jina

Jina (Zina) is an Afroasiatic language of Cameroon. The Muxule variety may be a distinct language.

View More On Wikipedia.org
  1. Traxtion

    Iran wamepost AI video inayoenda kwa jina la One Vengeance for All

    Video inajieleza Inaonesha victims wa USA (Vietnam, Gaza, Japan (Hiroshima), Iran nk) wananchi wake wakiwa wanaangalia juu, yani wanaliangalia bomu likiwa linapaa juu, kisha mwisho wa video unaonesha bomu lenye bendera ya Iran likitua jijini New York City na kulipua Statue of Liberty 🗽 ikiwa na...
  2. Yoda

    Bado mpaka sasa hakuna biashara iliyopewa jina la mfereji wa Hormuz?

    Wabongo wanapenda sana kuzipa biashara zao majina ya vitu maarufu, tutegemee siku za hivi karibuni kuona Hormuz Cafe, Hormuz Barbershop, Hormuz general store, Mgahawa wa Hormuz, Hormuz Bar n.k Nigeria tayari wameshatembea na upepo
  3. The introvert

    Unakumbuka nini ukisikia jina la Adam Simbeye kwenye THIS WEEK IN PERSPECTIVE

    Leo kwenye urejeo wa fikra zangu nikapata kukumbuka kipindi maridhawa kilichokuwa kikiruka hewani kupitia chaneli ya TBC ,THIS WEEK IN PERSPECTIVE kikiongozwa na mtangazaji mahiri enzi hizo bwana Adam Simbeye. Mule kulikuwa na wazee wanachapa ngeli ya mambele kama wanakunywa supu ya kongoro tu...
  4. Yoda

    Kuna mradi mpya bongo awamu hii ambao haujapewa jina la Samia?

    Leo nimesikia tangazo la Samia Land clinic, mradi kwa ajili kutatua matatizo ya ardhi. Kuna Samia cup, Samia Stadium, Samia SGR Station, Samia this Samia that... Kuna mradi mpya utaanzishwa usipiwe jina lake awamu hii? Vipi kuhusu Samia Airport?
  5. Keynez

    Wazanzibari mnajinasibu ni watu wa dini, inakuwaje uwanja wenu umepachikwa jina la "Guantanamo Bay"?

    Nakumbuka kipindi fulani watu walikuwa wanauita uwanja wa Benjamin Mkapa "Kwa Mchina" hadi akatokea mtu akasema watu wawe wazalendo wauite kwa jina lake halisi au walau wauite "Kwa Lupaso". Hivi karibuni kuna wasemaji wa timu fulani wameupachika jina jipya uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar...
  6. Keynez

    Kuna uwezekano wa uwanja wa Arusha usipewe jina la Samia?

    Imagine mahakama ya ICC wanatangaza kufungua uchunguzi rasmi wa makosa ya jinai dhidi ya Samia, mara anajiandaa kusimama kizimbani huko The Hague, halafu machawa mnazindua uwanja wa AFCON na kuupa jina lake. Hapo italeta picha gani? Hapo hata Motsepe mwenyewe atawakimbia. Naona kuna kasi ya...
  7. Waufukweni

    Taja nchi inayoanza na herufi ya kwanza ya jina lako tuone ulistahiri kuishi wapi

    Wakuu! Taja nchi inayoanza na herufi ya kwanza ya jina lako tuone ulistahiri kuishi wapi 😄✈️ Twende kazi! 👇🌎
  8. BIG BROTHER ALEX

    Lugha gongano TFF(shirikisho la mpira) wabadili jina, watu wanawachanganya na TFF waasi, huko mitandaoni, kichekesho

    Katika pita ZANGU mitandaoni, nikakuta HABARI ya TFF WAASI kuhusika na mambo ya mauaji, Sasa kilicho niacha hoi ni comments za waja. HABARI inasema, kiongozi wa kikosi cha TFF waasi adai kuhusika na mauaji mbeya, MTU ana comment hivi, 1. Heee, Walace karia NAE ana kikosi KAZI, hi Isha kuwa...
  9. Yoda

    Waswahili wanaousifia uwanja wa Amani Zanzibar kwa jina la Guantanamo bay ni maamuma wa historia na haziwatoshi

    Guantanamo bay ambacho ni kituo cha jeshi la Marekani katika ardhi ya Cuba pwani kilijipatia umaarafu sana baada ya vita vya ugaidi kuanzia mwaka 2001. Hapo Guantanamo bay ndipo walipokuwa wanashikiliwa kama mahabusu watu waliokamatwa na vyombo vya US kutoka nchi nyingine wakituhumiwa kama...
  10. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Walokole, tangu muanze kumkanyaga Shetani kwa jina la Yesu mmefikia wapi?

    Awali ya yote Lissu sio Muhaini. Ibada za walokole zimejaa utapeli wa kila aina. Utasikia wanasema shetani ushindwe na ulegee. Mara waseme fire fireeee,kumkanyaga sio kumkanyaga. Waliwahi kufuga mlimani kwa siku tatu usiku kucha tunasikia tunamkanyaga shetani wengine wanamteketeza shetani...
  11. Doto12

    Anayejua wimbo huu jina lake naomba please

    ni kawimbo kazuri naomba jina na mtuunzi A
  12. Waufukweni

    Nguli wa Bayern Munich, Franck Ribéry, ametajwa katika nyaraka za Epstein

    Wizara ya Sheria ya Marekani (DOJ) imetoa mamilioni ya nyaraka zinazohusiana na kesi ya Jeffrey Epstein, zikiwa na majina ya watu mbalimbali wakiwemo watu mashuhuri, wafanyabiashara wakubwa na maofisa waandamizi wa serikali. Nyaraka hizo ni sehemu ya uchunguzi mpana unaohusiana na Epstein...
  13. MakinikiA

    Umewahi kujiuliza kwanini Coca Cola inaitwa jina hilo?

    Coca-Cola ni moja ya kampuni maarufu duniani, ambayo hutengenezwa soda maarufu ya Coke na vinywaji vingine vya soda. Lakini, ilikuwaje hadi ikawa na jina hilo? Labda umewahi kusikia kwamba Coca-Cola wakati mmoja ilikuwa na kiungo cha kusisimua ambacho kiliwafanya wateja kulipenda sana. Hii ni...
  14. M

    Kiroho; Simba na Yanga haziwezi tena kufanya vizuri kwa jina la Tanzania, nchi ina laana

    Tangu tarehe 29.10.2025 ,Tanzania ilipata doa ,nchi ilichafuka ,Taifa limelaaniwa. Hatuwezi kupata chochote kama Taifa tuka toboa .Iwe mpira, muziki ,biashara na uwekezaji . Tunahitaji toba ya kweli kutoka hapa. Simba na YANGA mwambieni Rais wenu aombe toba Kwa Mungu
  15. QasraNet

    Ukiacha OUT, Kwanini hatuna chuo kinachobeba jina la nchi?

    Akili za baada ya kushiba: UDOM au UDSM kimoja wapo kibadilishwe jina kuwa University of Tanganyika au University of Tanzania. 🥱🥱😌😌
  16. Mshana Jr

    Hakuna cha kurithi zaidi ya jina la ukoo

    Unazaliwa, unaambiwa ujivunie ukoo wako. Unafundishwa historia ya babu zako, ukoo uliotoka, na majina makubwa ya familia. Lakini kadri unavyokua, unaanza kuuliza swali gumu: Mbali na jina, kuna nini kingine? Kwa familia nyingi, hakuna ardhi. Hakuna nyumba. Hakuna biashara. Hakuna akiba. Hakuna...
  17. Godoro la kioo

    Hivi Kuna app ambayo mtu akiwa na namba Yako anaweza kujua jina lako

    Wakuu. Teknolojia inazidi kukua Kila kunapokucha Kama ilivyo kwa Whatsapp mtu akiwa na namba Yako anaweza kuona picha Yako Je Kuna app ambayo mtu akiwa na namba Yako inaweza kumletea jina lako au hata akaunti zako za mitandao ya kijamii Nauliza hivyo kwa sababu Leo mchana Kuna mwanadada...
  18. figganigga

    Pendekezo: Siku Samia Suluhu akifa, tufute Majina yake kwenye Miradi yote ya Serikali

    Kwa yaliyotokea 29 Oktoba 2025, ni laana kwa Nchi. Jina lake libaki kwenye Misikiti alojenga pekee. Kwenye Utawala wake aliruhusu Watanzania kuuana wao kwa wao ili yeye asalie madarakani.. Katiba akaiita kijitabu.. Kijitabu akakitumia kuapa asalie madarakani bila ya kuchaguliwa na yoyote...
  19. Chibike

    Nichagulieni jina la kiafrika la kitanzania la kitamaduni lililokaa kipesa pesa kitajiri tajiri

    Kuna thread flan nmeisoma hapa kuhusu matajiri haswa Kanda ya ziwa huko, majina yao ni ya kitamaduni tamaduni flani na ya kiafrika sio Wala ya kizungu Embu nichagulieni Moja na Mimi,.. Embu ona majina yao, OTAWA, SAULI, LUGUMI, Kuna yule mwamba wa mwanza bilionea yule..nimemsahau jina ., mzee...
  20. I

    Jina hilo hilo. Kwa nini?

    Hamjambo wana MMU. Kuna hiki kitu kimenifikirisha. Wewe unayesoma inategemea tafsiri yako huenda ukaona halina maana yoyote lakini huenda kuna mtu anaweza kunipa picha kubwa zaidi ya ninavyofikiri. Chukua jina la Mkeo, labda tuseme Loveness. Mnafunga ndoa, mnaishi, mnazinguana ila mnaishi hivyo...
Back
Top Bottom