january makamba

  1. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini Waziri January Makamba anaongoza majadiliano ya Wizara peke yake?

    Habari zenu Wana wa JF. Ukiingia katika ukurasa wa Twitter wa Mheshimiwa January Makamba Waziri wa Nishati, utabaini Jambo. Jambo hilo sio jingine bali ni yeye kualika wataalamu na wadau wa Nishati kutoka maeneo mbalimbali duniani. Wataalamu hawa wamekuwa wakija wizarani ama waziri kukutana...
  2. luangalila

    JamiiForums Tanzania TANESCO wilaya ya Kibaha ni wababaishaji sana

    Waziri Makamba Ukipata wasaa wa kupitia UZI huu basi usisite kutembelea hii ofisi ya TANESCO Kibaha. Wiki mbili zilizopita nilifika ofisi ya TANESCO Kibaha nikirejesha fomu yangu ya maombi ili niweze kupangiwa Surveyor, nikiwa pale ofisini kwao nikaona Tangazo ambalo lilihusu upimaji (surveyor)...
  3. 2019

    JamiiForums Tanzania January Makamba acha uongo na unafiki, maneno yako kuhusu umeme huyatekelezi

    Sijajua rais Samia alimpendea nini. Nakumbuka siku ameingia ofisini alisema umeme ukikatika meneja wa eneo hilo hana kazi. Jambo la kushangaza toka ameingia ofisini umeme umezidi kukatika kuliko alivyokuwa Kalemani. Mbagala kila umeme unakatika bila hata taarifa sijasikia meneja kafukuzwa kama...
  4. Kinuju

    JamiiForums Tanzania Waziri Makamba ujue siyo kila kitu ni cha kubinafisisha

    Waziri wa Nishati January Makamba ajulishwe kuwa kwenye taifa siyo kila kitu ni cha kubinafisishwa kwa masilahi mapana ya taifa. Umeme Bandari Reli Viwanja vya ndege Mbuga etc Baba wa taifa Mwl Nyerere kwenye hotuba yake moja mwaka 1995 alikemea vikali akili ya kuchukua mali ya uma na...
  5. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Mwambieni January Makamba kwamba umeme umeanza kukatika ovyo Dar es Salaam

    Huku Dar umeme umeanza kukatika hovyo hovyo tena sahivi unakatika muda mrefu sana hadi masaa 8. Juzi nilikua sehemu fulani nje ya mji umeme ulikatika kuanzia saa 1 asubuhi hadi saa 1 usiku ndo walirudisha. Dalili za kuonyesha hali sio shwari ni pale umeme ukirudi watu wanashangillia hii sio...
  6. benzemah

    JamiiForums Tanzania Safari ya Makamba Wizara ya Nishati, Rushwa, Kuachia ngazi na Mengineyo toka 2010

    Alipoingia bungeni kwa mara ya kwanza mwaka 2010, January Makamba alipata nafasi ya kuhudumu katika nafasi ya Mwenyekiti wa Kamati nyeti ya Nishati na Madini ikiwa ni Wiki chache tu tangu kuingia kwake bungeni. Ilikuwaje akaaminiwa katika nafasi hiyo? Na nini kilipelekea kamati hiyo kuvunjwa...
  7. F

    JamiiForums Tanzania January Makamba hili la Uteuzi wa Bodi ya TANESCO limekufunua mapema sana!!!

    Ndugu zangu Watanzania penye ukweli lazima tuseme hii Nchi ni yetu sote si ya watu fulani tu na siyo kwamba wengine wamekuwa Watanzania by default! Nimeona nitoe mtazamo wangu ambao ninao kuhusu huu uteuzi wa January Makamba ktk Bodi ya TANESCO. Kwanza Watanzania tukumbuke kuwa Wizara ya...
  8. S

    JamiiForums Tanzania January nenda taratibu

    Kama ulivyokuwa na busara na utaratibu, upole na busara ulipokuwa huna kishikio, na sasa baada ya kupata kishikio usibadilike ukataka hata kuelekeza makali kukata walioshika upande wa makali. Bado mdogo watu wanahitaji kukuweka kwenye mizani kukupima kama hutumii mpini uloshika vibaya. Acha...
  9. Gerad2008

    JamiiForums Tanzania Waziri January Makamba tusaidie kupata fidia zetu TANESCO

    Sisi wananchi wa Makuyuni mkoani Arusha tunaomba tukuletee kilio chetu cha kudhulumiwa fidia zetu na watumishi wa TANESCO mkoa na makao makuu. Majina yao yameorodheshwa chini Mwaka 2017 tathmini kwa ajili ya upitisha umeme wa msongo wa kilovolt 400 ilifanyika eneo la Makuyuni Wilaya ya Monduli...
  10. Chendembe

    JamiiForums Tanzania Tunasubiri kauli ya Waziri wa Wizara ya Nishati juu ya bei elekezi ya kuunganishwa umeme

    Wanabodi, bila shaka tunafahamu kauli za mtangulizi wa Wizara ya Nishati kuhusu malipo ya gharama za kuunganishiwa umeme ya TZS 27,000. Nafikiri tuliowengi tuliunga mkono tamko hilo kwa mantiki kwamba miundombinu si mali ya anaeunganishiwa. Hata hivyo, kwa maoni yangu ni Kama vile kumekuwa na...
  11. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania January Makamba Apewe Nafasi... Mtoto Akianguka Humkati Miguu

    Na. M. M. Mwanakijiji Mzazi yeyote anajua mojawapo ya kanuni kubwa za kumfunza mtoto; ni kumuacha wakati mwingine aanguke. Sasa humuachi aanguke mahali pa hatari au ambapo anaweza kuumia vibaya; bali unamuacha aangukie mahali ambapo ataweza kujipukuta na kusimama tena hata kama baadaya kulia...
  12. M

    JamiiForums Tanzania January Makamba, shughulikia suala la umeme kukatikakatika ovyo, hili ni tatizo

    Sasa hivi TANESCO wanakata umeme, hawatoi taarifa, biashara na shughuli zetu zinasimama. Huu ujinga utaisha lini nchi hii? Mmeturushia zigo la sisi watumiaji umeme kulipa kodi ya majengo, halafu mnatuambia sisi tumalizane na wenye nyumba HALAFU bado hata umeme huo mnaukatakata. Hivi nyie...
  13. El Roi

    JamiiForums Tanzania Naiona Wizara ya Nishati ikifanya vibaya sana chini ya January Makamba

    Nikiri mwanzoni kabisa mwa andiko langu kwamba sifurahii na Wala siuzuniki Kwa mabadiliko chanya au hasi ya baraza la mawaziri au chochote katika nchi hii. Na sababu ni kwamba Mimi ni muumini wa mambo makubwa ya kimfumo kama vile katiba inayoendana na Hali ya Sasa ya nchi na dunia kwa ujumla...
  14. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Kwa uzandiki aliofanya January Makamba kwa Hayati Magufuli hakupaswa kuteuliwa kuwa waziri. Uzandiki dhidi ya Rais ni kosa kubwa sana

    Japokuwa uteuzi huwa ni bakshishi za kisiasa kwa watu wa karibu wa mwenye mamlaka lakini teuzi lazima zizingatie maadili,utii na sifa njema. Urais ni taasisi na sio mtu mmoja tu. Kama January alionyesha uzandiki na hila kwa rais aliyepita na kisha akanaswa akimsengenya kimajungu mkuu wa nchi...
  15. zimmerman

    JamiiForums Tanzania Tanzania leader reinstates minister sacked by predecessor

    Hii ndio habari ya kuvutia kwa vyombo vya habari vya Magharibi kuhusu cabinet reshuffle? ----- Tanzania leader reinstates minister sacked by predecessor Mon, September 13, 2021, 4:06 PM Hassan put Makamba in charge of the strategically important ministry of energy (AFP/-) Tanzania's...
  16. troiker

    JamiiForums Tanzania Medard Kalemani kazi nzuri aliyoifanya nishati anaondolewa ili Makamba aingie kumalizia kiulaini na sifa ziwe zake kuelekea Urais 2030

    Kalemani akiwa Waziri wa Nishati kapambana sana chini ya hayati Magufuli kukomesha mgao wa umeme ,kadhalika kusambaza umeme vijijini kwa bei nafuu kabisa. Usimamizi mzuri wa JNHP huko rufiji. Baada ya Samia kukamata hatamu tumeshuhudia nguvu ya matajiri kupanga safu maeneo nyeti ya raslimali...
  17. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mawaziri na Mwanasheria Mkuu wa Serikali waapishwa Ikulu, Dodoma

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewaapisha Mawaziri wateule wanne na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Ikulu Chamwino Jijini Dodoma Mawaziri ni Dkt. Stergomena Tax Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, January Makamba Waziri wa Nishati, Prof. Makame Mbarawa Waziri wa Ujenzi na Dkt...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Urais 2030: Dkt. Mwigullu Nchemba na January Makamba wana nafasi nzuri kuliko Dkt. Hamis Kigwangalla

    Ikumbukwe hawa vijana wadogo watatu Mwigulu, January na Kigwangalla waligombea urais 2015 japo safari yao iliishia kwenye kura za maoni. Niliwapa jina la Three the Hard Way. Safari inaendelea japo naona Dkt. Kigwangalla ameachwa nyuma kidogo lakini kwenye Marathon ushindi ni mbinu na ujanja so...
  19. Kijogoodi

    JamiiForums Tanzania January Makamba amewekwa kwenye mtego, aliyoyakataa sasa anaenda kuyasimamia

    Mbunge wa Bumbuli January Makamba alikuwa Waziri wa Mazingira katika serikali ya awamu ya 5 kwa miaka minne mpaka alipotenguliwa mwaka 2019. Inasemekana January Makamba kwa kuwa alikuwa Waziri wa Mazingira kwa hiyo kimya kimya alikuwa anapinga mradi wa Bwawa la Nyerere kuwa eti utasababisha...
  20. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Uteuzi: January Makamba ateuliwa kuwa Waziri wa Nishati. Ndugulile, Kalemani, Chamuriho na AG Kilangi watenguliwa, Feleshi ateuliwa

    Rais Samia Suluhu kafanya mabadiliko madogo kwenye baraza la Mawaziri na mwanasheria mkuu wa Serikali kama ifuatavyo Rais Samia Suluhu amemteua Dkt. Stergomena Tax kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa, anachukua nafasi ya marehemu Elias Kwandikwa Dkt. Ashatu Kijaji ameteuliwa kuwa...
Back
Top Bottom