PRICE ELASTICITY OF DEMAND
Hapa tunaongelea jinsi gani ambavyo bei ya bidhaa inaweza athiri uhitaji wa hio bidhaa (demand).
Inaeleza jinsi tabia ya mteja inavyobadilka kulingana na bei ya bidhaa.
Kwenye sheria ya demand inasema kwamba bei inavyoongezeka basi ni lazima demand ya kitu ipungue...
Mahitaji
-Sukari ya brown kikombe kimoja
-Kahawa ya brown nusu kikombe
-Mafuta ya mzeituni nusu kikombe
-Lemon essential oil kijiko kimoja Cha chai(1tsp)
Hapo kwenye kikombe waweza tumia kikombe Cha chai(mug)au vile vikombe maalum vya kupimia malighafi vile ambavyo vina alama za vipimo.
Hii...
Kwa sasa Tume ya Vuo Vikuu Tanzania(TCU) imeweka vigezo kwa wanafunzi wa Maters kuwa na Publication katika reputable journal, hasa kwa wanaofanya by thesis na PhD students. Kuwa na publication ni jambo muhimu sana kwa ulimwengu wa watafiti as it shows vitu umeviandika na kuvidadisi kwa undani na...
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema kuanzia sasa Serikali itagharamia matibabu ya aliyekuwa Mbunge wa Mikumi Joseph Haule Profesa J anayetibiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili hadi hapo atakaporuhusiwa kurudi nyumbani.
Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu alipofika Muhimbili leo...
akaunti
ccm
chama
jifunze
kazi
kugharamia
maana
matibabu
nyingine
prof. jay
rais
rais samia
samia
serikali
serikali ya ccm
ummy mwalimu
upinzani
vijana
wajinga
watanzania
Mchizi wangu Mmoja alikua kachoka sana, nimekuja kumcheki yuko poa sana ana mzigo kweli kweli nikambana akaniambia bro..nauza sex Toys kumbe ni bonge la deal akaniambia wateja wengi ni wake za watu na wadada, bei hata hawabargain unamkuta kwenye foleni anaenda job anadrive..chini kaeka vibrator...
Tafiti ni requisite kwa wanafunzi wa Masters na Phd ambapo kwa sasa wanatakiwa kuwa na publication kwa wanaofanya masters by thesis, huku Phd Ikiwa ni lazima kuwa na publications mbili kwenye reputable Journal
Choices za data za kutumika hutegemea na study na upatikanaji ambapo kwa baadhi ya...
Habari,
Kwa yeyote anaehitaji/ unamfahamu anahitaji huduma ya kujifunza au kutengeneza Profesisional Business Pieces(Documents), CV-Curriculum Vitae, Proposal, Presentation & huduma za Digital Marketing.
Tuwasiliane kwa namba:
+255 688 372 118
"Tumefanya mageuzi makubwa ndani ya Shirika la @posta_tz. Lengo ni kuwa na Posta ya Kidijitali, Posta kuwa kitovu cha biashara mtandao na huduma za Pamoja.
Katika kutekeleza azma hii, Siku ya Jumatatu tarehe 6 Spetemba, tutazindua utaratibu wa Huduma Pamoja". Mhe. Faustine Ndugulile
Nimeona...
Habarini wakuu.
Najua kuna wimbi kubwa sana la vijana wasio na ajira. Hata wanaothubutu kujiajiri nao bado wanapata changamoto mbalimbali na mitaji yao inapotea pasipo kufanya jambo la maana. Hebu soma kisa changu.
Ilikuwa ni mwaka jana(2020) mwezi wa saba nilipoamua kutoka mjini na kuhamia...
Habari wana jamvi, naanza kufundisha javascript programming. Focus kubwa itakuwa katika web development. Utajifunza dynamic web pages.
Gharama ni sawa na bure, utalipia 10,000 na ntafundisha kwa mwezi mmoja. Mfumo wa kufundisha ni whatsapp or telegram kutegemea na mwitikio wenu. Ntaanza rasmi...
Ni jambo lisilofichika sasa kuwa mfumo wetu wa elimu uko dhoofu li hali, kama sio hoi bin taabani. Haumuandai mhitimu kujiajiri au kuweza kutengeneza ajira, hali ni mbaya sana, wahitimu wengi wa elimu ya juu na kati wapo mitaani wakiwa hawajui nini hatima yao.
Viongozi walioshika mpini katika...
Kabla hujafanya uwamuzi wa kununua laptop yako mpya kwa ajili ya matumizi yako ya Graphic designing, Architecture, au Content Creation yafahamu haya.
NI MUHIMU!
• Category hii ya watu wa aina hiyo, wanahitaji PC (Laptop) yenye uwezo wa kustahimili program zao zenye uwezo mkubwa, kama CAD, Adobe...
Waziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu amesema wizara hiyo itanufaika na tozo za miamala ya simu kwa kujenga vyumba vya madarasa 10,000 na kukarabati shule kongwe za msingi 2,100. Ameeleza kuwa hadi sasa kuna uhaba wa madarasa 100,005 kwenye shule za msingi na sekondari nchini.
Chanzo: Swahili Times...
Utangulizi
Katika karne ya sasa, watu wengi wamekumbwa na misongo ya mawazo kutokana na hali tofauti tofauti wanazokutana nazo katika mahusiano. Baadhi ya watu wamepoteza maisha kutokana na kushindwa kudhibiti kiasi cha msongo. Wengine wapepoteza ndoto zao, familiya, kazi, masomo na hata...
Jamaa huyo maarufu kwa jina la Zungu ameuliwa kwa kuchomwa moto na mpenzi wake huyo kwa jina la Neema. Tukio limetajwa kutokea huko Mbezi Makabe, Dar jana usiku.
Sababu inadaiwa ni jamaa kutokuwa mwaminifu katika mapenzi yao ndipo mdada anadaiwa kumfungia ndani jamaa kisha kumwaga petrol na...
Brother Mako
Najua wewe ni mtu wa masihara na utani utani mwiiingi. Utani hoye!
Najua wewe ndivyo ulivyo toka long time kitambo.
Ila nataka nikueleze kitu, Kuwa makini sana na utani wako usifikie hatua ya kuharibu haiba na taswira ya taasisi ya Urais au rais mwenyewe!. Namaanisha ukimtaja...
Salamu Wana jukwaa.
Niende kwenye maada moja kwa moja,kama unavyojua kwa wale tuliozaliwa vijijini mwanzoni mwa miaka ya sabini mpaka mwanzoni mwa miaka ya themanini.Shule za sekondari zilikuwa chache kwa hiyo waliochaguliwa kutoka shule za msingi kwenda sekondari walikuwa wachache mno wengine...
JIFUNZE HAPA: Jinsi Ya Kuzivuta Fursa Na Kuzitumia Ndani Ya Muda Mfupi.
Unakwama Wapi Mpaka Sasa Hujui Jinsi Ya Kuzivuta Fursa?
Huzioni fursa lakini wenzako wanaziona na kuzitumia je, unajua tatizo ni nini?
Ulichofichwa kwa muda mrefu leo unakwenda kukifahamu na kukitumia ipasavyo.
Angalia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.