Kama uonavyo kwenye makampuni ama viwanda vya kutengeneza vitu mbalimbali na kwenye ulimwengu wa giza ni hivyo hivyo!?
Kuna maduka maalum ya kuuza zana na vipuri vya tunguri
Kuna watu maalum wa kusuka tunguli kulingana na mahitaji ya mteja
Kuna wauza tunguli feki na original
Kuna tunguli used...
Nina jua madhara ya andiko kama langu maana aliyehoji elimu ya Magufuli alitekwa na KUPOTEZwa mpaka Leo Sina amani ya kusema Ben Saanane kamwe
Inaumiza kwa elimu za kibongo zilivyongumu Kuona mtu anapewa updh una UMMA sana
Mimi niliwai Kuoji hivi mwigulu na Dr Jafo wakiwa mawaziri waliwezaje...
Katika Nchi ya Saudi Arabia, Eneo la Makka inachukuliwa kuwa mji mtakatifu zaidi katika Uislamu. Ndiko kunakopatikana Msikiti wa Masjid al-Haram, ambako ipo Kaaba (Lile jiwe linalozungushiwa kitambaa cheusi ambalo waumini ulizunguka). Hapo ndio kitovu cha kiroho cha Uislamu, na Waislamu duniani...
Namna ya kufahamu Oil filter ya Gari yako
Oil filters inapaswa kuwa replaced kila baada ya 6,000–8,000 km (ambapo kwa wengi ni 12 months), typically kila unapofanya oil change.
Viashiria muhimu vinavyo ashiria oil filter yako kuwa mbovu :
Pressure ndogo ya oil
Engine kukosa nguvu...
Dhambi ni kutolijua Neno la Mungu.
Ukilijua Neno la Mungu, ukalielewa, ukalishika, litakuweka huru kweli kweli.
Utakuwa huru na dhambi zote za duniani.
Hutozini.
Hutolewi.
Hutofanya umalaya.
Hutokuwa mmbea.
Hutokuwa msengenya.
Hutokuwa mfura.
Hutofanya dhambi.
Kwa kifupi, ukisikia dhambi...
Baada ya Mapinduzi ya Kiislamu ya 1979, Utawala wa Kiayatollah umekumbwa na maandamano mwaka 1999, 2009-2010; 2017-2018; 2019 na 2022-2023. Katika maandamano hayo yote sababu kubwa zimekuwa madai ya Haki za Msingi kwa Wananchi na Mabadiliko ya Mfumo wa Kisiasa. Kwa sehemu kubwa maandamano hayo...
Ukweli ambao watu wengi hawaujui kuhusu Pweza ni kwamba ni kiumbe pekee cha majini chenye mioyo mitatu. Mioyo miwili husukuma damu kwenda kwenye mapafu ya baharini (gills), na moyo mmoja husukuma damu kwenda sehemu nyingine za mwili. Damu yake ina rangi ya bluu kwa sababu hutumia madini ya shaba...
Asili ya neno punyeto
Neno punyeto katika Kiswahili linamaanisha kujichua / kujichezea sehemu za siri.
Asili yake
Punyeto limetokana na Kireno (Portuguese)
Neno la asili ni punheta, ambalo pia linamaanisha masturbation kwa Kireno.
Jinsi lilivyoingia Kiswahilini
Wareno walifika na kutawala...
Nimehuzunika mno kuona watu wanafanya kilimo bila kuwa na mafanikio kwa mda mrefu. Japokuwa watu wamejikita sana kwenye kilimo kwa mda mrefu lakini wameambulia kuchoka haswaa.
Lengo la uzi huu ni kuwashauri na kuwatia moyo wakulima kuwa wanao uwezo wa kulima nusu hekta na kuvuna gunia hamsini...
Bongo imekuja huduma ya kukopa simu kwa sasa ambapo simu hizo zinalipwa kwa siku. Hili suala la kulipa kwa siku lenyewe kwanza ni mtihani lakini pia gharama ya simu inaongezeka mara dufu. Hivyo anayekopa hakuna kitu anaepuka, maana kama unalipa 2100 kwa siku ujumlishe na hela ya kifurushi maana...
Habari wakuu,
Katika zama hizi za maendeleo ya teknolojia ya kidijitali, umiliki wa televisheni na redio hauhitaji tena njia za kizamani kama vile kuwa na mitambo mikubwa, studio za gharama kubwa, au leseni ngumu za urushaji. Sasa, mtu yeyote anaweza kumiliki televisheni au redio ya mtandaoni...
Kampuni YouTube iliondoa trending video kwenye app Yao sasa trending utaipata kwenye app Yao nyingine inayoitwa YouTube music ambayo imeunganishwa na YouTube yenyewe ukiingia kwenye app Yao utaikuta kama hivi
Ukiingia kwenye app utaikuta kama hivi sasa Kuna top charts na top artists yaani...
Wanabodi
Je wajua kuna aina mbili za Malaika na Shetani?. Kuna Malaika wa Mbinguni ambao ni pepo na kuna malaika wa duniani ambao ni watu ni binadamu, na kuna ma shetani wa motoni ambao ni mapepo na kuna mashetani wa duniani ambao ni watu ni binadamu kabisa lakini ni ma shetani!.
Malaika wa...
GT
Jamani huwezi kupambana na nature. maCCM nawaonea huruma. Mnaumwa halafu hamtaki kumwona daktari.
Hii nguvu mnayotumia kwa sasa kupambana na upinzani haijwahi kutokea Lakini pia mwamko wa watanzania kuwakataa ninyi upo katika kiwango cha juu mno katika historia ya Tanzania.
Je mtaweza au...
Mkoa wa Tanga unechanganya tamaduni za kizunguna kiarabu ambazo zimeathiri architec ya majengi yake
Waarabu walikaa sana mwambao wa Tanga kuanzia Pangani mpaka Tanga mjini,huko kote waliacha majengo ya ghorofa,
Ukija wilaya za handeni,korogwe na Lushoto,mjerumani alipapenda sana na kuacha...
Chale za wanga ni aina ya mihuri ambayo huwa anawekwa mtu usoni na wachawi. ukishawekwa mihuri hiyo huwa ni ngumu kutibika na huishia kuumwa mpaka uifute mihuri hiyo ambayo ni alama ndogo sana na hujulikana nakuonekana kwa wenye ujuzi.
Mtu kwenda kwa mtaalam na kuchanjwa chale ni ishara ya...
Je wajua nchi ya Ireland huwaga wana tamasha au festival ya watu wenye nywele nyekundu kila mwaka. Pia Ireland ni nchi inayoongoza duniani kuwa na watu wenye nywele nyekundu asilia bila kuweka bleach.
Kwa upande wangu nimeshangaa sana kuona Mungu Allah anahitaji wanadamu wamnusuru. Kwa yeyote anayejua naomba msaada wa kuielewa hii Aya,
47:7
Enyi mlioamini! Mkimnusuru Mwenyezi Mungu naye atakunusuruni na ataithibitisha miguu yenu.
Allah ana matatizo gani ambayo anahitaji wanadamu wamnusuru...
---
Hatupaswi kukata tamaa kwa sababu ni hali ya kawaida ya binadamu kupitia changamoto, lakini pia tuna uwezo wa kipekee wa kukabiliana na kuzishinda. Kukata tamaa ni kizuizi kikubwa kinachotuzuia kufikia malengo yetu na kuishi maisha yenye kuridhisha.
Hapa kuna sababu kuu za kutokata tamaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.