je wajua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Je wajua shepu ya pua inaweza kukuelezea wewe ni mtu wa tabia zipi?

    Haya twende kazi, 1. Hawa wa pua za hivi wanapenda kuangalia mambo yao. Hawasumbuliwi na mambo ya watu wengine. 2. Hawa wengi wao wana sifa za uaminifu na uvumilivu. 3. Hawa hawapendi kujibebisha wala kubebishwa, wengi wao ni mabandidu toka ndani ya sakafu ya roho zao, ni watu wakuchukua...
  2. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Wajua Mwajiri wa Watumishi Wote wa Umma ni Rais wa JMT na Wanafanya Kwa Niaba ya Rais?Rais Samia,P'se Usiruhusu Watu Hawa Wakuchafue,Watakuponza Bure!

    Wanabodi Utangulizi, Hili ni bandiko elimishi la kuelimisha watu humu dhana ya uwajibikaji kwa watumishi wa umma. Je wajua kuwa mwajiri mkuu wa watumishi wote wa umma nchini Tanzania,wakiwemo watumishi wote wa serikali,Bunge,Mahakama,wizara,idara,na wakala za serikali,na mashirika yote ya...
  3. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Thamani ya Kura Yako: Je Wajua Wewe Ndiye Mwajiri wa Rais wa JMT kwa Kura Yako na Kumlipa Mshahara Wake Yeye na Serikali Yake Yote kwa Kodi Yako?.

    Wanabodi Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa October, from time to time nitakuwa nafanya makala fupi za uelimishaji umma elimu kwa kujitolea kusaidia kuelimisha umma umuhimu wa kujiandikisha kupiga kura na kujitokeza kupiga kura siku ya kupiga kura. Somo la kwanza ni kuijua thamani ya kura yako. Kitu...
  4. Lugano Edom

    JamiiForums Tanzania Je wajua kwanini watu wana Roho mbaya?

    Sababu za watu kuwa na "roho mbaya" ni ngumu kuelezea kwa jibu moja rahisi, kwani ni mchanganyiko wa mambo mengi yanayohusika. Hivi ni baadhi ya sababu zinazowezekana: 1. Mfumo wa Kisaikolojia na Kibiolojia: Hali ya Akili: Watu wanaweza kuwa na matatizo ya akili kama vile ugonjwa wa...
  5. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Je wajua timu yako ya Manchester City FC haina uwanja?ule Etihad wameukodi kwa manispaa ya jiji la Manchester

    Shabiki wa Man City unayedhani Simba na Yanga kukosa viwanja ni dhambi jitafakari. Chama lenu halina uwanja Etihad unamilikiwa na nanispaa ya jiji la Manchester
  6. KakaKiiza

    JamiiForums Tanzania Je wajua? kama Whatsapp yako ina Chat GPT??

    Kama kichwa cha habari kinavyoeleza nikwamba kama unatumia smartphone basi utakuwa na Watsapp application katika hiyo simu yako, basi na katika hiyo whatsapp ytako kuna akili mnemba (AI) iliyotengenezwa na Chat GPT ili iwe rahisi kwako kuuliza vitu na kujibiwa! Je unaipataje ni Rahisi sana...
  7. Zirconium

    JamiiForums Tanzania Je Wajua !? Jino lililozibwa linadumu zaidi ya miaka 15.

    Fahamu baadhi ya Faida za Kuziba meno Yaliyotoboka 1. Meno Yaliyotoboka iwapo yatazazibwa yanadumu miaka 7-10 2. Utazuia meno yasiendelee kuharibika 3. Ubora na uimara wa jino halisi utaongezeka 4. Jino Litakuwa na uimara kama mwanzo Iwapo una changamoto za Afya Kinywa na Meno Unaweza...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Historia: Je, wajua historia ya taifa la Thamud? kwanini watu wa mji huu waliangamizwa na Mungu?

    Amani itawale. Watu wa taifa la Thamud walipata kuishi katika nchi/mji uliofahamika kama Al-Hijr kaskazini magharibi mwa taifa la Saudi Arabia hivi leo. Ni watu waliokuwa na nguvu sana na utimaku wa viwiliwili ,walikuwa na maarifa mengi ya ujenzi kiasi kwamba majumba yao waliyajenga kwa...
  9. baggio23

    JamiiForums Tanzania Je, wajua umuhimu wa logo nzuri ya biashara?

    Wasiliana nasi leo Kwa WhatsApp no 0656965704 Tukusaidie kuipa Biashara Yako Maisha. Huduma Zetu ni: Logo design Poster design Flyers design Kadi za mialiko na Harusi Business card design Banners design Cv design Social media post template Karibu Tukuhudimie Leo..
  10. Faana

    JamiiForums Tanzania Je, wajua?

    Maeneo ambayo mafuta na kiasi chake hukaa kwenye ndege Visiwa viwili vilivyo karibu sana, vikitenganishwa na kilomita 5 tu za bahari, na wakati wa msimu wa baridi, unaweza kutembea kupitia maji yaliyoganda kutoka kwa kimoja hadi kingine. Hebu wazia kwamba unaanza safari yako saa 4:00 asubuhi...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Je, wajua mwaka huku hapatakua na kumbukumbu ya kifo cha ally Hassan Mwinyi Rais wa awamu ya pili?

    Kama kichwa cha habari kinavojieleza, Rais mwinyi alifariki tar 29-02-2024 na kalenda ya mwaka huu hamna hio tarehe. Je, kutakuwa na kumbukumbu ya kifo chake kama ilivo kawaida ya kukumbuka siku za maraisi wengne walio fariki? Je, waliotangaza kifo hiki siku ya tarehe 29 hawakujua kama tar 29...
  12. Barakoa 001

    JamiiForums Tanzania Je wajua: Siasa za CCM & CHADEMA huamua bei elekezi ya vitu hivi?

    Katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi, sisi kama wananchi tunayo mengi ya kujifunza. Tunayo haja ya kuchuja sera zao kwa upana kwa maana wao hawa wanasiasa ndio huamua bei za vitu tunavyohitaji katika maisha ya kila siku. Leo nakuchapishia picha ya vyombo vya moto ambavyo wanasiasa...
  13. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Je, Wajua Japo Baba ni Kichwa cha Nyumba, Mama Anaweza Kugeuka Kichwa Akawa Baba? Wajua Rais Samia ni Kichwa kama Baba?

    Wanabodi, Nawasalimu kwa jina la JF. Angalizo la uchangiaji, hili ni moja ya mabandiko yangu ya kuwaanda Watanzani kisaikolojia kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu, nakushauri, ukiusoma uzi huu, ukijiona kama huuelewi elewi, jipitie zako tuu kwa amani, usiparamie kuchangia vitu usivyo elewa...
  14. Makungu charles

    JamiiForums Tanzania Je wajua kuhusu Super charge na turbo charge jinsi zinavyofanya kazi

    Super charge ni kifaa kinachofungwa kwenye exhaust manifold kwa ajiri ya kuongeza nguvu ya utoaji wa hewa chafu nje ya injini baada ya kuunguzwa kwa mchanganyiko wa hewa na mafuta.Lakini Turbo charge ni kifaa kinachofungwa kwenye intake manifold kwa ajiri ya kuongeza nguvu ya uingizaji wa hewa...
  15. Donnie Charlie

    JamiiForums Tanzania Asili ya jina la “CHEREHANI”

    Fundi cherehani wa kwanza wa Kihindi huko Kisumu- Kenya mnamo 1890 ambaye alianzisha Mashine ya Kushona, jina lake lilikuwa Charan Singh . Wajaluo waliamua kuiita mashine hiyo CHARAN. Waganda walilikubali jina hilo na kuliita EKYALAANI. Waswahili pia wanaita “CHEREHANI” hadi leo..
  16. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Je wajua ukitongoza mtu kwa lugha asili ya kijijini kwenu ni ngumu sana huyo mtu kukukataa?

    We jiamini tu na hakikisha wote mnaweza kuelewana kwa hiyo lugha, kwisha habari. Trust me hapo lazima mtu ang'ang'ane nawewe. ===== Kwa hisani ya Braza Kede
  17. CARIFONIA

    JamiiForums Tanzania Je, ulikuwa unafahamu kuhusu haya mambo

    Ongeza Maarifa Yako! JE, WAJUA?❓ Ndege hawakojoi. Farasi na ng'ombe hulala wakiwa wamesimama. Popo ndiye mamalia pekee anayeweza kuruka. Mifupa ya miguu yake ni myembamba sana kiasi kwamba hawezi kutembea. Hata nyoka akiwa amefumba macho, bado anaweza kuona kupitia kope zake. Licha ya manyoya...
  18. M

    JamiiForums Tanzania JE WAJUA UMUHIMU WA MAX PIG

    ■ FAIDA YA KUTUMIA MAX PIG SUPER MEAT. -Nguruwe hukuwa haraka pasipo kudumaa na kuongeza uzalishaji wa nyamaa Tamu isiyo na mafuta mengi yenye hadhi ya kimataifa. -Nguruwe kuingia joto kwa wakati na kupelekeea kuzaa watoto wengi wenye afya njema. -Huboresha kinga ya mwili hivyo nguruwe...
  19. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Je, wajua kuna alama zinazomaanisha maagano na viapo? Jitahidi sana kuzilinda ili maadui zako wasizipate

    JE WAJUA KUNA ALAMA ZENYE MAAGANO NA VIAPO? JITAHIDI SANA KUZILINDA MAADUI ZAKO WASIZIPATE. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Alama! Watu wengi hawana ufahamu Mkubwa kuhusu Elimu ya ALAMA. Alama zipo nyingi Sana na zina matumizi Mengi Sana. Alama ni kitu au Jambo linalobeba au kurejelea...
  20. wasumu

    JamiiForums Tanzania Je, wajua kuwa binadamu anaweza akafa akiwa mwanaume ila katika re birth akawa mwanamke?

    Watu wengi hawajui kifo ni nini lakini watu wengi hawajui kuwa sasa hivi unaweza ukawa mwanaume ukafa. Katika re birth ukawa mwanamke au kuku ,au jiwe au kitu chochote kile samahani kama hujui usi comment big persontalk with big person. Jesus alisema mbinguni hakuna kuoa wala kuolewa vitu...
Back
Top Bottom