jeshi la polisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania "Msininyanyase, mimi si mpinzani," kada wa CCM awaasa Jeshi la Polisi

    "Msininyanyase, mimi si mpinzani," alisikika kada wa CCM wakati polisi wakimbembeleza kama mwana mtukutu apande gari wamsindikize kwenye tawi lao mjini Dodoma baada ya kufanya maandamano wakilalamikia uteuzi wa wagombea wao. Bila shaka angekuwa mpinzani hicho kipigo ambacho angekipata...
  2. Mdaiwa-Sugu

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nalipongeza Jeshi la Polisi kwa 'fair play' ya leo kwenye mkutano wa Tundu Lissu mjini Morogoro

    Nimefurahishwa na kitendo cha Jeshi la Polisi kutimiza wajibu wake bila upendeleo. Leo kwenye hadhara ya kutafuta wadhamini, mgombea urais kwa tiketi ya chadema, Bw. Tundu Antipas Lissu akiwa mkoani Morogoro, askari wa Jeshi la Polisi walionekana wakiimarisha ulinzi na kuhakikisha Bw. Tundu...
  3. Chakaza

    JamiiForums Tanzania Masoud Kipanya: Jeshi la Polisi liwe fair kwa watu wote bila kujali itikadi zao za kisiasa

    Kwa mara ya kwanza leo Masoud Kipanya ameanzisha mjadala wenye heshima kwa Radio Clouds. Ameanzisha mada ya kumuonya IGP Sirro baada ya magazeti kum-quote akionya wanasiasa kwa kauli ziwezavyo kuchafua amani. Wamemhoji mbona kuna mtu kila siku anajirekodi na kurusha habari za uchochezi akiwa...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi Tanzania, Makonda anapaswa kuhojiwa!!

    Kufuatia kauli hizi za aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Ndg. Paul Makonda Jeshi la Polisi linapaswa kumuita na kumhoji ni kwa namna gani yeye raia wa kawaida awe na uwezo zaidi kuliko vyombo vya ulinzi na usalama wa Nchi kuweza kumlinda Rais. Ambapo akaliomba Jeshi la polisi kutosita...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi lamtaka mtu yoyote mwenye hofu na usalama wake kutoa taarifa polisi badala ya kulalamika mitandaoni!

    Msemaji wa jeshi la polisi nchini amemtaka mtu yoyote mwenye hofu na usalama wake kutoa taarifa polisi badala ya kulalamika mitandaoni na kwenye vyombo vya habari vya ndani na nje; kama si kuonyesha nchi yetu hakuna amani. Source East Africa Radio! Maendeleo hayana vyama!
  6. Mystery

    JamiiForums Tanzania Ujio wa Tundu Lissu, wananchi wamelithibitishia Jeshi lao la Polisi kuwa wao ni watu wa amani na utulivu

    Hatimaye shujaa wa Taifa hili, Tundu Lissu amewasili nyumbani Tanzania akiwa mzima wa afya, baada ya kutokuwepo hapa nchini kwa takribani miaka 3, akiwa nje ya nchi kwa matibabu ya majeraha makubwa sana aliyoyapata, takribani miaka 3 iliyopita, baada ya kushambuliwa kwa risasi zaidi ya 16...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa Ndege Dar: Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu - Julai 27, 2020

    Salaam Wakuu, MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tanzania Bara Tundu Lissu anatarajiwa kuwasili nchini leo saa saba na dakika ishirini saa za afrika Mashariki. Lissu amekaa nje ya nchi miaka mitatu sasa baada ya kuondoka kwa shambulio la risasi lililotokea mjini...
  8. Mystery

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi linataka kumpaisha kisiasa Tundu Lissu kama ambavyo walifanya Makaburu wa Afrika Kusini kwa Nelson Mandela?

    Tujikumbushe siasa kidogo, katika miaka ile ya 60, makaburu wa Afrika Kusini walilitumia Jeshi lao kumnyanyasa katika kila hali mzalendo wa nchi hiyo Nelson Mandela, hadi mwaka ule wa 1964, alipohukumiwa kifungo cha maisha jela, katika kesi ya kubambika ya uhaini Nelson Mandela hakuvunjika moyo...
  9. BAK

    JamiiForums Tanzania Mapokezi ya Tundu Lissu: Jeshi la Polisi na Viongozi wa CHADEMA wana wajibu wa kutunza utulivu

    MAPOKEZI YA TUNDU LISSU: JESHI LA POLISI NA VIONGOZI WA CHADEMA WANA WAJIBU WA KUTUNZA UTULIVU Tarehe 6 Novemba 2005 nilirejea nchini na British Airways kutokea Heathrow, London, Uingereza nikiwa na mke wangu na mtoto wetu wa kiume baada ya kuishi nje ya nchi kwa miaka kadhaa. Huku Tanzania...
  10. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Polisi waonya mikusanyiko ya kumpokea Lissu, na maandamano ya wanafunzi

    Jeshi la polisi limesema limeona baadhi ya viongozi wa CHADEMA wakihamasisha kukusanyika ili kumpokea mmoja wa kiongozi wanayetarajia kurejea nchini Julai 27, 2020. Polisi wamesema hawana taarifa rasmi ya mikusanyiko hiyo inayohamasishwa mitandaoni. Wamesema ni haki yao kukusanyika lakini...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kama watu walikusanyika uwanja wa ndege kupokea ndege na halikuwa kosa, kwanini kumpokea Lissu uwanja wa ndege ndio iwe nongwa?

    Watanzania,mnakumbuka serikali nzima na wananchi walihimizwa kufika uwanja wa ndege kupokea ndege za serikali kila zilipokuwa zinawasili? Sasa kama watu waliweza kukusanyika kwa wingi kupokea ndege tena wakiongozwa na Raisi wa nchi,iweje leo iwe kosa kumpokea binadamu mwenzao? Ndio maana kila...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi limechagua kuibeba CCM. Wananchi tushikamane tutaishinda dhuruma hii

    Kadri Uchaguzi Mkuu unavyaokaribia, ndivyo Jeshi la Polisi linavyozidi kujinasibisha na Chama cha Mapinduzi, (CCM) Kwa kuwa CCM hakiungwi mkono tena na umma bali ni mwanasesere aliyebebwa kwa mbeleleko ya chuma, Watanzania tusimame kwa pamoja na kwa umoja kulinda thamani ya kura zetu Tumkatae...
  13. dosama

    JamiiForums Tanzania Wakati CCM kushirikiana na magereza na polisi kupandisha bendera Dodoma, jeshi la polisi Same washusha bendera za CHADEMA

    Hapa makada watiifu wa CCM Same wakishusha bendela za CHADEMA ambao wana kikao cha ndani kuelekea uchaguzi mkuu 2020
  14. M

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi mjiangalie

    Katika nchi yetu Jeshi la Polisi ni Taasisi kubwa ambayo imefanyakazi nyingi kubwa zilizolenga kulinda Usalama wa Raia na Mali zao. Mmekomesha Ujambazi maarufu kwa MTAJI WA MASKINI NI NGUVU ZAKE MWENYEWE. Mmekomesha Uvamizi wa majambazi benki. Mmekomesha vitendo vya Uvamizi wa Vituo vya Polisi...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Je, unayajua mamlaka ya Jeshi la Polisi kama yalivyoainishwa katika Sheria ya Makosa ya Mtandao (2015)

    1: Kifungu cha 31: Polisi au watekelezaji wa sheria wanaweza kutoa amri inayoruhusu kuingia, kupekua, au kutwaa vifaa na mifumo ya kompyuta, na kutwaa data au taarifa zilizohifadhiwa kwenye kompyuta Wanaweza kufanya hivyo iwapo watajiridhisha kwamba kuna sababu za msingi kuamini kwamba mfumo...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Msajili: Mikutano ya Vyama vya Siasa inaratibiwa na Jeshi la Polisi kwa mujibu wa Katiba

    Ni katika kipindi cha Kipima Joto mubashara ITV Msajili Msaidizi Nyahoza amesema Msajili hausiki na uratibu wa mikutano ya kisiasa bali jukumu hilo ni la Jeshi la Polisi na ndio wanaopaswa kulitolea maelezo au elimu. Maendeleo hayana vyama
  17. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam lakamata silaha mbili aina ya bastola na kuwaua majambazi wawili

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUPATIKANA KWA SILAHA MBILI AINA YA BASTOLA NA KUUWAWA KWA MAJAMBAZI WAWILI Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam limefanikiwa kukamata silaha mbili aina ya bastola na kuwaua majambazi wawili katika matukio mawili tofauti. Tukio la kwanza ,Mnamo tarehe...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Jeshi la Polisi juu ya vyombo vya habari kwa mujibu wa Sheria ya Huduma za Habari (2016)

    Mamlaka mbalimbali zimepewa madaraka kubwa katika kudhibiti maudhui na shughuli za kila siku za vyombo vya habari. Nguvu hizo, hasa kwa vyombo binafsi vya habari, zinaingilia uhuru wao wa uhariri na hivyo kuathiri kwa upana uhuru wa vyombo vya habari, kutoa maoni na kujieleza. Mamlaka ya Polisi...
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kuvamiwa kwa Mbowe: CHADEMA yacharuka, Mnyika amvaa IGP amuonya kuhusu uongo unaotengenezwa na Jeshi la Polisi

    Katibu Mkuu wa Chadema Mh John Mnyika leo ametoa kauli kali ambayo ndio kauli halali ya Chama chake kuhusiana na Propaganda za kishamba zinazosambazwa na Jeshi la Polisi zikiongozwa na IGP Sirro mwenyewe kuhusiana na shambulizi alilofanyiwa Mh Mbowe na Watu waliotumwa kumdhuru . Hakuna...
  20. M

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro, Tafadhali usiligeuze jeshi la polisi kama mob

    Kamanda Sirro, kuna clip inatrend kwenye mitandao ya kijamii ikionyesha jeshi lako la polisi likivamia mkutano halali kabisa wa chama cha ACT wazalendo. Mkutano wao huo wa amani na wa ndani ulikuwa ungali ukiendelea huku wananchi wakiwa wanaimba nyimbo kumkaribisha kiongozi wao wa chama...
Back
Top Bottom