january makamba

  1. J

    Waziri January Makamba anamaanisha Magufuli alikuwa akiwakatia umeme watumiaji wakubwa na kuwatisha wakae kimya?

    January Makamba akijibu hoja za wabunge kuhusu kukatika kwa umeme, kwanza alimlaumu mbunge Musukuma kwa kumshambulia yeye binafsi na kueleza kazi ya ubunge sio kushambuliana na kama ana matatizo na yeye kuwa waziri au samia kuwa rais apeleke kwingine lakini sio kwenye masuala ya nchi. Pamoja na...
  2. Sifi Leo

    Nini chanzo cha ugomvi wa January Makamba na Musukuma?

    Kwa aliyefatilia kikao cha Jana cha Bunge atakuwa amepata picha kile ninachojaribu kuelezea hapa. Musukuma anamtupitia mashambulizi makali Mh Makamba kwa kutoa ushahidi wa kile alichokuwa anakiona wakati akiwa mjumbe wa kamati ya nishati kwa miaka 6 sasa. Na Makamba anajibu mashambulizii...
  3. Planet FSD

    January Makamba ni tatizo linalohitaji kushughulikiwa haraka sana

    Wakuu sijui huyu waziri ana shida gani. Alikuwa very promising kule wizara ya mazingira. Lakini tangu aletwe huku wizara ya nishati imekua ni kituko baada ya kingine. Kulikuwa hakuna tatizo la kukatika umeme kipindi chote cha magufuli. Ila baada ya tu ya January kuletwa huku umeme ukaanza...
  4. Idugunde

    Mikataba anayoingia Waziri Makamba ina mkono wa mkuu wa nchi? Kwanini hatusikii akiikemea? Wananchi wanabakia kunung'unika Taifa lao kufisadiwa

    Alianza na mkataba wa bil takribani 70 ambao Tanesco iliingia mkataba na Mahindra tech ya India kwa ajili ya kukodi software ambayo itafanya shughuli za Tanesco ziwe za kidigitali na kuongeza ufanisi kiutendaji. Mpaka sasa kila Mtanzania anahoji na kujiuliza ni software gani hiyo ambayo...
  5. Mukulu wa Bakulu

    TPDC yaingia mkataba na Kampuni ya Uingereza ya Baker Botts kwa ajili ya ushauri wa Kisheria

    Zile zama za makampuni ya nje kupiga hela kwa mgongo wa ushauri zimerudi. TPDC imeingia mkataba ya kampuni ya Uingereza za Baker Botts kwa ajili ya ushauriwa kisheria kwenye mikataba ya gesi. Hivi Tanzania bado hatuna kampuni zenye uwezo wa kutoa ushauri wa kisheria hadi tutoe Ulaya...
  6. waziri2020

    Waziri Makamba avunja Kitengo cha Habari na Mawasiliano TANESCO kwa tuhuma za kushindwa kulisemea Shirika

    Mwandishi wetu, Arusha Waziri wa Nishati, January Makamba ameagiza kuondolewa Mara moja Afisa Habari wa Shirika la Umeme nchini (Tanesco) huku akiagiza kuvunjwa kwa idara ya uhusiano wa shirika hilo na kuwekwa watu wapya. Mbali na agizo hilo pia amegiza hatua za haraka zichukuliwe kwa...
  7. DENLSON

    January Makamba, uliteuliwa ili usimamie ukatwaji wa umeme?

    Ni ajabu sana kwamba kwa miaka 5 hatuwahi kuwa na tatizo la umeme kukatika mara kwa mara kama ilivyo sasa. Wote tunajua umeme ulikuwa ukikatika lakini sio kwa kasi hii iliyopo sasa hasa baada ya uteuzi wa January Makamba kama Waziri wa Nishati. Uteuzi wako ulifuatiwa na uamuzi wa wewe kuvunja...
  8. C

    January Makamba anakubalika sana Tabata

    Niko tabata chama hapa natoa loki kwa kupiga double kick mbili zenye thamani ya 4000 pembeni yamekaa majamaa mawili yenye sura na matumbo ya kifisadi yanakunywa wine na kitimoto Ghafla umeme umekatika wakati tunalalamika majamaa yakaanza kutuambia tumpe muda mr kipara anatuletea umeme wa uhakika...
  9. Nyankurungu2020

    Watanzania hawana imani na Waziri wa Nishati January Makamba, anapaswa kuachia ngazi, asipoachia Rais amuondoe

    Kila kona manug'uniko ya Watanzania ni juu ya dalili za wizara nyeti ya nishati na umeme kuwa na waziri ambae watu hawana imani nae. Tangu ateuliwe kuwa waziri basi taifa limekuwa na mauzauza tu juu ya upatikanaji wa umeme na hata uongozi na uendeshaji wa Tanesco. Kitendo cha watanzania...
  10. Ngungenge

    January Makamba anaongea kwa vitendo, umeme watengamaa

    Baada ya kelele nyingi zilizotokana na kukatika kwa umeme mara kwa mara wakati tanesco wakifanya marekebisho kwenye mkongo wa taifa na kutokana na kupungua kwa maji katika mabwawa ya umeme hatimaye nchi imetulia baada ya wiki kadhaa kuwa na utengamano na kupungua kwa kiasi kikubwa kwa mgao wa...
  11. Leak

    Waziri January Makamba, siku mbili za miujiza ulizotuahidi tunakukumbusha zimekwisha

    Waziri siku ya Jumatatu ulitoa tamko na kutuahidi watanzania kuwa baada ya siku mbili utakuja na suluhu ya tatizo la umeme na ukame unaoikabili nchi yetu kwa sasa. Waziri leo ni Jumamosi lakini tunaona uko kimya wala huna habari kabisa na umesahau kama ulitoa ahadi ya kutupatia muujiza ndani...
  12. Kamanda Asiyechoka

    Katiba Mpya kuondoa tatizo la umeme Tanzania ni kwa kuwawajibisha mawaziri kama January Makamba

    Kama taifa letu litapata Katiba mpya basi tatizo la umeme hapa nchini Tanzania litakwisha kabisa. Maana kama tutakuwa na mawaziri mizigo na wazembe wenye harufu za ufisadi basi itakuwa ni suala kuwaondoa kwa nguvu ya umma tu. Rasimu ya Warioba ilipendekeza Mawaziri wasiwe wanateuliwa kati ya...
  13. James Martin

    Hivi kwanini kuna watu wakisikia jina la January Makamba wanapatwa na hofu?

    Kwa siku kadhaa sasa nikipitia humu JF naona jina la January Makamba linatajwa sana, hasa kwa mabaya. Lakini cha kushangaza watu hao wanaomsema kwa mabaya hawana ushahidi wowote. Kitu kingine ambacho sikielewi ni kwamba huyu kijana amekuwa waziri kwa takribani miezi mitatu sasa lakini watu...
  14. Suzy Elias

    Je, kampuni ya Wind East Africa ya Wamarekani wenye uswahiba na January Makamba kupewa tenda ya umeme wa upepo?

    Kampuni ya Marekani inayojishughulisha na ufuaji wa umeme wa upepo iliyopigiwa debe mwaka 2013 na Rais Obama ili ije kufua umeme wa upepo kule Singida huenda ikapewa tenda hiyo mapema mwishoni mwa mwaka huu ama mapema mwakani. Ikumbukwe ndugu Rashid Shamte ambaye ni boss wa hiyo kampuni hapa...
  15. Erythrocyte

    Nehemia Mchechu na Lawrence Mafuru warejea ulingoni, January Makamba awateua Wajumbe wa Bodi ya TANESCO

    Taarifa kamili hii hapa
  16. Z

    Majungu na fitina dhidi ya Waziri wa Nishati nani yupo nyuma?

    Kuna majungu na fitina yanapikwa dhidi ya Waziri wa Nishati mhe. January Makamba, nauliza nani au kikundi gani kipo ktk kupanga majungu hayo dhidi ya Makamba? Hoja zinazo tolewa dhidi ya Makamaba ni za kipuuzi na zilizo jaa chuki dhidi ya Makamba binafsi. Hii tabia ya watanzania kufitiniana na...
  17. Ngungenge

    January Makamba hawezi kufanya propaganda mbele ya Rais Samia. Huu ni wakati wa vitendo, January chapa kazi

    Mifuko ya plastic nchi hii iliondolewa bila hata Mende kuguswa kitu ambacho mwendazake na serikali nzima hawakuamini. Wananchi wa Tanzania walistaajabu uwezo na akili yake na mikakati yake kufanikisha suala la mifuko bila kutumia polisi wala vyombo vingine vya Usalama. Kila moja anakumbuka wivu...
  18. Etwege

    Godbless Lema: Rais Samia na Makamba wanatafuta mbinu za kumbebesha lawama hayati Magufuli

    Mbunge wa zamani wa Arusha mjini aliyetimkia Ulaya baada ya maisha kumpiga kwa kuzidiwa na madeni Godbless Lema amefichua mbinu chafu za kutaka kumsingizia kila kitu na kumtafutia lawama aliyekuwa Rais wa awamu ya tano hayati Magufuli. Lema amefunguka zaidi kwa kusema Rais Samia na waziri wake...
  19. Memento

    Combination ya Zitto na January Makamba

    Sio siri tena kuwa kuna combination ya Zitto na January kwenye wizara ya nishati. January aliteuliwa kuwa waziri wa nishati, zitto alisema ni teuzi nzuri na sasa tutashuhudia mabadiliko makubwa sana ya nishati nchini ambayo hatukuwahi kuyaona. January aliunda bodi mpya ambayo wengi waliona...
  20. Komeo Lachuma

    Tuacheni kumsingizia January Makamba mambo mazito namna hii

    Ni uongo na uzandiki mkubwa kusema au kutaka aminisha watu kuwa January Makamba yupo smart kuchwani. Uongo na uongo ni dhambi. Hizi Kampeni zimepigwa miaka mingi na watu flani vilaza na walioamua kujitoa akili. Hawa huwa tu wanaenda na upepo wakiwa na stress wanatafuta hero hasa wanapokosa...
Back
Top Bottom