Kama alivyotuvusha kwenye janga la Corona, na hili la MAFUTA Magufuli angetuvusha!

sonofobia

JF-Expert Member
Jun 21, 2015
369
2,514
Kwenye ishu ya Corona wakati dunia nzima ikijifungia na kufata njia isiyo sahihi kushughulika na janga lile.

Baba yetu Magufuli alisimama kama kiongozi akaja na njia ambayo dunia nzima sasa inaifata kwenye kukabiliana na corona.

Naamini hata kwenye hii ishu ya mafuta, Magufuli angekuja na njia sahihi ya kusaidia watu wake wasiteseke na ugumu wa maisha unaosababishwa na gharama za mafuta kuwa juu. Angetafuta njia sahihi za kumlinda mwananchi asiumizwe na kupanda kwa bei za mafuta

Magufuli alikuwa na maono sana na aliwapenda watu wake hakutaka kuona wanateseka. Angetuvusha.
 
Nenda kwa mungu wenu mwingine zumaridi atamfufua
 
Mtoa hoja sikulaumu, ila kumbuka kuna familia tunapochart hapa hazina wapendwa wao, kisa ...tofauti za ideology na president Magufuli,..kumbuka Ben saanane yupo wapi?,Amory yupo wapi?,etc etc na mbaya zaidi hizi familia hazina closure kuhusu wapendwa wao, chato kuna grave ya president Magufuli, but kwenye family ya Saanane, Azory hawana hii, pls pls fikiria hizi familia maana nawe una familia
 
Kabisa aisee yule mzee alikuwa kiongozi.
Siku zote nasema, kwenye umaskini wa Watanzania kuna watu wananeemeka. Moyo unauma kuona nchi kama hii yenye kila rasilimali ikiongozwa na vilaza wa kutupwa. Ila anaona upuuzi mnaofanya, atayaangalia machozi ya Watanzania nakuiporomosha merikebu zenu mnazozitumainia.
 
Angeenda kujifungia chattle kama kawaida.

Wakati tunalia korona jiwe alikuwa mafichoni kijijini huko na akaishia kutupa matumaini tu.
 
Kwenye ishu ya Corona wakati dunia nzima ikijifungia na kufata njia isiyo sahihi kushughulika na janga lile.

Baba yetu Magufuli alisimama kama kiongozi akaja na njia ambayo dunia nzima sasa inaifata kwenye kukabiliana na corona.

Naamini hata kwenye hii ishu ya mafuta, Magufuli angekuja na njia sahihi ya kusaidia watu wake wasiteseke na ugumu wa maisha unaosababishwa na gharama za mafuta kuwa juu. Angetafuta njia sahihi za kumlinda mwananchi asiumizwe na kupanda kwa bei za mafuta

Magufuli alikuwa na maono sana na aliwapenda watu wake hakutaka kuona wanateseka. Angetuvusha.
Kina zile mbuzi kipindi cha korona zilikuwa zinampuuza leo wako wapi..

JPM alikuwa na ataendelea kuwa kiongozi bora
 
Mtoa hoja sikulaumu, ila kumbuka kuna familia tunapochart hapa hazina wapendwa wao, kisa ...tofauti za ideology na president Magufuli,..kumbuka Ben saanane yupo wapi?,Amory yupo wapi?,etc etc na mbaya zaidi hizi familia hazina closure kuhusu wapendwa wao, chato kuna grave ya president Magufuli, but kwenye family ya Saanane, Azory hawana hii, pls pls fikiria hizi familia maana nawe una familia

kwani magufuli alikuwa mlinzi wa familia zao..

Katika familia yenu wangapi walipotezwa na JPM.
 
Magufuli hayupo Chato, baba yetu yupo mioyoni mwa kila mtanzania.

Kipindi kama hiki uwa tunamkumbuka sana sababu ya uwezo wake wa kuchukua maamuzi ya kusaidia watu wa chini.
watu wa chini ndio watu gani hao?! Mwenyezi Mungu hakuumba mtu wa chini, wote tuko sawa. Labda useme WATU WAVIVU.
 
Ile kipindi kumeibuka msamiati wa “VYUMA VIMEKAZA” ilikua kipindi gani?

Na yeye akafanya nini? alivilainisha sio
 
Vile mwendakuzimu amefurahia uzi wako huu kutokea huko kuzimu😁😁😁
downloadfile-4(1).jpg
 
Back
Top Bottom