janga

Rangelo Maria Janga (born 16 April 1992) is a Curaçaoan professional footballer, who plays for NEC Nijmegen, on loan from Astana, and the Curaçao national team.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini hakuna salam wala msaada kutoka nchi zinazotuzunguka kuhusu janga lililotokea huko Katesh Manyara?

    Tumekuwa wepesi kupeleka watu,mali na kutoa salam za pole pale janga au maafa yanapowakumba majirani zetu. Leo ni siku ya tatu hakuna jirani aliyetukimbilia aidha kwa misaada au hata pole ya maandishi. Hawa majirani hawana taarifa ya matatizo haya wanayopitia ndugu zetu? Lakini pia hakuna...
  2. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Majanga ya Asili: Tukafanye utafiti kwa Wahadzabe na wanaofanana nao ili tufahamu jinsi wanavyotambua majanga haya kabla hayajatokea?

    Wanabodi, Kama kawa kila nipatapo fursa huja na kwa Maslahi ya Taifa. Leo ni kuhusu Natural Disasters: Jee Tuwafanyie Research watu wa makabila ya Wabarbaig, Wahadzabe, Wataturu, Wasandawe na Watindinga, huwa wanajuaje kutatokea natural disasters na kukimbia eneo hilo kabla ya majanga...
  3. Webabu

    JamiiForums Tanzania Israel haipigani tena na Hamas.Inaua watu kinyama.Dunia isimame kabla janga kuliko corona halijatokea.Tanzania kwa uchache iitishe maandamano kulaani

    Tuachane na vita vya Israel na Hamas.Hivi vita vimeisha na Israel haiwezi kuwapata Hamas wala mateka. Uchunguzi wa kitaalamu ukihusisha mizozo mengine ya kivita ya miaka ya karibuni unaonesha Hamas wameyeyuka kabisa na kilichobakia ni mahandaki na alama zao nyengine kuwa walikuwepo Uchunguzi...
  4. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Wengine hili janga la derby ya leo tuliliona linakuja kitambo

    Wakati wengine wanaangalia tu matokeo ya uwanjani na timu inavyocheza, wengine tumekuwa tunaangalia mazoezi ya Simba na kuanza kuona mapungufu ya kitimu kuanzia huko. Nakumbuka kuleta uzi nikikumbushia umuhimu wa "Rondo" katika kutengeneza wachezaji wenye uwezo wa kumiliki mpira. Hilo ni zoezi...
  5. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kweli betting imekuwa janga maana hata pro athletes wameanza kuhusishwa na issue hii

    Kuna addiction flani ukishiingia katika betting inakushikilia na haitakuachia hivi hivi no matter we ni tajiri kiasi gani. Recently wacheza mpira maarufu wameanza kupigwa suspension ndefu kutokana na wao kujihusisha na betting. Mtu anaweza kuchomesha team ili tu apige kibunda. Vijana mtaani...
  6. Martyr 360

    JamiiForums Tanzania Hivi wanawake kuwakataa wanaume kiugomvi wanapotongozwa ni Afrika tu au ni janga la kidunia?

    Mimi naamini mwanamke anaweza kukukataa kabisa na mkaendelea kushirikiana tena bila changamoto yeyote. Fikiria mko ofisi moja ,mnafanya biashara pamoja,mnasali pamoja, mnasoma pamoja n.k.mtu kakutongoza afu unamkataa kama Pepo au unamjibu vibaya, mwanaume unakuta Hanashida kashapotezea lakin...
  7. Maleven

    JamiiForums Tanzania Kuomba msamaha na kukubali kosa ni janga kwa wadada wengi

    Akijitahidi sana kuomba msamaha utasikia "Sawa basi nimekosa" "Aya basi nisamehe" hapo ni baada ya kumbana kona zote na ameona hamna pa ku excuse. Kwanini? Kwanini inakua shida kukubali kukosea na kuomba msamaha genuinely?
  8. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wanaume kuwa na tabia za kikekike ni janga linaloikumba Nchi yetu

    WANAUME KUWA NA TABIA ZA KIKEKIKE NI JANGA LINALOIKUMBA NCHI YETU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Nyakati za zamani nikiwa nakua zipo tabia ambazo tuliaminishwa ni tabia za kike(inaweza kuwa ni kasumba), ambazo ilikuwa mwiko kwa mwanaume kuwa nazo. Ilikuwa ni aibu na fedheha kwa kijana kuwa...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Morocco walianza kusema Wao siyo Waafrika Wenzetu, Leo wana Janga Kubwa wanachagua wa Kuwasaidia

    Nchi ya Morocco ambayo hivi sasa imekumbwa na Janga Kubwa la Tetemeko la Ardhi imesema ni nchi Nne tu ndizo wameruhusu Wawasaidie ambazo ni Hispania, Uingereza, Qatar na UAE. Kuna Taifa moja Barani Afrika ( nimelisahau Jina ) lenyewe Uturuki ilipopatwa na Janga kama hili la Morocco ilikuwa na...
  10. Webabu

    JamiiForums Tanzania Janga lingine laikumba Libya, mafuriko yaua Watu 6,000, wengine 10,000 hawajulikani walipo

    Mamia ya watu tayari wameshakufa huko nchini Libya karibu tu na Morocco ambako maelfu nako wamekufa kutokana na tetemeko la ardhi. Vifo vilivyoripotiwa Libya ni upande wa Benghazi ambako kumetokea maporomoko ya bwawa baada ya kimbunga kiitwacho Daniel kuikumba nchi hiyo ya kaskazini ya Afrika...
  11. N

    JamiiForums Tanzania TNMC kulipisha wanachuo 30,000 ili wapewe coupon za kufanyia mtihani na bado tena Mwanachuo analipishwa 150,000 kufanya mtihani ni wizi na upigaji

    TNMC kulipisha wanachuo 30000 ili waapewe coupon za kufanyia mtihani na bado tena mwanafunzi analipishwa 150,000 kufanya mtihani.. Hili ni Janga upigaji kila Kona Baraza la wauguzi na wakunga TNMCS imeendelea kutuma taarifa za kuzisambaza kwa wakuu wa chuo kimya kimya ikiwataka wanachuo...
  12. Sheffer95

    JamiiForums Tanzania Suala la nishati ya mafuta nchini lishakuwa janga la Taifa

    Habarini za asubuhi, nikiwa na masikitiko makubwa naomba ni address hili suala la mafuta kiukweli limekuwa zaidi ya changamoto Sikudhani hali ingefikia huku yaani leo nikiwa safarini mkoani nikipita huku maeneo ya Chunya Mbeya mji mzima ni shell moja tu ndio inayouza mafuta Na hiyo foleni ya...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Utitiri wa Malori umekithiri barabara ya Morogoro, hatua za haraka zahitaji kuchukuliwa, tusisubiri hadi janga litokee

    Ile wikiendi ya sikukuu ya Nane Nane niliendesha gari kutoka Dar hadi Morogoro na kugeuza baada ya siku kadhaa, na Jumamosi ya juzi pia niliendesha kutoka Dar hadi Chalinze, nilichokiona barabarani nyakati zote, wakati wa kwenda na hata wakati wa kurudi, kilinishtua na kunishangaza sana, idadi...
  14. Supercomputer

    JamiiForums Tanzania Janga gani lilikukuta baada ya kuexpose mafanikio yako public?

    Vipi wakuu; Katika harakati za maisha, wengi wetu tuna ile kasumba kutaka kuwaprove wrong ndugu jamaa na jamii inayotuzunguka kwamba wasikuchukulie poa kwa kuonyesha progress zako, bila kujua kwamba watu hawafurahii positive changes especially watu wa uswahilini. Binafsi baada ya kustruggle...
  15. W

    JamiiForums Tanzania Elimu yetu ni Janga

    Matatizo mengi makubwa ya Tanzania ni elimu. Hivi ukila chakula wakati mwili hauna digestive system kutakuwa na faida ya wewe kula? (Reading without reflection is like eating without digestion). Tuondoe so called mitihani ya Taifa kuanzia ngazi ya chini, badala yake mfumo wa GPA wa vyuo...
  16. kavulata

    JamiiForums Tanzania Polisi ni janga la kitaifa

    Ukweli askari polisi ni kero kubwa kwa wananchi. Ni kero kubwa kwa wakulima, wafugaji, wasafirishaji, wafanyabiashara na hata madereva barabarani. Kila jambo na kila kitendo wanachokifanya ni kwaajili ya kupata hela kwa njia ya rushwa au unyang'anyi kunakosababisha Wananchi wanakata tamaa ndani...
  17. thanks again and have you

    JamiiForums Tanzania Wanaume wanaotelekeza watoto ni janga kubwa nchini kwa sasa

    Habari!? Kumekuwepo na ongezeko la wadada wengi ambao hawako kwenye ndoa ila tayari wana watoto, wengine wanaishi nao na wengine wamewapeleka vijijini kwa wazazi, unakuta anayehusika kwa malezi ya mtoto ni Dada peke yake (single mom) unakuta mdada hana kipato Cha maana Matokeo yake anaamua...
  18. Mary Abely

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kijiji kilichogubikwa na janga la udhalimu na rushwa

    Katika kijiji kiitwacho Utawala Bora, watu walikuwa wakiishi katika hali iliojawa na machafuko, utata, na kutoridhika. Rushwa ilitawala, hali ya kutokuwa na usawa ilikithiri na sauti za watu hazikusikika (wananchi). Hatahivyo, katikati ya machafuko hayo, mwangaza wa matumaini ulijitokeza...
  19. Clepatina

    JamiiForums Tanzania Kuwa single mother siyo laana, msiwaseme vibaya

    Shaloom, Dada mmoja aliamini kuwa mtu pekee anayestahili kuitoa bikra yake ni mwanaume atakayemuoa. Huu msimamo wa bibie ulifanya apoteze wachumba wengi kwani walipoambiwa hawataonja asali mpaka waingie ndoani walisepa. Miaka ikaenda, umri wa dada ukazidi kusogea ila bibie hakubadili msimamo...
  20. O

    JamiiForums Tanzania Ripoti Maalumu: Upatu, ‘smart phone’ janga jipya kwa wanafunzi wa sekondari

    Je, umewahi kuona wanafunzi wakiwa wamerundikana katika kituo cha daladala huku wakiyaacha mabasi ya abiria hata kama ni matupu? Unajua siri iliyojificha miongoni mwao kama sio wengi wao? Mwananchi Digital imefanya uchunguzi wa kina na kubaini chanzo. Uchunguzi wa takribani mwezi mzima...
Back
Top Bottom