Nimedesign clone ya Jamii Forums app kwa kutumia Flutter, nikiwa nimefanya marekebisho machache (UI/UX na baadhi ya features) ili kuiboresha zaidi.
design hii imelenga kujifunza, kuonyesha uwezo wa Flutter kwenye mobile app development, na pia kujaribu kuibua ideas mpya kwa ajili ya apps...
Jonathan Sowah ataikosa mechi ya ngao ya jamii dhidi ya Yanga kutokana na kadi nyekundu aliyopewa kwenye mechi ya fainali ya FA akiwa na Singida.
Ukipewa kadi nyekundu kwenye mechi ya FA unatakiwa kutumikia adhabu kwenye mechi za ligi kuu,FA na Ngao ya jamii.
Hivyo sowah hatakuwa sehemu ya...
BADO SIKU 6: Kuelekea Maadhimisho ya Wiki ya Ustawi wa Jamii
KAULIMBIU: Pata Msaada wa Kisaikolojia; Imarisha Afya ya Akili
Jifunze kusema "hapana" unapochoka ili kulinda afya ya akili
📅 25 - 30 Agosti, 2025
📍 Chuo cha Ustawi wa Jamii - Kijitonyama, Dar es Salaam
Kwa mawasiliano; Simu...
Dar es Salaam, 17 Agosti 2025 - Maelfu ya wakimbiaji na wapenda michezo kutoka ndani na nje ya Tanzania wamejitokeza leo katika viwanja vya The Green, Oysterbay, kushiriki CRDB Bank Marathon 2025, mbio za hisani ambazo mwaka huu zimekusanya Shilingi Bilioni 2 ili kusaidia matibabu ya watoto...
BADO SIKU 8: Kuelekea Maadhimisho ya Wiki ya Ustawi wa Jamii
KAULIMBIU: Pata Msaada wa Kisaikolojia; Imarisha Afya ya Akili
Usijilazimishe kufanya kila kitu. Tambua mipaka yako na heshimu muda wa kupumzika.
📅 25 - 30 Agosti, 2025
📍 Chuo cha Ustawi wa Jamii - Kijitonyama, Dar es Salaam
Kwa...
Serikali lazima itishe na kamwe isikubali kupewa Masharti na Raia au Kikaragosi. Serikali ya aina hii GENTAMYCNE nitaipenda sana tu. Tangia lini hata katika Ngazi za Familia Mtoto au Mtu wa Nje ya Familia akampa Masharti Baba mwenye Nyumba? Kama kuna Serikali yoyote ile duniani imepewa Masharti...
Katika dunia ya sasa yenye changamoto nyingi za kimaadili, ni wajibu wa kila mzazi, mlezi na taasisi kuhakikisha watoto na vijana wetu wanalelewa katika msingi wa maadili mema, heshima, utu, na uwajibikaji.
✅ Maadili mema ni nguzo ya maendeleo ya jamii yoyote. Jamii isiyo na maadili hudhoofika...
BADO SIKU 9: Kuelekea Maadhimisho ya Wiki ya Ustawi wa Jamii
KAULIMBIU: Pata Msaada wa Kisaikolojia; Imarisha Afya ya Akili
Mazoezi huchochea homoni ya furaha, Tembea, kimbia, au fanya mazoezi mara kwa mara.
📅 25 - 30 Agosti, 2025
📍 Chuo cha Ustawi wa Jamii - Kijitonyama, Dar es Salaam
Kwa...
Alivyokua 20's, kwenye kilele chake cha uzuri, bado hajaguswa. Wanaume wenye malengo na wanaothamini thamani yake walimfuata, lakini jamii iliwasakama wanaume hao kwa kuwaita fataki, wahalibifu na kusema kwamba binti uyo bado mdogo.
Huku binti mwenyewe akisema hayupo tayari kuolewa anataka...
Kanuni mpya za mashindano zimebadilishwa kutoka ule utaratibu wa kukutanisha timu za ligi na mwisho bingwa kupatikana
Na Sasa Kwa kanuni mpya bingwa wa ligi atacheza na bingwa wa FA na kama bingwa wa ligi kuu ndo bingwa wa FA, basi mchezo wa ngao ya jamii unakuwa kati ya bingwa na timu ilishika...
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali, Lela Mohammed Mussa amewakumbusha Walimu kuwa wanapochagua Kada ya Ualimu wakumbuke kuwa wameyatoa maisha yao kwa ajili ya jamii.
Akizungumza na Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Tisa wa Chama cha Walimu Zanzibar katika Ukumbi wa Taasisi ya Utalii Maruhubi Wilaya...
BADO SIKU 12: Kuelekea Maadhimisho ya Wiki ya Ustawi wa Jamii
KAULIMBIU: Pata Msaada wa Kisaikolojia; Imarisha Afya ya Akili
Jenga jamii iliyo salama na yenye matumaini kwa kumshirikisha Afisa Ustawi wa Jamii changamoto unayopitia
📅 25 - 30 Agosti, 2025
📍 Chuo cha Ustawi wa Jamii -...
Watanzania tulio wengi tumeshindwa kabisa kufanya biashara ya pamoja kama wanafamilia au watu wa ukoo mmoja kwanini?
Tofauti na jamii za kiarabu, kihindi na hata familia nyingi za kizungu hudumisha tamaduni hii ya biashara za kifamilia. Yani kutoka kwa muasisi (hasa alieleta mageuzi ya...
Njia pekee ya kuinusuru ni TFF kubadili hii ratiba (haijatoka hadharani bado ila nimeiona kwa njia nyingine).
Iko hivi, Simba ndio itaanza kucheza dhidi ya Azam siku yakwanza, then itafuata mechi ya Yanga dhidi ya Singida (sijui ni kwanini imepangwa hivi)
Kwa nongwa ya yanga, ikitokea Simba...
Wakurya ni jamii duni ambayo Serikali inabidi kuitazama na kuhakikisha inafundishwa Emotional intelligence.
Hawa Jamaa kuuana ni jambo la kawaida Sana kwao.
Wakuu, Kuna jamaa yangu anaitwa Michael amefariki jana na habari nimezipata leo kupitia accounts za washkaji zangu za Facebook pamoja na Instagram.
Sasa ninajiuliza, kuna faida gani ya kuwa mtu mwema kwa maana wema wanakufa na wabaya pia wanakufa.
At least labda ingekuwa wema wanaishi muda...
Kijana anaweza kukaa ndani siku nzima bila kutoka kwenda nje kujichanganya, tena sio nje tu hata humo humo ndani ya nyumba hatoki kujichanganya na wenzake.
Laptop na simu zimekuwa bei rahisi sana na zenye teknolojia ya juu sana, Internet zimeshuka sana bei ukiwa na elfu 70 unatumia internet...
Ni muhimu kuwafunza waliokatika miliki yako maadili mema kuanzia watoto wako, wadogo zako, ndugu wa karibu pamoja na majirani mnaoishi kwa kushirikiana shughuli za kila siku, kila mtu akifanya hivyo katika eneo analoishi jamii nzima itakuwa na maadili mema na yanayofaa katika jamii na taifa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.