janga

Rangelo Maria Janga (born 16 April 1992) is a Curaçaoan professional footballer, who plays for NEC Nijmegen, on loan from Astana, and the Curaçao national team.

View More On Wikipedia.org
  1. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Warioba: Siyo wakulima pekee wenye matatizo bali hata wafugaji na machinga nalo hilo ni janga!

    Waziri Mkuu Mstaafu mzee Sinde Warioba ameunga mkono hoja ya matatizo ya Wakulima na ameitaka Serikali isikwepe wajibu wake wa kuwatimizia matakwa yao na isipumbazwe na kundi la wapiga masifu ya hovyo. Vilevile mzee Warioba ameitaka Serikali kushughulikia tatizo la Wafugaji na Machinga kwa...
  2. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Nini hasa chanzo cha bei ya vyakula kupanda zaidi ya mara dufu (inflation)? Nini kifanyike kutunusuru na janga hili kubwa?

    Tunaambiwa kuwa mfumuko wa bei (inflation rate) nchini kwetu bado ni mdogo sana, ni chini ya asilimia 5%! Wao wanauita single digit inflation. Lakini kwa miezi ya hivi karibuni, bei za vyakula muhimu sokoni vimepanda kwa zaidi ya maradufu. Yaani mfumuko wa bei wa vyakula ni zaidi ya asilimia...
  3. Mivyumba

    JamiiForums Tanzania Hili ni janga kama Janga Jingine

    ANAOMBA USHAURI Naomba unipostie kwa group Wamama wanishauri Mume wangu kanuna wiki ya pili, sababu ya kujinunisha hata siijui jamani, hajanigusa siku zote. Sasa Mungu sio athumani, Kwenye simu yangu kaweka google acc yake kama backup, Sasa sijui nkawa napekenyua nn nkajikuta nimebackup acc...
  4. asiliyetu kwanza

    JamiiForums Tanzania Nchi za Jumuiya ya Ulaya ni janga kuu la maendeleo la nchi za Afrika

    Najaribu sana kufikiria, je Afrika utapataje maendeleo endapo Kila kitu ambacho tunachotaka kufanya cha maendeleo yetu ulaya inapinga, inatoa vijisababu vya ajabu ajabu mpaka unakosa majibu Nia Yao ni nini hawa jamaa.ninachokiona hawa wazungu hawana mpango mzuri na watu wa Afrika. Haiingii...
  5. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Wagonjwa 600 wa Saratani ya kinywa kwa mwaka

    Mratibu wa Afya ya Kinywa na Meno Taifa kutoka Wizara ya Afya, Dk. Baraka Nzobo amesema kwa mwaka 2021, takriban wagonjwa 600 waligundulika kuwa na saratani za kinywa na meno. Dk. Nzobo alibainisha hali hiyo Septemba 7, 2022, Mkoani Dar es Salaam katika mahojiano na Nipashe wakati wa Kongamano...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Yesu na Jobless: Dhana ya janga la ukosefu wa ajira; kuwahi sio kufanikiwa

    Yesu na Jobless: Dhana ya Janga la Ukosefu wa Ajira; Kuwahi sio Kufanikiwa Anaandika, Robert Heriel. Mwanafalsafa. Kuwahi kupata ajira au kazi haimaanishi utawahi kufanikiwa, maisha hayapo hivyo. Na kuchelewa kupata kazi au ajira haimaanishi ndio utachelewa kupata mafanikio au hautafanikiwa...
  7. MKAKA WA CHUO 2

    JamiiForums Tanzania SoC02 Janga la kupuuzia fursa mbalimbali katika jamii

    FURSA ni kitendo Cha kuepo au kupatikana kwa nafasi au kazi au jambo lolote ambalo linaweza kumuingizia MTU kipato. Jambo hili linaweza kuwa ni jambo kubwa au dogo, vilevile FURSA inaweza kuhusisha kazi za ofisini au kazi za mitaani, zote hizi ni FURSA kwasababu zina uwezo wa kutuingizia kipato...
  8. abelkiharo

    JamiiForums Tanzania SoC02 Unyanyasaji kwa Wajawazito ni janga kwa Taifa!

    Huenda likawa jambo gumu kwako kuamini, lakini ukweli ni kwamba; kiwango cha unyanyasaji kwa wajawaito katika maeneo ya kutolea huduma za afya ni kikubwa sana. Ni jambo linalosikitisha, kuona wale watu ambao jamii imewaamini kwa ajili ya kunusuru maisha ya wengine, ndio hao ambao wanaendelea...
  9. Motheojohn

    JamiiForums Tanzania SoC02 Janga la Njaa Mpwapwa

    JANGA LA NJAA MPWAPWA Mpwapwa ni wilaya inayopatikana mkoani Dodoma nchini Tanzania , ni wilaya yenye ardhi iinayosifika zaidi Kwa kilimo kikubwa Cha mazao ya biashata na chakula . Baadhi ya mazao yanayopatikana wilayani humo ni kama Mahindi ,Kkaranga,, mtama, alizeti, ufuta, viazi mviringo...
  10. Tukuza hospitality

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mapenzi ni Janga kubwa kuliko UKIMWI

    Mapenzi ni mahusiano kati ya watu wawili wenye jinsia tofauti (yaani, mwanamke na mwanaume). Kwa mujibu wa chapisho la Blog ya Muungwana ya tarehe 17/01/2018, mapenzi ni ile hali ambayo watu wawili wanaingia katika mahusiano ambayo yanabeba mambo mengi yakiwemo uvumilivu, unyenyekevu, busara...
  11. Tukuza hospitality

    JamiiForums Tanzania SoC02 Watoto wa Mitaani ni Janga la Kitaifa

    Watoto wa mitaani, ni watoto ambao wanaishi mitaani, nje ya makazi ya kawaida. Kempe Ronald Hope, (2005) anatoa maana ya Mtoto wa Mitaani kama ifuatavyo: “Mtoto wa Mtaani, ni msichana au mvulana ambaye hajafikia umri wa utu uzima, ambapo mtaa (ikijumuisha makazi yasiyokaliwa, maeneo yenye...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Umewahi kukumbwa na janga gani chuoni mpaka ukapaona chuoni kuchungu?

    Katika harakati za kusaka elimu vyuoni wanafunzi wanakutana na kashikashi nyingi sana zinazosababisha wakati mwingine mpaka mtu kuachana na mambo elimu, mfano kujikuta uko kwenye mgogoro na mwalimu wako sababu wote mnamfukuzia binti fulani, kufanya starehe kwa kupitiliza mpaka unasahau...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Sasa tuamue kutokuchuma janga ili tusilie wenyewe

    Kumekuwa na kilio majonzi na kelele kutoka kwa wananchi bara na visiwani juu ya jinsi gani ya kupata viongozi wazalendo wenye kusimamia rasilimali za watanzania ili ziweze kuwanufaisha wananchi. Tanzania ni nchi iliyobarikiwa kuwa na rasilimali nyingi ambazo zingeweza kuondoa maadui wanaoisumbua...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Umewahi kunusurika janga lolote au umekwepa kutapeliwa au kuibiwa kwa bahati au uwezo wa Mungu? Toa simulizi yako hapa

    Kuna siku nilipigiwa simu na mwanamke simfahamu na namba ngeni, akaniita jina fulani (Sio langu) nikamwambia umekosea namba, akakata simu. Wiki chache baadaye akapiga tena, mara hii akataja jina langu kabisa, ninapoishi na hata ninapofanyia kazi, akaniomba nikutane naye mahali kwa mazungumzo...
  15. Cobra70

    JamiiForums Tanzania Ni muda muafaka kwa sasa kufunga mipaka janga la njaa linakuja kwa kasi

    Watu wakila wakashiba amani inakuwepo. Ila ukiruhusu taifa lako liwe na njaa amani hutoweka kila mahali na ikizidi taifa huangamia. Bora mfumuko wa bei uwepo mana ni janga la dunia ila njaa njaaa sijui.
  16. Keynez

    JamiiForums Tanzania Janga kubwa katika Tanzania ni viongozi kutaka kuwa ma-celebrities

    Ndugu zangu, Awali ya yote naomba niseme naijua kiasi fulani historia ya taifa hii. Kwa mtazamo wangu, kuna 'legacy tricks' zinazotoka toka kipindi cha ujamaa ambazo tumezishikilia, hasa systems za nchi hii, kwa kuwa kwa mtazamo wao zilifanya kazi huko nyuma kwa hiyo hawataki kuziacha. Hii...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Dawa za ARV ziondolewe ili kuondoa janga la UKIMWI Duniani

    Habarini za usiku wapendwa Kama jinsi kichwa cha habari kinavyo jieleza binafsi naona njia pekee ya kuondoa ukimwi duniani ni kuondolewa kwa dawa za kufubaza virusi au kwa jina jingine ARV kwasababu watu wanatumia hizo dawa wanakua na mionekano mizuri kisha wanaendelea kusambaza kwa wengine...
  18. Refrector

    JamiiForums Tanzania Kumekuwa na wimbi la wanaume wengi kuwa na stress kiasi kwamba wanapopata msongo mwingi wa mawazo wanafikia hata kuongea barabarani peke yao

    Kumekuwa na wimbi la wanaume wengi kuwa na stress kiasi kwamba wanapopata msongo mwingi wa mawazo wanafikia hata kuongea barabarani peke yao kiasi kwamba ameshindwa wa kumshirikisha jambo lake hasa la kindoa Ili kupata suluhu ya anayoyapitia kwa wakati huo. Pia kunawimbi la wanawake wengi...
  19. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Unene na uzito mkubwa kwa binadamu linakuja kuwa janga la dunia

    Watu wenye unene uliopitiliza wanaongezeka kwa idadi duniani. Tunapanda nao madaladala na wanachukua nafasi ya watu wawili wakati wanalipikia kiti kimoja. Hata ile sehemu ya kusimama, ukigeuka hivi umekutana na tumbo mara mgongo. Ulisombe ukae dirishani na yeye awe jirani yako atakubana wewe...
  20. beth

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Mataifa: Janga la Chakula kutokana na vita vya Ukraine na Urusi linaweza kudumu miaka kadhaa

    Umoja wa Mataifa umesema Vita inayoendelea kati ya Urusi na Ukraine imezidisha uhaba wa Chakula katika Mataifa masikini kutokana na kupanda kwa bei. Imeelezwa kuwa, baadhi ya Nchi zinaweza kukabiliwa na njaa ya muda mrefu ikiwa mauzo ya nje ya Ukraine hayatarejeshwa katika viwango vya awali...
Back
Top Bottom