Huu ni muda muafaka sasa wa kubadili jina la Wasafi Classic Baby (WCB)

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
17,463
21,185
Nadhani huu ni muda muafaka sasa wa kubadili jina la Wasafi Classic Baby (WCB) ibaki tu Wasafi Classic au Wasafi Classic Family.

Kwa ukubwa alionao Diamond Platnumz kimuziki na kimafanikio sidhani kama ni sahihi yeye kuendelea kutumia neno "Baby" kama swagga fulani hizi za kinyamwezi . Hilo neno baby awaachie ma under ground yeye alipofikia aachane na hilo neno.

Kuita Wasafi Classic inatosha kabisa hilo neno baby kwa kweli kwa sasa aachane nalo kabisa.
 
zamani hii kumbe ilikuwa CRDB BABY

Angalia vizuri hapa utaona nnachomaanisha.

Screenshot_2023-08-20-19-09-12-32_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
 
Wee kumbe ndio najua leo kirefu cha wcb asee nilikuwa sijui kabisa kumbe mwishon ni beibi ooh asantee dj tuletee ngoma ya konde boy "matatizo"
 
Nadhani huu ni muda muafaka sasa wa kubadili jina la Wasafi Classic Baby (WCB) ibaki tu Wasafi Classic au Wasafi Classic Family.

Kwa ukubwa alionao Diamond Platnumz kimuziki na kimafanikio sidhani kama ni sahihi yeye kuendelea kutumia neno "Baby" kama swagga fulani hizi za kinyamwezi . Hilo neno baby awaachie ma under ground yeye alipofikia aachane na hilo neno.

Kuita Wasafi Classic inatosha kabisa hilo neno baby kwa kweli kwa sasa aachane nalo kabisa.
Mkuu Una hoja ya msingi

Ila pia lazima tukubali kuwa WCB kama brand name ishaenda Sana world wide ,me nafkir ibaki tuu WCB - Aache kulitaja kiurefu
 
Back
Top Bottom