je wajua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania Je Wajua Utofauti wa Maandamano ya Sasa huko Iran, na Maandamano yaliyotangulia dhidi ya Utawala wa Kiayatollah?

    Baada ya Mapinduzi ya Kiislamu ya 1979, Utawala wa Kiayatollah umekumbwa na maandamano mwaka 1999, 2009-2010; 2017-2018; 2019 na 2022-2023. Katika maandamano hayo yote sababu kubwa zimekuwa madai ya Haki za Msingi kwa Wananchi na Mabadiliko ya Mfumo wa Kisiasa. Kwa sehemu kubwa maandamano hayo...
  2. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania Je wajua kuwa Pweza wana mioyo mitatu, bongo tisa na damu ya rangi ya bluu?

    Ukweli ambao watu wengi hawaujui kuhusu Pweza ni kwamba ni kiumbe pekee cha majini chenye mioyo mitatu. Mioyo miwili husukuma damu kwenda kwenye mapafu ya baharini (gills), na moyo mmoja husukuma damu kwenda sehemu nyingine za mwili. Damu yake ina rangi ya bluu kwa sababu hutumia madini ya shaba...
  3. Ricky Blair

    JamiiForums Tanzania Je wajua asili ya neno Punyeto?

    Asili ya neno punyeto Neno punyeto katika Kiswahili linamaanisha kujichua / kujichezea sehemu za siri. Asili yake Punyeto limetokana na Kireno (Portuguese) Neno la asili ni punheta, ambalo pia linamaanisha masturbation kwa Kireno. Jinsi lilivyoingia Kiswahilini Wareno walifika na kutawala...
  4. Albano Daud

    JamiiForums Tanzania Je, wajua nusu Hekta unaweza kuvuna gunia hamsini za mahindi?

    Nimehuzunika mno kuona watu wanafanya kilimo bila kuwa na mafanikio kwa mda mrefu. Japokuwa watu wamejikita sana kwenye kilimo kwa mda mrefu lakini wameambulia kuchoka haswaa. Lengo la uzi huu ni kuwashauri na kuwatia moyo wakulima kuwa wanao uwezo wa kulima nusu hekta na kuvuna gunia hamsini...
  5. OLS

    JamiiForums Tanzania Je wajua kwa nchi zilizoendelea, kukopa na kununua kwa fedha taslim gharama ni sawa?

    Bongo imekuja huduma ya kukopa simu kwa sasa ambapo simu hizo zinalipwa kwa siku. Hili suala la kulipa kwa siku lenyewe kwanza ni mtihani lakini pia gharama ya simu inaongezeka mara dufu. Hivyo anayekopa hakuna kitu anaepuka, maana kama unalipa 2100 kwa siku ujumlishe na hela ya kifurushi maana...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Habari njema, je wajua unaweza kumiliki Tv yako au Redio yako kwa njia ya mtandaoni ?

    Habari wakuu, Katika zama hizi za maendeleo ya teknolojia ya kidijitali, umiliki wa televisheni na redio hauhitaji tena njia za kizamani kama vile kuwa na mitambo mikubwa, studio za gharama kubwa, au leseni ngumu za urushaji. Sasa, mtu yeyote anaweza kumiliki televisheni au redio ya mtandaoni...
  7. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Je wajua?

    Kampuni YouTube iliondoa trending video kwenye app Yao sasa trending utaipata kwenye app Yao nyingine inayoitwa YouTube music ambayo imeunganishwa na YouTube yenyewe ukiingia kwenye app Yao utaikuta kama hivi Ukiingia kwenye app utaikuta kama hivi sasa Kuna top charts na top artists yaani...
  8. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Je Wajua Kuna Aina Mbili za Malaika na Shetani?. Kuna Malaika na Shetani wa Mbinguni ambao ni Pepo na Malaika na Shetani wa Duniani ambao ni Watu?.

    Wanabodi Je wajua kuna aina mbili za Malaika na Shetani?. Kuna Malaika wa Mbinguni ambao ni pepo na kuna malaika wa duniani ambao ni watu ni binadamu, na kuna ma shetani wa motoni ambao ni mapepo na kuna mashetani wa duniani ambao ni watu ni binadamu kabisa lakini ni ma shetani!. Malaika wa...
  9. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Je Wajua Kwamba CCM wanapambana kwa nguvu zote utabiri wa Shekh yahya usitimie?

    GT Jamani huwezi kupambana na nature. maCCM nawaonea huruma. Mnaumwa halafu hamtaki kumwona daktari. Hii nguvu mnayotumia kwa sasa kupambana na upinzani haijwahi kutokea Lakini pia mwamko wa watanzania kuwakataa ninyi upo katika kiwango cha juu mno katika historia ya Tanzania. Je mtaweza au...
  10. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Je wajua kwa nini mkoa wa Tanga ni wa 3 kwa kuwana maghorofa mengi nchini?

    Mkoa wa Tanga unechanganya tamaduni za kizunguna kiarabu ambazo zimeathiri architec ya majengi yake Waarabu walikaa sana mwambao wa Tanga kuanzia Pangani mpaka Tanga mjini,huko kote waliacha majengo ya ghorofa, Ukija wilaya za handeni,korogwe na Lushoto,mjerumani alipapenda sana na kuacha...
  11. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Zijue aina za chale/mihuri ya kichawi jinsi zinavyotumaliza kiroho na kuchafua yota zetu huku tukipata mikosi.

    Chale za wanga ni aina ya mihuri ambayo huwa anawekwa mtu usoni na wachawi. ukishawekwa mihuri hiyo huwa ni ngumu kutibika na huishia kuumwa mpaka uifute mihuri hiyo ambayo ni alama ndogo sana na hujulikana nakuonekana kwa wenye ujuzi. Mtu kwenda kwa mtaalam na kuchanjwa chale ni ishara ya...
  12. Ricky Blair

    JamiiForums Tanzania Je wajua Ireland wana festival ya watu wenye nywele nyekundu?

    Je wajua nchi ya Ireland huwaga wana tamasha au festival ya watu wenye nywele nyekundu kila mwaka. Pia Ireland ni nchi inayoongoza duniani kuwa na watu wenye nywele nyekundu asilia bila kuweka bleach.
  13. Clever505

    JamiiForums Tanzania Je wajua kwamba Allah kwenye Quran anasema anahitaji kunusuriwa?

    Kwa upande wangu nimeshangaa sana kuona Mungu Allah anahitaji wanadamu wamnusuru. Kwa yeyote anayejua naomba msaada wa kuielewa hii Aya, 47:7 Enyi mlioamini! Mkimnusuru Mwenyezi Mungu naye atakunusuruni na ataithibitisha miguu yenu. Allah ana matatizo gani ambayo anahitaji wanadamu wamnusuru...
  14. Lugano Edom

    JamiiForums Tanzania Fahamu kwanini hupaswi kukata tamaa katika maisha yako

    --- Hatupaswi kukata tamaa kwa sababu ni hali ya kawaida ya binadamu kupitia changamoto, lakini pia tuna uwezo wa kipekee wa kukabiliana na kuzishinda. Kukata tamaa ni kizuizi kikubwa kinachotuzuia kufikia malengo yetu na kuishi maisha yenye kuridhisha. Hapa kuna sababu kuu za kutokata tamaa...
  15. Tume Haki Binadamu(THBUB)

    JamiiForums Tanzania JE WAJUA

    Toa taarifa kuhusu uvunjivu wa haki za binadamu
  16. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Japo Katiba ni 'Kakitabu Tu', Kwenye Nchi, Katiba Ndio Kila Kitu, Bila Mabadiliko Madogo ya Katiba Uchaguzi Mkuu Utakuwa ni Null & Void Ab Initio?

    Wanabodi, Hii ni makala yangu gezeti la Mwananchi. Leo, naendelea na zile makala za Ijue Katiba ya JMT, leo nikijikita kwenye umuhimu wa mabadiliko madogo ya katiba, minimum reforms, kuna Watanzania wengi wamelisikia hili neno minimum reforms, baada ya Chadema kulivalia njuga na kutoa kauli...
  17. Z

    JamiiForums Tanzania Je wajua kuwa wanawake wote si sawa?

    Tulifundishwa kuwa Kuna milango mitano ya fahamu.na Kila mlango una kazi maalum 1.macho : Kuna 2.sikio : kusikia 3.pua: kunusa 4.ukimi : kuonja 5.ngozi : kuhisi Linapokuja swala la tendo la ndoa ,hapa kinachofanya kazi ni ubongo ,uke na ume Uke na ume vina ngozi .viunge hivi havina uwezo wa...
  18. Ricky Blair

    JamiiForums Tanzania Je Wajua Jina la Mozambique limetokea wapi?

    Je wajua Jina la Mozambique limetokea wapi??? Limetokana na mtawala na mfanyabiashara wa kiarabu kutoka Oman ambaye jina lake lilikuwa Musa Bin Bique na eneo aliokuwa anatawala lilikuwa pwani mwa kazkazini kama Maeneno ya Tanzania na Kenya yaliyokuwa chini ya Sultanane ya Oman. Kwaiyo Musa Bin...
  19. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Je wajua haya!?

    -Panya Hawezi Kutapika.🐭 -Nyoka anaweza kulala kwa miaka 3.🐍 -Asali ndio chakula pekee kisichoharibika.🐝 -Twiga hawawezi kuogelea.🦒 -Nyoka hawasikii.🐍 -Mchwa hawawezi kulala.🐜 -Hedgehog hawazami majini.🦔 -Dubu wa polar wana mkono wa kushoto.🐻 -Nzi wana macho 5.🦗 -Pomboo hulala na jicho moja...
  20. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Je wajua kuna kipande cha Pori la Simanjiro wameishakabidhiwa Waraabu? Hizo tuzo sio za Bure bure tu.

    Simanjiro kule kumeisha anza kuchangamka, Mwarabu kaanza kukabidhiwa mapema sana maeneo. Hata sakata la Olesendeka kutaka kupigwa risasi lilikuwa na uhusiano na sakata la Pori la akiba kule Simaniro kupewa Mwarabu. Kipande alicho pewa ni kinacho pakana na Kilindi, hii ni treal move kamili ni...
Back
Top Bottom