Katika hali ya kawaida ni vigumu sana kusikia mtu mwenye umri wa miaka 91 bado yupo kazini na wala hana mpango wa kustaafu, na kitu gani kinakuja haraka haraka kichwani mwako unaposikia kuwa yupo na hataki hata kusikia hilo neno kustaafu.
Afisa mmoja wa polisi, Arkansas nchini Marekani...
Mtangazaji wa kituo cha ITV cha jijini DAR ES SALAAM Bi Blandina Sembu amekutwa akiwa ameuawa maeneo ya ITV Mwenge usiku saa sita.
Mwili huo ulitambuliwa na Henry Mabumo aliyekuwa mtangazaji mwenzake kabla Mabumo hajahamia TBC.
Mwili ulichukuliwa na Polisi usiku huohuo.
Taarifa rasmi...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Ramadhani Kingai amesema Polisi wanamshikilia Charles Majura (35) ambaye ni Fundi Simu, kwa kosa la kimtandao kwa kusambaza taarifa za uzushi kuwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli ni mgonjwa.
Pia, Kingai amesema wanamsaka mwanaharakati anayejiita...
dollar
fidia
jeshijeshilapolisi
kanisa
kanisa katoliki
katoliki
kigogo
kulipa
kusambaza
magufuli
mbaroni
mgonjwa
mtandaoni
nchi
new
news
polisi
rais
rais magufuli
twitter
ulawiti
uzushi
waathirika
zaidi ya
Kamanda wa polisi mkoa wa kipolisi Kinondoni afande Kibona amesema jeshi hilo mkoani kwake limesitisha vibali ilivyovitoa na vinavyotegemewa kutolewa kwa shughuli za maandamano, maonesho, jogging na mbio ikiwemo Haki marathon.
Vibali hivyo vimesitishwa kwa sababu za kiusalama.
Chanzo: ITV...
Mchungaji Kimaro ameliomba radhi jeshi la polisi baada ya kutoa taarifa zisizo sahihi kufuatia kifo cha muimba kwaya wa Kanisa hilo.
Kimaro amesema muimba kwaya huyo aitwaye Yusuph aliyekuwa anauza chips pale makumbusho alimdanganya kuwa alitekwa lakini polisi wamebaini kuwa Yusuph hakuwai...
Hivi IGP Sirro na Watendaji wako umeshindwa kweli 'Kukabiliana' na hawa 'Wahuni' waitwao 'Beach Boys' huku katika 'Fukwe' za Bahari ya Hindi ambao tabia yao ya Kujifanya Wanawafundisha Mabinti / Wanawake 'Kuogelea' kisha wanawapeleka Maji Marefu na Kuwatishia 'Kuwazamisha' kufanya nao Ngono...
Habari za saizi,
Wanajukwaa naombeni mnijulishe mambo kadhaa juu ya @tanpoltz kwa kulinganisha na majeshi mengne ya Polisi huko katika dunia ya kwanza
Tuanze na mambo yafuatayo:
1. Nini maana ya jeshi la Polisi?
2. Yapi majukum ya Polisi?
3. Upi ni wajibu wa Polisi?
4. Mgawanyo wa majukumu au...
Tumesikia madai mazito aliyotoa Makamu Mwenyekiti wa Chadema na aliyekuwa mgombea urais wa Chadema, Tundu Lissu ya kutishiwa kuuawa, hadi ikamlazimu kukimbilia ubalozi Wa Ujerumani na kuomba hifadhi
Ameendelea kudai kuwa alipigiwa simu na watu wawili siku ya Jumamosi ya tarehe 31/10/2020 na...
UPDATE
"Mbowe na wenzake watashtakiwa kwa makosa ya ugaidi kwa sababu kuna mtu ametupa ushahidi kuwa walipanga kulipua vituo vya mafuta jijini Dar na kuleta maafa makubwa," Lazaro Mambosasasa, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya DSM.
=====
Kamanda wa Polisi kanda maalumu ya Dar es Salaam ACP...
Unguja. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi kisiwani Zanzibar limesema limelazimika kutumia mabomu ya machozi katika baadhi ya maeneo kutokana na uwepo wa viashiria vya uvunjifu wa amani.
Limesema waliokamatwa ni waliochoma matairi na kuyaweka katikati ya barabara na waliokwenda katika...
Katibu Mkuu na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Tunduru Kaskazini, Ndugu Ado Shaibu amekamatwa na Polisi ili kuzuiwa asihudhurie Mkutano wa Tundu Lissu unaofanyika Jimboni Kwake.
Ndugu Ado Shaibu natuhumiwa kutumia Kampeni zake kuhamasisha wakulima wa korosho kugomea Mfumo wa Stakabadhi Ghalani mpaka...
Wakuu ikiwa hii ni wiki ya lala salama, bado yule mgombea anayependwa nchi nzima na anayekadiriwa kushinda kwa zaidi ya 70% Tundu Lissu anaendelea kuomba kura kwa wananchi wenzake, ambapo leo atafanya mikutano kadhaa kwenye maeneo mbali mbali ya mikoa ya Pwani, Mtwara na Lindi.
Endelea kubaki...
Jeshi la Polisi limemkamata mgombea ubunge wa jimbo la Kawe Dada Halima Mdee na sasa wanakwenda naye kumpekua nyumbani kwake Mbweni.
Halima Mdee alikwenda kuripoti Polisi juu ya Matukio ya kutishiwa Amani lakini cha kushangaza alipofika amewekwa chini ya Ulinzi.
=====
Mdee ahojiwa kwa tuhuma...
Mgombea Ubunge wa Chadema Karagwe, Adolf Mukono, wagombea udiwani Kata za Chanika na Kituntu wakamatawa na Jeshi la polisi
“Tumewakamata baada ya kupata malalamiko kutoka upande wa CCM wakidai kwamba Chadema hawana ratiba ya kufanya kampeni zozote katani Chanika. Tulipomwuliza Msimamizi wa...
Mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya, amesema hakuna Askari aliyemzuia Mbowe kufanya kampeni na kwamba hata video inayosambaa mitandaoni ikimuonesha yeye na Askari wakibishana ni kwa sababu alivunja utaratibu kwa kutaka kufanya kampeni eneo ambalo hakutakiwa kinyume na kanuni za Tume.
Kauli...
..IGP Sirro na jeshi la Polisi wamekuwa mstari wa mbele kukemea wanasiasa wanatoa kauli ambazo ameziita za kichochezi, na za shari.
..Kauli ambazo IGP amekuwa akizikemea mara nyingi huelekezwa kwa Nec na Wasimamizi wa uchaguzi.
..Je, tatizo ni wanasiasa wakorofi na washari, au tatizo ni...
Je, mgombea wa Urasi kupitia Chadema, Mh. Tundu Antiphas Lissu anayo haki yoyote ya kufokea ushirika huu wa kiharamu wa Jeshi la Polisi na CCM?
Je, ni kweli jeshi la polisi linatumiwa na wagombea wa CCM kukandamiza uhuru na haki ya wananchi kuwapigia kura viongozi wanaowapenda?
Je, kitendo cha...