomiliki Tigo yabadili jina, sasa ni Honora Tanzania

    Kampuni mpya ya Honora Tanzania imetoa taarifa kwa wadau wake katika biashara kubadili jina kutoka MIC Tanzania kwenda Honora Tanzania. Pamoja na kubadili jina la kampuni, Honora wataendelea kutumia 'Brand name' ya Tigo na huduma zote zitabaki kama zilivyo. Honora Holdings Limited imesajiliwa...
  16. JamiiForums Tanzania Huu ni muda muafaka sasa wa kubadili jina la Wasafi Classic Baby (WCB)

    Nadhani huu ni muda muafaka sasa wa kubadili jina la Wasafi Classic Baby (WCB) ibaki tu Wasafi Classic au Wasafi Classic Family. Kwa ukubwa alionao Diamond Platnumz kimuziki na kimafanikio sidhani kama ni sahihi yeye kuendelea kutumia neno "Baby" kama swagga fulani hizi za kinyamwezi . Hilo...
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini Jina la DGIS wa sasa halikaririki na linahaulika upesi Kichwani tofauti na ilivyokuwa kwa Watangulizi Modestus na Diwani?

    Yaani kila nikijitahidi Kulikariri nashindwa na hata nikilijua tu ndani ya muda mfupi nalisahau tofauti na ilivyokuwa kwa Watangulizi wake Yule Mluguru ( Morogoro ) Tumbo Tumbo na Mpare ( Kilimanjaro ) Msomi na Mmedani Jeuri. Je, na nyie Wenzangu mmeshindwa Kumkariri Jina lake na huwa...
  18. JamiiForums Tanzania Hivi Ulaya kuna utaratibu wa kuulizwa jina la balozi wa mtaa/mtendaji kata, diwani au mbunge ili kuthibitisha kama ni mkazi wa sehemu husika?

    Nikiwa narudi zangu ghetto imebidi nipite shortcut bahati mbaya nimekosea njia nakujikuta napita njia ya kwenda uhani kwa mtu sio mzuri kwenye vichochoro vya mjini sasa wahusika wakaanza kuwa na mashaka na mimi. Wakaniweka mtu kati nakuanza kuniuliza maswali with confidence nikawaelezea kuwa...
  19. JamiiForums Tanzania Je, umemsave vipi kwenye simu mwenzi/mpenzi wako?

    Najaribu kuwaza nakosa majibu sahihi, ni kitu gani kinapeleka wanaume kusave wanawake zao majina ya kiume kwenye simu na wanawake pia halikadhalika. Kwani hata kama mnachepukiana si usave jina lake tu halisi badala ya kuweka majina maalum ya kuonesha uhusiano wenu? kama babe, honey, sweetiee...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wajuzi wa mambo ya Dini, andika jina la Mtume na nchi aliyozaliwa

    Nimekuja na hii maada ili watu wapate kujua historia ya Mitume wa Mwenyezi Mungu, inchi walizozaliwa na walikuwa wangapi, Hapa tunazungumzia Mitume wa Mwenyezi Mungu, siyo wanafunzi wa mitume,Mtume ni yule aliyechaguliwa na Mungu peke, ambaye hata riziki yake anayokula hutoka kwa Mungu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…