Mbegu ya azola na mbolea

Tutor B

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
9,025
6,554
Azolla mbegu.jpg

Chakula cha mifugo imekuwa changamoto na hivyo kupunguza faida kwa wafugaji, lakini ukiwa na azolla mambo ni tofauti. Unapanda mara moja unavuna kwa mwaka mzima.
Wasiliana nasi tukupatie mbegu za azola pamoja na mbolea za asili kwa ajili ya kurutubisha bwawa.
Tuko Nyasaka Centre jijini Mwanza. (Simu 0655-533543)
 
Habari za siku nyingi waungwana

Leo nimerudi hapa ili tuendelee kupeana taarifa mbalimbali kuhusiana na mambo yetu ya kilimo na ufugaji.

Kama kicha cha habari kinavyosomeka .... napenda sana kuwashauri watanzania wenzangu wajifunze kwa kuona. Japo kuna njia nyingi za kujifunza, kwa kutumia vyema milango ya fahamu; mlango mmoja ambao ukiutumia kujiifunza utaelewa zaidi. Mlango huo ni macho; ukiona jambo lolote ubongo wako unatengeneza picha nyingi sana na kupitia picha hizo unakuwa umeingiza mambo mengi kwa wakati mmoja / mfupi sana. Kwanza unapoona jambo lolote hata bila ya kupewa maelekezo, akili yako inaanza kutengeneza maswali mengi sana. Unapofanikiwa kupata majibu ya maswali hayo unakuwa umejifunza vitu vingi kwa kupitia chanzo cha msingi ambacho ni macho yako. - KUONA.

Kuna msemo umezoeleka kwa wengi ambao ni - TEMBEA UONE. Wengi wakiambiwa tembea uone wanawaza kwenda mbali na sehemu wanazoishi wakati hata mazingira yanayowazunguka hawajayatembelea. Kuna vitu viko mtaani kwako, wilayani, mkoani hata nchini hujawahi kuviona; lakini unawaza kwenda mbali eti kujifunza. Nakushauri kabla ya kwenda mbali anzia hapo unapoishi ili ukipata fursa ya kwenda mbali na kujifunza huko, yale utakayoyaona uweze kuyrudisha nyumbani na kuyafanyia kazi kwa ajili ya kuboresha kwako.

Tunakoelekea kupitia utandawazi kuna uwezekano mkubwa wa vijana wetu kuyafahamu mambo ya Ulaya, USA, China nk. kuliko wanavyofahamu mambo ya hapa Afrika na hata nchini kwao. Maisha ya kuishi kwa kuiga wazungu yanawapotosha wengi. Utamkuta mototo / kijana anafahamu vizuri mkate lakini hafahamu ngano inayotumika kutengeneza mkate, anafahamu chips lakini hajui viazi mbatata, anafahamu radha ya passion fruit lakini hajui tunda la makakara, anafahamu kiungo maarufu kama manjano lakini hajui binzari. Hiyo ni mifano michache sana, kuna uwezekano hata wewe unayesoma hapa kuna mfano mmoja umekugusa, yaani unafahamu super product lakini haujui malighafi inayotumika kutengeneza hiyo bidhaa.

Kwa kulijua hilo; tumekuandalia sehemu ndogo ndani ya jiji la Mwanza kwa ajili ya kuwawezesha watu mbalimbali kuja na kujifunza aina tofauti za mimea na matumizi yake kwenye lishe na tiba. Sehemu hiyo ndogo imeandaliwa kiasili na ukifika hapo utajifunza mambo yafuatayo kwa uchache.

1. Kilimo bila udongo
2. Kilimo cha Azolla
3. Uandaaji wa Hydroponics Fodder
4. Kilimo cha Makakara
5. Kilimo cha mbogamboga tofauti ambazo ni adhimu
6. Mapishi ya vyakula vya asili
7. Utengenezaji wa jokofu lisilotumia nishati ya umeme
8. Ufugaji wa kimjini - kutumia eneo dogo kwenye kufuga
9. Utengenezaji wa mbolea za maji - za asili.

Sambamba na mafunzo hayo utapata fursa ya kupumzika huku ukipata vyakula vya asili pamoja na vinywaji baridi. Najua unajiuliza sehemu hiyo ilipo, jibu ni POSH GARDEN - Hii ni bustani ndogo iliyoandaliwa kiasili ipo katikati ya kata za Kishili na Igoma - wilayani Nyamagana katika jiji la Mwanza. Kama unatokea jijini Mwanza fuata barabara inayoelekea Musoma, kabla hujafika Kisesa kuna kituo cha daladala maarufu kama Bango la Zain - ni karibu na chuo cha Afya Tandabui. Ingia upande wa kulia kwenye barabara ya vumbi - kutoka hapo ni kama mita 300 hivi.

Utakuwa umefika Posh Garden - bustani ya asili yenye kanopi ya majani mabichi. Kwa maelezo zaidi unaweza kuwasiliana na wahusika kwa simu / whatsapp nambari 0655 533 543.

KARIBU POSH GARDEN UJIFUNZE KWA KUONA

111.jpg


33.jpg
 
COMFREY NI NINI?

Huu ni mmea wa ajabu sana ambao matumizi yake ni mengi mno. Mmea huu uko Kama spinach, majani yake yanafanana na majani ya tumbaku. Hata Tanzania wengi wanaijua kama sidifo, lakini jina lake la kitaalam ambalo linatumika ulimwenguni kote ni comfrey. Baadhi ya matumizi yake ni kama ifuatavyo-

1. Hutumika Kama mbogamboga za majani na inao uwezo MKUBWA wa kuongeza UBORA wa Kinga za mwili kwa mwanadamu.

2. Paste yake hutumika kutibu vidonda vya aina yoyote.

3 l. Chai yake hutumika Kama mbolea ya maji (organic foliar fertilizer) ambayo mbali na kuwa mbolea pia hutumika Kama booster na husaidia kuua wadudu kwenye mimea MINGINE..
4. NI chakula kizuri Sana kwa mifugo Kama sungura, kuku, mbuzi, Ng'ombe NK.
Kwa mahitaji ya Miche ya comfrey, wasiliana nasi kwa SIMU au WhatsApp NAMBARI +255 655 533 543.
Tupo Posh Garden
Mtaa wa Mbugani,
Kata ya Kishili,
Wilaya ya Nyamagana,
Jijini Mwanza,
Nchini Tanzania.
FB_IMG_16223835178784313.jpg
 
COMFREY NI NINI?
Huu ni mmea wa ajabu sana ambao matumizi yake ni mengi mno. Mmea huu uko Kama spinach, majani yake yanafanana na majani ya tumbaku. Hata Tanzania wengi wanaijua Kama sidifo, lakini jina lake la kitaalam ambalo linatumika ulimwenguni kote ni comfrey. Baadhi ya matumizi yake ni Kama ifuatavyo-
JIFUNZE KUTENGENEZA MBOLEA YA ASILI (ORGANIC FERTILIZER) KWA KUTUMIA MMEA WA COMFREY.

Comfrey ni mmea wenye matumizi mengi kwa afya ya binadamu lakini pia hutumika kutengeneza mbolea ya asili ambayo inafanya vizuri Sana kwenye bustani / mashamba ya mbogamboga na matunda.

Mbolea hii haina MADHARA yoyote kwa mimea wala wapaji na unaweza kuiandaa hapo shambani kwako ikakusaidia kuokoa gharama za manunuzi ya booster na madawa mengine ya kuua wadudu.

Kama unahitaji kujifunza, unaweza kunipigia simu kwa nambari / WhatsApp +255 655 533 543.
Karibu Posh Garden ujifunze kwa vitendo.
 
1623921502794.png
Tunao wataalamu wengi lakini hawafanyii kazi tafiti ambazo zilishafanyika. Nilishangaa sana pale nilipokutana na mmea wa ajabu ambao nchi za Kanada, Marekani, Mexco nk wanautumia sana kupambana na tatizo la watu wanaopata matatizo ya kuvunjika mifupa au kuteguka.

Nakusihi upitie maelezo ya mmea huu kwa ufupi ili sasa tuweze kuona ni kwa namna gani tunaweza kuwasaidia watu wengi wanaoangaika na tatizo hili hasa vijana waendesha bodaboda.
===

Comfrey Benefits

Latin Name:
Symphytum

Also Known As: Knitbone, Boneset, Ass Ear, Black Root, Blackwort, Bruisewort, Consound, Gum Plant, Healing Herb, Knitback, Salsify, Slippery Root, Wallwort

Origin: Europe

Parts Used: Leaves, Root

Now available at Mwanza, Tanzania -Pash Garden

Traditional Use and Health Benefits
Taking its name from the Latin “con fera” which means to knit together, and the Old English “knitbone”, Comfrey has been prized since ancient times for its ability to help heal broken bones and damaged tissues.

Comfrey has been historically used for all manner of injuries and accidents, including but not limited to broken bones. It had an equally strong reputation for helping with external wounds that were not healing properly. This versatile herb was also used extensively for tuberculosis and irritating dry lung complaints in general.

Comfrey Benefits​

Broken Bones/Wound Healing

There are hundreds of anecdotal stories where people are hailing the miraculous speed of healing broken bones using Comfrey. Astonishingly, Comfrey tablets were even standard issue in World War II First Aid packs, so widely known was the ability of this herb to speed up the healing of bones and wounds.

Research has now shown Comfrey to contain the plant chemicals allantoin and rosmarinic acid. Allantoin is able to accelerate cellular mitosis (meaning it speeds up the process of new tissue growth), while rosmarinic acid helps to relieve pain and inflammation. Allantoin is even part of the developmental process of a foetus – the placenta contains this compound as the baby grows, eventually dwindling as full maturity is reached. Also present in breast milk, a small supply of allantoin continues to be supplied to the baby after birth.

Comfrey also contains bone strengthening vitamins and minerals such as vitamin C, Calcium and Magnesium.

In most instances, Comfrey compresses and ointments are used topically to facilitate the healing of bones and wounds. It is very important to make sure that wounds are completely clean before applying Comfrey – this is because the skin can regrow so fast that it can trap any debris left in the wound.

Muscle and Joint Pain
A large review of multiple studies released in 2013 about the medicinal uses of Comfrey stated: "It is clinically proven to relieve pain, inflammation and swelling of muscles and joints in the case of degenerative arthritis, acute myalgia in the back, sprains, contusions and strains after sports injuries and accidents, also in children aged 3 years and older."

In the studies, Comfrey application improved the healing and pain response of bruises, sprains, painful muscles and joints which were particularly related to exercise. In a single-blind, randomized clinical trial of 164 participants, Comfrey outperformed its pharmaceutical counterpart for its efficacy on ankle sprains and pain. This led the researchers to state their encouragement that this natural product functions as a safe and effective alternative to the standard treatment.

Skin Health
Comfrey’s healing properties also encompass the skin, with its wonder ingredient – allantoin – hydrating, naturally exfoliating, repairing, protecting and soothing the skin. Due to Comfrey’s high antioxidant status, topical application also helps to reduce free radical activity on the skin.

Natural allantoin as found in Comfrey can actually help to reduce abnormal thickening of the skin caused by “keratinisation” - if this is out of balance more keratin than usual is produced and the structure of the barrier function is changed. Allantoin interacts with the skin’s keratin to thin out an abnormal, thick stratum corneum, and this is the reason that allantoin is known for leaving skin feeling smooth.

Comfrey can also be used to relieve skin irritations such as rashes, sunburn and stings.

Typical Use
Comfrey is typically used to make compresses, poultices, ointments and salves to be applied topically.

The leaves can be used to make tea. The dried leaves have a much lower pyrrolizidine alkaloid (PA) content than the fresh leaves or the roots. It is recommended that Comfrey Leaf Tea is not used over the long term.

Folklore and History
With a history of traditional use stretching back thousands of years, Comfrey has been cultivated as a healing herb since at least 400 BCE. The Greeks and Romans commonly used Comfrey to stop heavy bleeding, treat bronchial problems and heal wounds and broken bones. Poultices were made for external wounds and tea was consumed for internal ailments. It is said that the Roman legions also used this herb to heal wounds suffered in battle.

The notable Greek physician Dioscorides documented its use in his "De Materia Medica" and prescribed it for healing wounds, broken bones, as well as for respiratory and gastrointestinal problems. He was employed as Nero's medical officer to the Roman army (thus, traveling extensively and having much cause to use Comfrey) and documented his experiences in five volumes with descriptive accounts on medicinal plants. Dioscorides prescribed Comfrey for its bone-knitting and wound-healing virtues.

Comfrey appears in monastery writings and herbals from 1000 AD and Saxon herbariums recommended it for “internal bleedings, ruptures and hernias".

Constituents
The major constituent of the Comfrey plant is mucilage; other constituents include allantoin, polyphenols, amino acids, phytosterols, triterpenoids, saccharides, and pyrrolizidine alkaloids.

Precautions
If taking Comfrey internally it is best done on the advice of a Herbal Practitioner due to the potential effects of pyrrolizidine alkaloids on the liver.

Pregnant and nursing mothers should not use Comfrey.

If you are taking pharmaceutical medications, please consult your Healthcare Practitioner before using Comfrey.
 
Nawakumbusha tu kwamba mmea wa comfrey NI wa ajabu sana kwani unatumika kwenye vitu vingi Sana Kama vile ... Mbogamboga, tiba, chakula Cha mifugo na utengezaji wa mbolea.
Anayehitaji Miche tuwasiliane kwa inbox.
 
Nawakumbusha tu kwamba mmea wa comfrey NI wa ajabu sana kwani unatumika kwenye vitu vingi Sana Kama vile ... Mbogamboga, tiba, chakula Cha mifugo na utengezaji wa mbolea.
Anayehitaji Miche tuwasiliane kwa inbox.
Mkuu Tutor B, fafanua ili kabla sijaweka oda nijue matumizi sahihi ya huo mmea.
Naomba fafanua namna ya kuufanya uwe mbogamboga na faida zake
Fafanua namna gani naweza kuufanya uwe ni chakula cha mifugo mfano kuku mbuzi .ng'ombe na wengine
Fafanua namna waweza tumika kivipi kwa magonjwa yapi.
Pia ni kwa namna gani unaweza kutumika kama mbolea.
Mkuu thaminisha biashara yako.
Ni ushauri tu.
 
Vifaa vya gharama nafuu kwa ajili ya bwawa la azolla Sasa vinapatikana. Hiyo sheet (kwenye picha) Ni imara Sana na inaweza kutosha bawa la upana wa mita 2 na urefu wowote utakaohitaji kulingana na eneo lako la kazi hiyo.

Unaweza kutupigia simu kwa ajili ya ushauri na usimamizi wa maandalizi ya bwawa kwa gharama nafuu. Pia mbegu za azolla zipo za kutosha.

Kwa wasiojua azolla ni kwamba hiki ni chakula Bora Sana kwa ajili ya mifugo kwani kina protin ya kutosha pamoja na virutubisho vingine vingi vinavyoboresha afya ya mifugo.

Tupo jijini Mwanza, tupigie simu +255655533543.


20210727_103118.jpg
IMG_20210728_180157.jpg
 
Mkuu Tutor B, fafanua ili kabla sijaweka oda nijue matumizi sahihi ya huo mmea.
Naomba fafanua namna ya kuufanya uwe mbogamboga na faida zake
Fafanua namna gani naweza kuufanya uwe ni chakula cha mifugo mfano kuku mbuzi .ng'ombe na wengine
Fafanua namna waweza tumika kivipi kwa magonjwa yapi.
Pia ni kwa namna gani unaweza kutumika kama mbolea.
Mkuu thaminisha biashara yako.
Ni ushauri tu.
Tuko pamoja,
1. Kwa mboga unatumika Kama mboga za majani zingine, unapikwa kwa kutoweka maji, na inasemekana una uwezo mkubwa wa kuimarisha cd4

2. Kwa mifugo, unawafungia au kuwakatia majani na kuwalisha, kuku, sungura, Ng'ombe, mbuzi NK.

3. Kwa urembo unatumika KUTENGENEZA dawa za ngozi Kama zile za kusoftisha uso

4. Kwa tiba, unatumika KUTENGENEZA dawa inayofahamika Kama poultice, ambayo hutumika kuchua Kama umeteguka au kuvunjika mfupa.

5. Kwa mbolea, unatumika kutengenezea mbolea ya maji yenye wingi wa nitrogen, potacium na Calcium.

Zaidi unaweza kuigoogle ... Comfrey benefits, unajua mengi Sana.
 
Back
Top Bottom