january makamba

  1. Memento

    JamiiForums Tanzania Combination ya Zitto na January Makamba

    Sio siri tena kuwa kuna combination ya Zitto na January kwenye wizara ya nishati. January aliteuliwa kuwa waziri wa nishati, zitto alisema ni teuzi nzuri na sasa tutashuhudia mabadiliko makubwa sana ya nishati nchini ambayo hatukuwahi kuyaona. January aliunda bodi mpya ambayo wengi waliona...
  2. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Tuacheni kumsingizia January Makamba mambo mazito namna hii

    Ni uongo na uzandiki mkubwa kusema au kutaka aminisha watu kuwa January Makamba yupo smart kuchwani. Uongo na uongo ni dhambi. Hizi Kampeni zimepigwa miaka mingi na watu flani vilaza na walioamua kujitoa akili. Hawa huwa tu wanaenda na upepo wakiwa na stress wanatafuta hero hasa wanapokosa...
  3. Memento

    JamiiForums Tanzania January Makamba: TANESCO sasa wamesitisha miradi ya ujenzi wa maofisi na kuelekeza fedha kukarabati miundombinu ya Ugavi

    Leo Mh. Makamba kupitia account yake alikuwa akijibu suala la umeme kukatika. Lakini majibu yake yamejaa walakini. Makamba anasema umeme zamani ulikuwa haukatiki kwa sababu watu walikuwa na hofu ya kufukuzwa hivyo walihakikisha umeme haukatiki, hali iliyopelekea kutofanya rapair. Sasa hivi...
  4. James Martin

    JamiiForums Tanzania January Makamba akiweza kutatua tatizo la umeme nchini atakuwa amejisafishia njia

    Hivi sasa nchi inapitia wakati mgumu kwa watumiaji wa umeme na mafuta. Kwa mtazamo wangu naona hizi changamoto zitakuwa zinamkosesha usingizi waziri husika. Lakini kuna kitu kinaniambia kwamba huyu kijana hatokubali kushindwa kuzitatua hizi changamoto. Sababu kubwa ni kwamba yeye anajua fika...
  5. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Makamba: Mradi wa JNHPP upo nyuma kwa siku 477 (yaani mwaka na zaidi ya siku 100)

    Hivi huyo Makamba anatugeuza Watanzania wote mazwazwa eti?! Yaani mambio yooote yale ya yule msukuma Kalemani kabla hajafutwa tulipokuwa tunamuona huko Rufiji huku kazi zikiendelea eti leo Makamba anatujuza mradi upo nyuma kwa siku zote zile?! Yaani ukali wote wa Hayati JPM hasa alivyokuwa...
  6. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania January Makamba, umeme umekatika mkoa wa Kilimanjaro masaa 6 hadi sasa

    January Makamba, eleza watanzania halisi, hakuna umeme Kilimanjaro sasa ni masaa sita tangu ukatike. Usitegemee wananchi waishi gizani wapige kura kuchagua chama Tawala na hakuna wizi wa kura tena . Uswahili ulisahaulika enzi za JK sasa usitegemee uswahili tena.
  7. Etwege

    JamiiForums Tanzania Nape na Makamba mjue kujaribu kumshusha thamani Hayati Magufuli, ni sawa na kumfuata mamba kwenye kina kirefu cha maji

    Nape Nnauye aliposimama mbele ya bunge na kuhoji matumizi ya mkopo wa Dola bilioni 9 uliokopwa na serikali ya awamu ya tano, Wabunge baadhi waliduwaa na wengine wakagonga meza, walikubali? Hatujui, walikataa? Hatujui? Aliyekuwa Rais wa Awamu ya nne, Jakaya Kikwete aliwahi kusema kwamba...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Waziri January Makamba hana msaada wowote kwenye Wizara ya Nishati. Tumechoka!

    Itoshe tu kusema kwa sasa hatuoni faida yoyote ya waziri wa nishati, huduma mbovu na za hovyo za sasa kwa mara ya mwisho tuliziona miaka ya 2012 huko Hapa nilipo mpaka sasa hakuna umeme tangu saa mbili asubuhi sasa hivi inaelekea saa 12 jioni hakuna umeme, Mnategemea sisi wananchi...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Kutoka Ukumbi wa Mlimani City: Mkutano wa January Makamba Kutangaza nia ya Urais

    WanaJF, KAULI MBIU YA JANUARI MAKAMBA: TANZANIA MPYA Ikiwa ni muendelezo wa watangaza nia kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), sasa ni zamu ya January Makamba kutangaza nia kutokea Mlimani City. -January Makamba anaomba ridhaa ya chama kusimamishwa kuwa mgombea wa urais kufuatia wana CCM 15...
  10. Replica

    JamiiForums Tanzania Waziri Makamba: Hakuna uhaba wa mafuta nchini, amtaka Mkurugenzi wa TPDC akajieleze kabla hawajachukua hatua

    January Makamba: Hakuna uhaba wa mafuta nchini. Hakuna sababu ya kuwa na taharuki. Utaratibu wa kuingiza mafuta unahakikisha kwamba mahitaji yapo wakati wote. Serikali inaendelea kuchukua hatua kuongeza uhakika wa upatikanaji na unafuu wa bei. Akijibu swali la mdau alieuliza mkanganyiko kati ya...
  11. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania January Makamba, Tanesco Hakuna nguzo wala meta kwa wateja wapya nchi nzima , habari hizi unazo?

    Kwa masikitiko makubwa sana Tanesco nchi nzima hakuna nguzo wala mita kwa wateja wapya. Tatizo ni nini? Cha kushangaza na kufurahisha mteja mpya akishapimiwa umeme kama line yake inahitaji nguzo mteja haruhusiwi kulipia wala hapewi control number. Kalemani alikuwa anapata wapi nguzo na...
  12. Elitwege

    JamiiForums Tanzania Waziri Makamba: Ujenzi wa tuta kwenye Bwawa la Mwalimu Nyerere umekamilika

    Waziri wa nishati mh January Makamba ametoa taarifa ya maendeleo ya ujenzi wa bwawa la kufua umeme la mwl Nyerere bungeni kuwa pamoja na kwamba ujenzi wa tuta lenye urefu wa mita 190 umekamilika lakini bado hawataweza kuanza kujaza maji tarehe 15 /11 /2021 kama ilivyokuwa imeahidiwa kutokana na...
  13. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Makamba: Gesi ya Mtwara kuanza kuchimbwa 2025

    Waziri wa Nishati, January Makamba amesema Serikali imeanza mazungumzo na wawekezaji kutoka kampuni ya Equinor na Shell zinazotarajiwa kutekeleza mradi wa uchimbaji gesi asilia Kusini mwa Tanzania, mradi utakaogharimu shilingi trilioni 70 Waziri Makmba ameyasema hayo jijini Arusha akizungumza...
  14. I wish i have

    JamiiForums Tanzania Waziri Makamba: TANESCO mpya imezaliwa leo, tunataka iendeshwe kibiashara

    Waziri wa Nishati, Mhe. January Makamba amesema ni wakati sasa Shirika la Umeme Tanzania TANESCO kuanza kujiendesha kibiashara, kwa ufanisi ili kuchangia uchumi wa Taifa. Mhe. Makamba amesema hayo leo Septemba 26, 2021 wakati akizungumza na Mameneja wa TANESCO wa ngazi ya Kanda, Mikoa, Wilaya...
  15. Anna Nkya

    JamiiForums Tanzania Waziri Makamba: Sasa Serikali itanunua shehena ya mafuta moja kwa moja kutoka kwa wazalishaji

    TAARIFA KWA UMMA KUTOKA WIZARA YA NISHATI KUHUSU ZIARA YA WAZIRI JANUARY MAKAMBA Kama inavyofahamika, bei ya mafuta ghafi duniani imeendelea kupanda kwa kasi na kwa kiwango kikubwa, kutoka dola 50 kwa pipa mwezi wa Januari mwaka huu hadi dola 86 kwa pipa leo tarehe 31 Oktoba 2021. Hali hii...
  16. Kiturilo

    JamiiForums Tanzania January Makamba ni lini utaanza kufanya ziara kukagua usambazwaji wa umeme?

    Ni miezi kadhaa sasa imepita tangu waziri mpya wa nishati bwana January Makamba ateuliwe na rais Samia Suluhu kushika nafasi hiyo. Waziri Makamba tangu ateuliwe amefanya ziara Kigoma tu tena mjini mjini baada ya kupewa maagizo na makamu wa rais afike huko kutatua kero ya kukatika katika umeme...
  17. Cobra70

    JamiiForums Tanzania Urais unamfaa January Makamba kwa sasa

    January Makamba kwa mtazamo wangu namuona ni mtu ambaye yupo smart sana kichwani, ana busara, mtulivu, si mpenda sifa bali ni mchapa kazi, si mtu wa media sana na hakurupuki kataka maamuzi yake bali ni mtu wa kujiridhisha Kwanza hivyo anafaa sana. Huyu anawajua matajiri vizuri. Antony Mutaka...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Waziri January Makamba unakwenda kufeli kutokana na sababu hizi

    Nikiri January ana uwezo mkubwa wa akili ila siyo mjuvi wa mambo yote. January siyo mtaalamu ila ni Kiongozi wa kisiasa. Januari anazo sifa zote za Kiongozi wa kisiasa lakini Hana sifa zote za Kiongozi wa taasisi. Ana mapungufu, na mapungufu aliyonayo ndiyo yaliyopelekea muundo wa taasisi za...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini Waziri January Makamba anaongoza majadiliano ya Wizara peke yake?

    Habari zenu Wana wa JF. Ukiingia katika ukurasa wa Twitter wa Mheshimiwa January Makamba Waziri wa Nishati, utabaini Jambo. Jambo hilo sio jingine bali ni yeye kualika wataalamu na wadau wa Nishati kutoka maeneo mbalimbali duniani. Wataalamu hawa wamekuwa wakija wizarani ama waziri kukutana...
  20. luangalila

    JamiiForums Tanzania TANESCO wilaya ya Kibaha ni wababaishaji sana

    Waziri Makamba Ukipata wasaa wa kupitia UZI huu basi usisite kutembelea hii ofisi ya TANESCO Kibaha. Wiki mbili zilizopita nilifika ofisi ya TANESCO Kibaha nikirejesha fomu yangu ya maombi ili niweze kupangiwa Surveyor, nikiwa pale ofisini kwao nikaona Tangazo ambalo lilihusu upimaji (surveyor)...
Back
Top Bottom