janga

Rangelo Maria Janga (born 16 April 1992) is a Curaçaoan professional footballer, who plays for NEC Nijmegen, on loan from Astana, and the Curaçao national team.

View More On Wikipedia.org
  1. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Tunapaswa Kuondoa Pazia la Imani za Kijamii na Kidini Zinazofunika Tatizo la Ndoa za Lazima

    Inasikitisha kuwa katika karne hii ya 21 bado kuna jamii duniani ambazo zinahalalisha na kuwalazimisha wanawake wanaobakwa kuolewa na wabakaji wao, au kuwalazimisha mabinti kuolewa na watu wasiowapenda. Shirika la Kazi Duniani (ILO) linakadiria kuwa watu milioni 40.3 ni watumwa duniani kote...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Hili janga la kufunga na kufungua nchi dawa yake tutaipata lini na wapi?

    Nikiri wazi kuwa nchi yetu inajichanganya sana kwenye mwendelezo wa uongozi wake. Ukiangalia tunavyoongozwa ni kana kwamba tumeongozwa na vyama tofauti vya kisiasa, wakati inajulikana fika kwamba tangu tupate uhuru tumeongozwa na chama hichohicho, sana sana kilijibadilisha jina. Takribani Kila...
  3. MJENGA

    JamiiForums Tanzania Suala la mafuta ni siasa na ni janga la dunia nzima, tuvumilie tutavuka tu

    Ni janga la dunia nzima, tutulie tutavuka tu.
  4. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Janga lingine kwa vijana wa Kitanzania ni hili hapa

    Wanayaita Dubu au Bonanza. Hapa unaweza ukaliwa hadi ubongo. Vijana wa Kitanzania sasa hivi mpaka huko vijijini huwaambii chochote kuhusu hii dubwasha. Kwahyo wakati uraibu wa betting haujakolea vizuri, kuna uraibu wa Dubu/Bonanza ambapo mbaya zaidi wanachezq mpaka watoto wadogo wa shule za...
  5. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Kama alivyotuvusha kwenye janga la Corona, na hili la MAFUTA Magufuli angetuvusha!

    Kwenye ishu ya Corona wakati dunia nzima ikijifungia na kufata njia isiyo sahihi kushughulika na janga lile. Baba yetu Magufuli alisimama kama kiongozi akaja na njia ambayo dunia nzima sasa inaifata kwenye kukabiliana na corona. Naamini hata kwenye hii ishu ya mafuta, Magufuli angekuja na njia...
  6. Kichwamoto

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro kichuguu kinatema soon mchuma janga hula na wa kwao na waliomtuma

    Amang'ana, habari ja muhi, msinda vihi wana JF! Nimtazamo wangu ya kwamba Sirro amefika mwisho wa cheo chake, hata mwezi june hafiki, anaebisha tukutane june mosi. Maisha ni haya haya lichuguu limekwaa tobo
  7. T

    JamiiForums Tanzania Kwa speed hii ya ukopaji likitokea janga lingine mfano wa corona hali itakuwaje?

    Nimekaa tu na kujiuliza kama raia wa kawaida kwamba serikali yetu inakopa na inaendelea kukopa, na inaonekana kila inapotokea uhitaji au upungufu wa aina yoyote, ufumbuzi unaowajia viongozi wetu vichwani ni kutafuta mahali pa kwenda kukopa. Huenda wako sahihi kwa sababu wao Wana wataalam na...
  8. comte

    JamiiForums Tanzania Afrika na Asia zaliokoa kanisa Katoliki duniani na janga la uhaba wa wito wa upadri

    According to Vatican statistics released this month, there were 410,219 Catholic priests in the world in 2020, down 4,117 from the previous year, the last available data. The steep drops in North America and Europe were offset by increases of new priests in Africa and Asia. --- ROME (AP) — The...
  9. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Simu Janja kupima COVID-19 Zanzibar

    Serikali ya Zanzibar imezindua teknolojia mpya ya kupima uwezekano wa maambukizi ya UVIKO-19, kutumia simu janja, kwa wageni wanaoingia kupitia Uwanja wa Ndege wa Amani Abeid Karume. Uzinduzi huo umeshuhudiwa na Waziri wa Afya wa Zanzibar Nassor Mazrui, ambapo amesema Zanzibar ni nchi ya kwanza...
  10. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania WHO yasema janga la Corona bado lipo na aina zaidi ya virusi vya Corona zitajitokeza

    Mwanasayansi mkuu wa Shirika la Afya Duniani,WHO Soumya Swaminathan, amesema ulimwengu bado haujafikia mwisho wa janga la COVID-19 kwani aina zaidi za virusi vya corona zitaendelea kujitokeza. Swaminathan aliwaambia hayo waandishi wa habari nchini Afrika Kusini, ambako alikuwa ametembelea...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Hongereni CHADEMA, mnaishi kama familia kwenye shida na Raha; CCM ukipata janga unaondolewa kwenye ukoo

    Solidarity ilipo Ndani ya wana Chadema nikubwa Sana. Leo nimefanikiwa kufika mahakama aliyofikishwa Mbowe na wenzake. Nimependa kuona Kwamba Hawa ndugu muda wa chakula wanakula pamoja bila kijali chama, mke wa mtuhumiwa kafika mahakama wamemchangia nauli, wakati watuhumiwa wanaondoka saa kumi na...
  12. KENZY

    JamiiForums Tanzania Mwanadamu ata-survive kwa muda gani kama kukitokea janga hatari duniani kote..?

    Wakati wowote janga lolote baya linaweza kutokea na kutukumba hapa duniani,kila taifa na jamii itapambana kwa kadri iwezavyo. Najua akina sie huku hatutachukua muda tutapukutika kama pori lililoshika moto!. Mfano wa majanga hayo yanayoweza kutokea ni kama dunia kuangukiwa na kimbuka kikubwa...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Janga la Hisabati: Tuanzie Hapa

    Wizara ya Elimu imelitataja somo la Hisabati kama ni Janga la Taifa Tuanzie hapa, najua kuna wakali wa hesabu humu Jamii Forum Tuanzie hapa kutoa msaada wa bure(Tuisheni) ya Hisabati kwa wanafunzi wanaohitaji Kwa wakali wa hisabati: Tupia topic za hesabu na mafundisho yake, pia tafadhali...
  14. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkenda asema ufaulu somo la hisabati ni janga linalotakiwa kutafutiwa ufumbuzi

    Ninapata shida kidogo kuhusu kauli ya Prof Mkenda. Wanaofaulu somo la Hisabati wanaajiriwa wapi? Somo la hisabati linawasaidia nini wansfaulu kama wanashindwa kujiajiri na kuajiriwa? Prof Mkenda, kwa ufahamu wako mkubwa tambua kuwa walimu wanao fundisha somo la Hisabati Form four walifeli...
  15. manchoso

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli yupo sahihi sana kuhusu COVID-19

    Ndugu zangu kwanza niwape pole waathirika wote na wafiwa wa ugonjwa wa corona ndo mapito tuwe na imani corona itaondoka, ila itaondoka pale tu sisi binadamu tutakapokuwa wanyenyekevu mbele ya Mungu. Hii corona ni pigo kutoka kwa Mungu kwa sababu sisi wanadamu ni washenzi tumezidi maasi na...
  16. comte

    JamiiForums Tanzania Ulaya inaelekea kushusha hadhi ya Omicron Corona kutoka janga kuwa ugonjwa ambao tujifunze kuishi nao

    LONDON — In Britain, France, Spain and other countries across Europe, politicians and some public health experts are pushing a new approach to the coronavirus pandemic borne of both boldness and resignation: that the illness is becoming a fixture of daily life. Governments are seizing a moment...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kwa ufaulu huu wa Hisabati wa 19.54% tutarajie wachumi kuwa janga la taifa

    Somo hili limekuwa na matokeo mabaya si kwa shule za sekondari tu bali pia hata shule za msingi, kwa miaka zaidi ya sita iliyopita wameendelea kutuaminisha kuwa ufaulu umeongezeka kila mwaka,yawezekana lakini kwa asilimia hizo ni hatari. Jambo la kusikitisha Sana hakuna jitihada za maksudi...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wahanga wa Moto wa soko la Karume wachangiwe pesa, ikiwa ni janga la bahati mbaya

    Wakuu Kwema! Ajira Hakuna! Tumetoka familia Masikini Sana. Nina rafiki zangu wengi waliokuwa wanauza uza mitumba Yao pale Karume. Mitaji Yao wameipata Kwa mbinde Jamani! Ndugu zangu wote tunajuana humu nchini, Sisi ni masikini Sana, tunatafuta pesa Kwa taabu na nguvu nyingi, hatuwezi sema ni...
  19. lwambof07

    JamiiForums Tanzania Manyara: Simanjiro walia kwa uhaba wa mvua, mifugo 62,500 imekufa

    Mifugo 62,593 imekufa wilayani Simanjiro mkoani Manyara kwa kukosa maji na malisho kutokana na ukame. Kati ya mifugo hiyo; Ng'ombe - 35,746 Kondoo - 15,136 Mbuzi - 10,033 Punda - 1,670 ====== Hali ya ukame inayoendelea wilayani Simanjiro mkoani Manyara imesababisha mifugo mbalimbali ikiwemo...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Fedha ifumuliwe upya, ufisadi wake ni msiba mkubwa

    Wakati watanzania wanalia kwa ajili ya tozo na wengine wakizozana kuhusu mikopo, na ugumu wa maisha, Wizara ya fedha inaufisadi wa kutisha. Waziri mkuu alitangazia taifa kugundua wizi wa mabilioni ndani ya miezi 3. Kuanzia March 2021, hadi Mei 2021. Miradi mingi imekwama, na mashirika mengine ya...
Back
Top Bottom