Mshiriki huyu wa American Idol mwenye umri wa miaka 19, Benjamin Glaze, anatoka katika familia yenye maadili sana. Majaji wanamuuliza kama ameshawahi ku-kiss. Benjamin anasema kuwa hajawahi kwasababu kwake ku-kiss ni kitu kikubwa sana na anasubiri hadi aingie kwenye mahusiano ya kueleweka...
Picha na Nathan Mpangala (MWONGOZO WA UTAWALA BORA)
UTANGULIZI
Utawala ni matumizi ya mamlaka ya kisiasa, kiuchumi au vinginevyo katika kusimamia masuala ya nchi na wananchi kwenye ngazi zote, Utawala bora ni matumizi ya mamlaka ambayo yanakuwa na uwazi, uwajibikaji, ushirikishaji wa watu...
Jamii,ni jumla ya watu wote wanaoishi katika mazingira Fulani ya kijiografia ambao wanaweza kufanana au kutofautiana katika nyanja za kiuchumi, kisiasa, kiutamaduni, na kiteknolojia.
Kujenga maana yake kutengeneza kitu ambacho kina faida na kutumika kipindi fulani Cha maisha mfano nyumba. Kwa...
Mkuu wa Wilaya ya Kyela, Josephine Manase Keenja, Mei 01, 2023 amefunga rasmi mashindano ya mpira wa miguu yajulikanayo kwa jina la "KYELA POLISI JAMII CUP, 2023" baada ya kushuhudia fainali iliyozikutanisha timu za Kata ya Ipinda dhidi ya Kata ya Serengeti.
Mashindano hayo yalihusisha Kata 33...
Habari zenu wana JamiiForums na Taifa kwa ujumla.
Kuna mambo kama nchi ni lazima yawekwe wazi kwa manufaa na ustawi wa wananchi. Moja ya mambo hayo ni hili la mafao kwa wanachama wa mifuko ya hifadhi ya jamii. Binafsi nafurahishwa sana na mpango huo ila natatizwa pale ninapoona wanachama...
Ni wajibu wa vyama vinavyojitanabaisha kuwa vya ukombozi kuwahamasisha na kuwaongoza watu kudai haki zao.
Mtaji wa vyama hivyo ni watu. Ni jukumu kipaumbele la vyama vinavyojitambua kuwa mkao wa kula kujua au kutafuta wapi pana malalamiko na kuyafanyia kazi vilivyo.
Kudai katiba mpya ni...
Hello!
Inachekesha sana. Hivi kweli unanipa buku sijui jero kisa Mimi mlinzi.
Mimi sio mlinzi ombaomba, na ni mwiko kwangu kumwomba mteja fedha, awe mteja wa ndani au wa nje ila mteja akinipa fedha siiachi. Nina gari, nyumba nzuri na mshahara laki 7.6 na posho ya chakula, overtime na zingine...
Sheria za Tanzania kuhusu ndoa kuwa Mwanaume anatakiwa kulea na kuitunza familia peke yake bila pesa za mkewe kutumika inatakiwa ibadilishwe kutokana na mabadiliko ya kijamii kwa sasa maana kipindi kile mwanaume ndo alikuwa sole provider wa familia ila kutokana na mapinduzi ya kijamii ambao...
Mnaojiandaa na usaili wa utumishi nafasi ya Afisa Maendeleo ya Jamii, tupeane mbinu za kutoboa usaili.
Una uzoefu wa hizi saili share tujue zinakuweje, eneo gani la kusoma sana wakati wa kujiandaa.
Wadau mimi ni fundi wa simu lakini kunawakati kabisa najiona mimi sio fundi.
Hivi umewahi kupeleka simu au computer ikiwa na tatizo la kutokuwaka kwa fundi, halafu akakwambia imekufa kabisa haiwezi faa labda ununulie mashine nyingine?
Yaani iko hivi, simu au computer haiwezi unguza components...
Mimi binafsi yangu siwez wasakama wanawake ambao umri umeenda na hawajaolewa naamin kwa fikra na hisia zao hawajapata mwanaume ambaye sio bora tusiwasakame na kuwachukulia kama ni wakosaji wakubwa sana
Wengi wao ni victim wa hisia yaan wale ambao hawana hisia nao ndo wanaume wakufanya nao...
Serikali ya Tanzania imefanya wananchi wake mazuzu.
Mikopo imesitishwa kupitia Halmashauri nimejiuliza watoaji wa hiyo mikopo walisomea wapi kazi ya kugawa mikopo?
Ni nani aliwapa majukumu hayo kama sio njia ya kutauta njia ya kupoteza fedha za serikali?
Ninaomba Jf member mchangie hii mada ni...
Habari wapendwa,
Leo napenda tuzungumzie hili suala la ulevi na athari zake na jinsi linavyoumiza familia na jamii kwa ujumla.
Wapendwa ulevi ni tabia mbaya ambayo mtu hujijengea taratibu akizani ya kua yupo sawa kumbe anajimaliza siku hadi siku.
Kwa mfano ulevi wa pombe tuache bangi na sigara...
Ni usiku sana ninapoandika ujumbe huu. Usingizi umepaa, amani nimekosa, moyo umekataa kutulia. NINAOGOPA.
Napata uoga kila ninapotaza hali ya vijana wa leo. Vijana wenzangu. Nguvu kazi, watu wa muhimu kuelekea maendeleo ya taifa. Napata mashaka ninapofikiri kuwa vijana hawa ndio wanaopaswa...
Jamii forums ni sehemu sahihi ya kupata ushauri, samahani Kama ntakuwa nawakera kuleta mada mpya kila siku Nina Visa na mikasa kwenye life langu.
Mimi ni mtoto wa 5 Kati ya familia yenye watoto 8,sitaielezea familia yangu kwa undani Kuna watu watafahamu code, nina diploma ya uhandishi wa habari...
Nikipitia maisha ya Hussein Jumbe, naona kama hakuwa na furaha, japo alikuwa anatumia muda mwingi katika kumbi za burudani zilizotarajiwa au zinazosemwa ni sehemu za furaha.
Moyo wake ulijaa mambo mazito, mzigo mzito, malalamiko, na kilio kwa Mungu. Alikuwa akionewa bila hatia. Hata uso wake...
Je, wajua mnufaikwa wa Fao la Uzee (Old Age Pension) akishachukua kiinua mgongo na kuanza kulipwa monthly pension (Malipo ya kila mwezi) na baada ya miezi miwili/mitatu+ akafariki, Dependant wake wanakuwa hawana kitu cha kwenda kudai kwenye Mfuko?
Kwa PSSSF tegemezi watakuwa hawana kitu cha...
WAHAMASISHAJI jamii kupitia mikutano 39 walioifanya na jamii katika Wilaya nne za kisiwa cha Pemba walifanikiwa kuibua jumla ya changamoto/matatizo/kero 44 kwa mwaka 2022.
Kero hizo ziliibuliwa maoneo tofauti kisiwani Pemba katika Wilaya ya Wete kero 12, Micheweni 12, Chake Chake 9 na Mkoani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.